UKAWA kukutana na waandishi wa habari saa 8:00 mchana huu Zanzibar

Waende Bungeni, waache uzurulaji. Ni wanafiki na wapotoshaji. Wanadhani kukimbilia kwa UAMSHO kutasaidia nini? wapigwe mabomu watokomezwe. NO MORE MONEY TO POLITICIANS! Hatuwezi kukaa chini kufikiria kutengeneza genge la kula kodi za wananchi eti serikali 3! wakati bajeti yenu ni tegemezi na matatizo chungu nzima. FOOLISH UKAWA! nasema NO MORE MONEY TO POLITICIANS! Let all Tanzanian unite and say No to stupid politicians! tunazo kero chungu mzima za kijamii zinazohitaji pesa hizi zinazotafunwa na hivi vyama njaa
 
View attachment 152452

Viongozi wa UKAWA leo Jumamosi majira ya saa 8:00 za mchana watakutana na waandishi wa habari (Press conference) hapa Zanzibar.
Mkutano huo na waandishi wa habari utarushwa moja kwa moja na kituo cha chuchu FM radio 90.9 na halkadhalika katika tream yao ya internet kuptia www.chuchufm.com

Msikose kuwasikiliza wapambanaji wetu.

Hawa chochote wamekwenda znz kula starehe na vimada wao.
 
We kabind u hv fixed mind ma broo/ccta heb jarb kushrkisha akil kwa kla unalofkiria!utakua bado una tongo tongo machon zinazohitaj kuoshwa kwa sabu yenye magad makal walau upate kuona hata kigodo...(open up ur mind friend)
 
Waende Bungeni, waache uzurulaji. Ni wanafiki na wapotoshaji. Wanadhani kukimbilia kwa UAMSHO kutasaidia nini? wapigwe mabomu watokomezwe. NO MORE MONEY TO POLITICIANS! Hatuwezi kukaa chini kufikiria kutengeneza genge la kula kodi za wananchi eti serikali 3! wakati bajeti yenu ni tegemezi na matatizo chungu nzima. FOOLISH UKAWA! nasema NO MORE MONEY TO POLITICIANS! Let all Tanzanian unite and say No to stupid politicians! tunazo kero chungu mzima za kijamii zinazohitaji pesa hizi zinazotafunwa na hivi vyama njaa

Nimekusikia sijui kama wengine wamekusikia jinsi ulivyo.hari.sha hapa
 
  • Thanks
Reactions: Wun
Tuko pamoja lianzishe tuko bega kwa bega make watu warumumba wametuchosha
 
Waende Bungeni, waache uzurulaji. Ni wanafiki na wapotoshaji. Wanadhani kukimbilia kwa UAMSHO kutasaidia nini? wapigwe mabomu watokomezwe. NO MORE MONEY TO POLITICIANS! Hatuwezi kukaa chini kufikiria kutengeneza genge la kula kodi za wananchi eti serikali 3! wakati bajeti yenu ni tegemezi na matatizo chungu nzima. FOOLISH UKAWA! nasema NO MORE MONEY TO POLITICIANS! Let all Tanzanian unite and say No to stupid politicians! tunazo kero chungu mzima za kijamii zinazohitaji pesa hizi zinazotafunwa na hivi vyama njaa

kitendo cha kuwaita watu wenye akili timamu tena zinazotosha kabisa kuwa ni wajinga ama wapumbavu kisa wanamtazamo tofauti na nyie manyang'au wa kisiasa si matumiz mazuri ya kichwa chako,ukitaka kumjua mtanzania aliye na akili timamu ni pale anapokuwa mpinzani kwani ana sababu lukuki zinazokubarika mbele ya jamii,na ukitaka kumjua mtanzania -------- ni yule anayeshabikia ccm na hana sababu za msingi zitakazokubarika mbele ya jamii,kwa maneno haya nakutaka ujipime na utafakari kama unaakili timamu au la.
 
wasimtukane tu Mwalimu uko...tutampima lissu oil this time kama govt inamvumilia.
 
Back
Top Bottom