UKAWA Wakiingia Ikulu Clouds Tv Waifute Kabisa

Chuki waliyo nayo clouds Tv juu ya nyama vya Ukawa ni kubwa mno na imepitiliza.
Yani Lowassa kafanya mkutano mkubwa hapo Iringa lakini jamaa wanajifanya hawajuwi wao ni ACT na Ccm tu
Pamoja na Lowassa kuahidi hatolipiza kisasi kwa mtu akikalia kiti cha ikulu."Binafsi namshauri"
Ukawa ikichukuwa dola Hii Television ya Clouds waifutilie mbali hawana hata aibu.

Kibo 10,
Samahani lakini ila nadhani yale maneno ya Mkapa kuwaita viongozi wa ukawa wapumbavu na malofa hajakosea na kw kuthibitisha hilo ndio maana unabwabwaja hapa bila fact.

Kama ulikuwa hujui habari uipate na ukawaambie wapumbavu na malofa wa chama chako kwamba "mmefika hapa kwa sababu ya udhaifu na uzembe wa Afisa habari wa chama chenu."

Hakuna afisa habari wa chama ambaye ni mvivu na hana mipango kama afisa habari wa Chama chenu.Mnamo mapema mwanzoni mwa mwezi huu mkuu wa kitengo cha habari cha clouds tv aliwasiliana na viongozi wa vyama vyote ili kuwapatia waandishi watakaosafiri nao kwenye kampeni za chama chenu, lakini kwa sababu ya udhaifu wa afisa habari wenu aliwadengulia clouds.

CCM waliitikia wito na wamewachukua waandishi wawili ambao wanazunguka nao kwenye mikutano yao nchi nzima, ndio maaana unaziona habari zao. Sera ya Clouds ni burudani na sio habari. Wanafanya habari kwa sababu ya masharti ya leseni ya TCRA. Kwa sababu mmeshindwa kugharamia waandishi wa clouds kwenye ziara za mgombea wenu tafadhali epuka mihemko na ushabiki wa mambo usioyajua.

Mkiona mmeonewa mwiteni afisa habari wenu aje akanushe haya maneno.

Mkileta ubahili na wenzenu wakiwekeza ni dhahiri habari zitakazotoka zitakuwa za walioonesha nia
 
Chuki waliyo nayo clouds Tv juu ya nyama vya Ukawa ni kubwa mno na imepitiliza.
Yani Lowassa kafanya mkutano mkubwa hapo Iringa lakini jamaa wanajifanya hawajuwi wao ni ACT na Ccm tu
Pamoja na Lowassa kuahidi hatolipiza kisasi kwa mtu akikalia kiti cha ikulu."Binafsi namshauri"
Ukawa ikichukuwa dola Hii Television ya Clouds waifutilie mbali hawana hata aibu.

Jiangalie vizuri we sio mzima, umeambiwa matangazo ya tv ni bure! mbina hata huo ulanzi kwenu japo mnaugemaa hata kwenye mianzi msiyopanda mnauza, mwangalie kwanza
 
Chuki waliyo nayo clouds Tv juu ya nyama vya Ukawa ni kubwa mno na imepitiliza.
Yani Lowassa kafanya mkutano mkubwa hapo Iringa lakini jamaa wanajifanya hawajuwi wao ni ACT na Ccm tu
Pamoja na Lowassa kuahidi hatolipiza kisasi kwa mtu akikalia kiti cha ikulu."Binafsi namshauri"
Ukawa ikichukuwa dola Hii Television ya Clouds waifutilie mbali hawana hata aibu.

kale ndimu kijana! kwani ulilazimishwa kuweka clouds tv au?
 
Chuki waliyo nayo clouds Tv juu ya nyama vya Ukawa ni kubwa mno na imepitiliza.
Yani Lowassa kafanya mkutano mkubwa hapo Iringa lakini jamaa wanajifanya hawajuwi wao ni ACT na Ccm tu
Pamoja na Lowassa kuahidi hatolipiza kisasi kwa mtu akikalia kiti cha ikulu."Binafsi namshauri"
Ukawa ikichukuwa dola Hii Television ya Clouds waifutilie mbali hawana hata aibu.
Utasubiria sana Lowassa aingie Ikulu. Hatutaki rais ZEZETA. Rais wetu ni JOHN POMBE MAGUFULI. #HapaKaziTu
 
Tatizo la cdm wanajiona kama wao ndo wenye dola,,,na watambue tu kwamba nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya jamhuri ya muungano
Uzuzu wa cdm na wagombea wao ni wa kupitiliza ndo maana mnashindwa kunadi ilani yenu,,mnaenda majukwaani na sera za kuwatoa masheikh na kina babu seya huo ni zaidi ya ulofa na upumbavu
 
Of oz clouds km media inapaswa kuwa fair pande zote,lkn km inapendelea kuonyesha matangazo ya lumumba hata ss wadau wa kuangalia clouds tutaizalau kabixa na kutowatch vipindi vyao
 
Chuki waliyo nayo clouds Tv juu ya nyama vya Ukawa ni kubwa mno na imepitiliza.
Yani Lowassa kafanya mkutano mkubwa hapo Iringa lakini jamaa wanajifanya hawajuwi wao ni ACT na Ccm tu
Pamoja na Lowassa kuahidi hatolipiza kisasi kwa mtu akikalia kiti cha ikulu."Binafsi namshauri"
Ukawa ikichukuwa dola Hii Television ya Clouds waifutilie mbali hawana hata aibu.
Clouds ni private institution na hawalazimiki kumtangaza Fisadi. Jifunze siasa kwa kutumia nchi za dunia ya kwanza ndio utaelewa kuwa Media kazi yake ni nini?
 
Kwani hawana haki kuonesha hivyo hivyo wanavyoonesha?

Kitu cha muhimu ni wao kutokuvunja sheria za vyombo vya habari na maadili yake...
 
Chuki waliyo nayo clouds Tv juu ya nyama vya Ukawa ni kubwa mno na imepitiliza.
Yani Lowassa kafanya mkutano mkubwa hapo Iringa lakini jamaa wanajifanya hawajuwi wao ni ACT na Ccm tu
Pamoja na Lowassa kuahidi hatolipiza kisasi kwa mtu akikalia kiti cha ikulu."Binafsi namshauri"
Ukawa ikichukuwa dola Hii Television ya Clouds waifutilie mbali hawana hata aibu.

Hahaaa bila shaka ndoto zako zitakufaaa tareh 25
 
Back
Top Bottom