Ukiajiriwa na mimba changa sheria ya kazi inasemaje jamani??

Sheria ya kazi iko wazi sana, bila shaka utakuwa under probation my be 6month, katika muda huo mwajili wako anakuangalia utendaji wako wa kazi na tabia, kwa kutomwambia una mimba wakati wa usaili wako na kuweza kufikiri wewe si mkweli wa tabia.

Katika Labour law kunakitu kinaitwa unfair termination of employment. Section 35 Applicability. Shall not apply to an employee with less than 6months employment with same employer, whether under one or more contracts. Hiyo inamaana kama issue ni Pregnancy anaweza kukufukuza. Kwa sababu Section 37 unfair termination, shall not be a fair reason to terminate the employment for reason a) related to pregnancy b) related to disability c) that constitute discrimination under the act
 
Bila shaka uko under probation sema ya miezi 6, wakati wa usaili mwajili wako hukumwambia ukweli kama una mimba, kumbuka wakati huu mwajili wako anakupima kama unafahamu kazi yako vizuri na tabia yako ni nzuri. Kwa kitendo chako cha kusema una mimba inaonyesha kabisa wewe ni mtu ambaye siyo wa kuaminika.

Tuje upande mwingine wa sheria za nchi Labour law, Unfair termination of employment section 35 Applicability; shall not apply to an employee with less than 6 months employment with same employer, whether under one or more contracts. Ukienda section 37 unfair termination, shall not be a fair reason to terminate the employment for reason a) related to pregnancy b) related to disability c) that constitute discrimination under the act.

Jibu rahisi ni kwamba unaweza kufukuzwa kazi kama ajira yako haijazidi miezi sita - kwako wewe si kosa kisheria kufukuzwa. Ndugu zangu JamiiForums sheria za kazi ni kali sana kama zikifuatwa day to day
 
KAMA UPO sERIKALINI UNAPASWA UFUTE=WE KAZI MARA MOJA, NA DAKTARI ALIEKUPIMA MKOJO ANAPASWA AWAJIBISHWE KWA KUTOTOA TAARIFA SAHIHI, NA Afisa uajiri husika kama taarifa ya dactari ilionesha mapungufu hayo na yeye hakujishughulisha kukufuta kazi anapaswa kutimuliwa kwa notisce ya saa 24.
sheria inasemaje, serikali haiajili watu wenye mimba kwa nini afutwe kazi. nilifikiri tunafanya medical check kujua afya zetu kama tunamagonjwa sugu au yakuambukiza wengi, mimba si ugonjwa!!
 
Wandugu, tatiso sio kwamba unafanya kazi na wadosi au nini, Unapomba ajira kabla ya kuajiriwa sehemu yoyote hasa idara za serikali kuna medical form unapewa uende ukachukuliwe vipimo hospital, kwa kina dada hupimwa hadi ujauzito and once inapogundulika unayo they can put you aside kama mchangia mada alivyochangia hapo nyuma kuwa sheria ya kazi likizo ya kwanza ni baada ya miezi nane baada ya kuajiriwa, sasa labda mtu apate huo ujauzito few months after getting employed, kama nakosea wadau nikosoeni. Wasalaam!
 
Jamani mimi NAKUPENDA SANA FIRST LADY1. Fahamu hilo.

Kwa mujibu wa Sera ya Ajira na Menejimeti Katika Utumishi wa Umma ya mwaka 1999, na Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002, pamoja na marekebisho yake ya mwaka 2007, Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003. Ikisomwa pamoja na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma toleo la pili la mwaka 1994 , pamoja na Sheria ya Ajira na mahusiano Kazini Na. 6 ya mwaka 2004 pamoja na Kanuni za Ajira na Mahusiano Kazini za mwaka 2007 -Zote zinasema hivi:

1. Mtumishi yoyote wa Umma ataruhusiwa kwenda Likizo kulingana na kipindi cha Mzunguko wake wa likizo kulingana na tarehe ya ajira yake ya kwanza;
2. Aidha, kwa Watumishi wa Umma ambao ni ajira yao ya kwanza, HAWATARUHUSIWA kuchukua LIKIZO YA AINA YOYOTE hadi watimize kipindi cha MIEZI MINANE.
3. Kipindi cha miezi minane kwa Mtumishi aliyeajirwa mara ya kwanza kitamuwezesha mwajiri kuona kama Mtumishi huyo anaweza kuthibitsihwa kazini ama hapana. Na iwapo hadi kipindi cha miezi minane kinaisha Mtumishi hajapewa barua ya kuongezewa kipindi cha majaribio basi mwajiri hatakuwa na hiyari ya kutomthibitisha kazini Mtumishi.
4. Likizo ya uzazi kwa Wanawake na wanaume itakuwa inatolewa miezi mitatu kwa wanawake kila baada ya miaka mitatu tangu likizo nyingine ya uzazi ilipotolewa. Na wanaume watakuwa wanapewa likizo ya siku tatu za malipo ili waweze kuwafariji wake zao mara wanapokuwa wamejifungua inaitwa "Partenity Leave"
5. Chini ya kipindi cha Miezi 8 kwa Mtumishi wa Umma aliyeajiriwa kwa mara ya kwanza haruhusiwi kuchukua likizo. Kwa sababu kipindi hicho huwa yupo kwenye majaribio. Na Sera, Sheria, Kanuni, Nyaraka na Miongozo ya Utumishi wa Umma inasema wakati wa Kipindi cha majaribio hakitahusisha aina yoyote ya Likizo.

6. Kwa mwanamke kuajiriwa akiwa na ujauzito na baada ya mwezi mmoja anaomba ruhusa ya kwenda kujifungua la Likizo ya miezi 3 hakuna Kipengere au Kifungu au Kanuni ainayoruhusu jambo hilo.

Lakini pia, ikumbukwe kama Mtumishi aliajiriwa katika Utumishi wa Umma chinji ya MasHARTI YA KUDUMU NA PENSHENI na akathibitshwa kazini, lakini kwa cheo chake, na baada ya muda akaona tangazo la kazi Wizara au Idara nyingine ya Serikali akaomba akapata nafasi akaitwa kwa usaili na akafanikiwa kuajiriwa Mtumishi huyo hahesabiki kama hiyo ni ajira yake ya mara ya kwanza ila inahesabika kwamba amehama utumishi wa Umma kwa njia ya ushindani wa kuomba na kufanya usaili na kule anakokwenda haitakiwi athibitishwe kazini kwa sababu Sheria inasema Mtumishi aliyeajiriwa katika masharti ya KUDUMU NA PENSHENI anathibitishwa mara moja tu.

Ila kama Mkeo anamimba changa na anaweza kukaa kazini hadi miezi minane kabla ya muda wa kujifungua hawezi kufukuzwa kazi. KWANI makosa ya kumfukuza kazi yameainishwa katika Kanuni za Utumishi wa Umma VIZURI SANA.

FISRT LADY1 MIE NAKUPENDA SANA UNANINYIMA RAHA JAMANI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom