Ukame, Nchi jirani zote Maji, Umeme vyote vipo, Why Tanzania tu?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,430
8,929
Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi desert lkn kwa nini Nairobi maji yapo? Kwa nini Uganda kwa patron Museveni umeme na maji vyote vipo? Kwa nini Zambia, Burundi au Rwanda hakuna mgao wa umeme?
 
Ujinga unakusumbua.
North Kenya na Uganda ng'ombe wanakufa kwa ukame!
 
Wapi ? Nairobi kuna mgao wa umeme na hakuna maji?
Mi ngoja nikuwekee taarifa zao maana nikisema mm utaona nazingua. Yaan wala sio wa uhakika, backup generators ndio ziko zinarun maeneo mengi tu. Usidharau kwenu ni kheri BongoView attachment 2406820
Screenshot_20221104-185050_Twitter.jpg
 
Kwa hyo kenya yote unaipima kwa reference ya Nairobi pekee?

Dar yote ambayo ndiyo kama Nairobi kwa Kenya hakuna umeme wala maji, na ndiyo maana nimelinganisha angalau kama shida ya maji ingekuwa Wilayani huko labda kidogo lkn Dar ndiyo mji tajiri tena by far kwa Tanzania lkn hakuna maji wala umeme, …
 
Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi desert lkn kwa nini Nairobi maji yapo? Kwa nini Uganda kwa patron Museveni umeme na maji vyote vipo? Kwa nini Zambia, Burundi au Rwanda hakuna mgao wa umeme?
Chukua Chako Mapema ndio tatizo
 
Back
Top Bottom