Ukali, upole na uchapakazi wa kiongozi unakuaje?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,683
46,371
Tuacha kutumia lugha za ajabu ajabu za watu wenye akili ndogo kuwaleza viongozi au watawala wetu.

Mfano hizi lugha subjective ambazo ni za hisia zaidi za kiongozi fulani ni mkali, mpole, mchapakazi ni lugha za hovyo zisizokuwa na mashiko yoyote na pia za upotoshaji mkubwa sana.

Katika uongozi wa nchi hakutakiwi kuwa na lugha za upole ukali, uchapakazi n.k kunatakiwa lugha objective zinazopimika za viongozi kufuata katiba na sheria za nchi, uwajibikaji, kwajibishwa, kuwajibisha, maono makubwa ya uongozi n.k

Lugha za mpole na mkali ni lugha za kifamilia zaidi, za mke, mume, watoto, ndugu, jamaa na marafiki. Sio lugha za kuwaelezea viongozi.
 
Yupi sio mchapakazi??
“Hili nalo mkaliangalie”, si unaona anavyodanganywa? TANESCO wanampiga fix kila siku, eti mgao utaisha mwezi wa tatu, pale bandarini wale jamaa wa Yanga wamegeuka kuwa TRA ndogo, huko TRA kwenyewe ndio usiseme kabisa.

Huyo ni mchapa kazi kweli??
 
Back
Top Bottom