wapo wanawake
Wanawake watupu...tuvaage sketi tu wote tujue moja kwamba wanaume hawapo
kumbe mimi mwananke
kaka ni rahisi wewe kutamka hilo.ila katika mazingira ya watu kuokoa maisha yake hakunaga mwanaume wala mwanamke.Mkuu hakuna mtu anapenda kufa ili tunataka kwenda mbinguni.
kwenye ishu ya kuokoa maisha hakuna mwanamke wala mwanaume
hivi hao panya road walivamia dar nzima??? maanake naona hizi thread za kipuuzi za dar hamna wanaume zimejaa humu. walivamia dar nzima?? mbona mimi ninapokaa sijawaona na tulikuwa tumerelax tu tunapiga stori
Njoo Kanda Ya Ziwa U Enjoy! Huko Unakaa Na Wanawake Wenzako,vitoto Vile Vi Panya Havikuwa Vya Kuvikimbia Na Kuomba Msaada Wa Police,ilikuwa Ni Wanaume Kuji Organise Na Kuvifanyia Counter Attack,hebu Wajaribu Huku Waone.
Hao panya road sijasikia wamefika maeneo ya kwetu Kitunda.
hivi hao panya road walivamia dar nzima??? maanake naona hizi thread za kipuuzi za dar hamna wanaume zimejaa humu. walivamia dar nzima?? mbona mimi ninapokaa sijawaona na tulikuwa tumerelax tu tunapiga stori
kaka mjini sio kama kijijini ambako watu mnafahamiana huku nyumba hii hamjui nyumba ya pili sembuse umwite mtu aje apambane .Mkuu huku kila mtu nafsi yake kwanzaKama Wangekuwa Na Bunduki Hapo Sawa,lakini Mapanga,marungu,na Visu Wanaume Mnakimbia,mlishindwa Kuitana Nanyi Mkabeba Marungu Na Kwenda Kuvikabili?? Nyie Ni Majinga Sana.