Ukata watesa upinzani nchini

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,195
11,626
Pamoja na kupiga kelele kwa muda mrefu kuruhusiwa mikutano ya kisiasa nchini, hatimae pumzi ya fedha imekata upinzani, hakuna hamu tena kufanya mikutano ya kisiasa. Pesa hakuna kabisaa.

Hata mikutano ambayo wameshafanya tayari tena kwa kusuasua, bado haikua na mvuto, muitikio na mahudhurio ni duni mno kuliko ilivyotarajiwa.

Subra yahitajika, lakini viashiria vyote vinaonyesha mpaka kufikia oct.2025, kutakua na uchovu na ukata zaidi wa fedha kwa upinzani. Vyama vingi vya kisiasa vikubwa kwa vidogo, vinauelekeo wa kuunga mkono mgombea wa Chama Tawala.
 
Bro naomba upitie ukurasa wa MMM Kuna dokezo naibu waziri wa katiba na sheria kafanya yake huko babati
Hukumu ya kelele za kubuni, mihemko na ghadhabu vitaathiri haki ya muathirika na hukumu stahiki ya mtuhumiwa.

Lazima kuwe na utulivu, umakini, subra na ustahimilivu. Iwepo fursa ya pande zote husika kuskizwa kwa uwazi na haki. Kisha kutathimini na kuamua pasina shaka nani anastahili nini bila uonevu.
 
We chalii ni bwabwa! 🙌🙌🙌🙌
 
We chalii ni bwabwa! 🙌🙌🙌🙌
😅shukrani sana napokea ilo poromosho la ghadhabu...

ukweli ni kitu mbaya sana saa zingine,

binafsi siwezi umpa mwingine matumaini ya mpooza kijinga, naeleza ukweli mtupu na mambo yanasonga...
 
Mtoa mada ana point
Chadema mmeanza kukaribisha makapi. Mtajifunza lini
Lema umeanza kupongeza na kukaribisha.
Ya Ngoswe mwachieni Ngoswe
Kuvurugana kwao isiwe furaha kwenu mkifikiri kwenu ni kusafi
Mmegeuka choo cha manispaa
Viongozi wa chadema huwa mnawaza nini lakini?

Acheni kuwayimbisha wananchi
Wanaochoka vyama vyao wawe Independent Member

Msianze kutuvuruga..
 
Back
Top Bottom