Ujumbe wa Sabodo Nyerere Day unatisha

Mwana CCM halafu tena anakipinga CCM, mbona sielewi?

Huelewi ni sasa kuwa mwanaCCM ndo kukubaliana na kila kitu ambacho CCM wanafanya regardless ni kizur au kibaya?!.. nini maana ya democrasia...??! Hii ndo shida yetu watanzania wengi kushabikia hadi mambo ya kijinga kisa tu kimesema au kufanya chama chako cha kisiasa .
 
Ebola ugonjwa hatari unaoenea kwa kasi.dalili zake ni homa kali,maumivu ya kichwa na kutokwa damu sehemu za wazi.
 
5. May I kill myself by fasting because I love my country?

Haswaa, labda nibaki Tanzania na kuwa jambazi au jangili baada ya kukosa ajira maana nikienda nje nitaonekana sio mzalendo na kwa kuwa uraia pacha hauruhusiwi!
 
Muhindi huyo yupo tofauti na kale ka-profesa njaa Shivji.......sabodo mhindi mzalendo lakini shivji mganga njaa kwa ccm

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom