Ni muhimu sana kaka,
Mie niliapa kwamba sitalea mtoto wa mtu mwingine na pia sitaki mtoto wangu akawe mzigo kwa mtu mwingine.
Dada yangu mmoja akatease na ki swali cha uzushi, kwamba itakuwaje ningempa mimba msichana wa low class kama housegirl??
Jibu langu likuwa simple and clear...Huyo ndiye angekuwa mke wangu na sasa hivi tungekuwa tunamwita Bibi DC!!
Babu DC!!
Hongera babu DC kwa busara zako.
Laiti wengi wangekuwa na msimamo kama wako, tusingeona watoto wengi wakizaliwa na kukuzwa kwenye mazingira yenye utata.
Mtu anamdanganya binti ( aliye nje ya vigezo vyake) nakumuaminisha kwamba amemchagua kati ya wanawake wote.Kumbe anavuta uroda tu part-time.Hii ni dhambi kubwa.Acheni jamani.Ukiona wewe class yako ni ya juu basi tafuta mtu wa class yako.Ukiona unaweza kuchukua yoyote basi amua.SUMU HAIONJWI hata siku moja.
Unamaanisha nini ndugu yangu??
Nilikua namaanisha kuwa kwenye mahusiano/ndoa huwa hakuna uongo wala hakuna ukweli,kwani vinavyoonekana havifai wakati mwingine hufaa na vinavyofaa hivyohivyo,hakuna fomula!
Hongera babu DC kwa busara zako.
Laiti wengi wangekuwa na msimamo kama wako, tusingeona watoto wengi wakizaliwa na kukuzwa kwenye mazingira yenye utata.
Mtu anamdanganya binti ( aliye nje ya vigezo vyake) nakumuaminisha kwamba amemchagua kati ya wanawake wote.Kumbe anavuta uroda tu part-time.Hii ni dhambi kubwa.Acheni jamani.Ukiona wewe class yako ni ya juu basi tafuta mtu wa class yako.Ukiona unaweza kuchukua yoyote basi amua.SUMU HAIONJWI hata siku moja.
Mzee DC ni kweli hili kundi limesahaulika saana hapa (wasio wana ndoa) hivo this is a really relevant thread aiseee.... Thanks on behalf ya itayowafaa.... Mengi umeongea mpaka mtu wakosa maneno.... Hata hivo naomba niongezee the following;
Ni muhimu saana kua who you are na kuacha pretense hasa kama hio tabia yako haina madhara.... Kama kujifanya wapenda kitu fulani na hali wakichukia (just becasuse mwenzio kaonesha akipenda); Ni vizuri saana ku establish what you don't like na what you like toka mapema. For instance Kama you want kila muonanapo na mwenzio aku hug... Basi demand hio hug toka mwanzo wa mahusiano for ikisha pita mmekaa mda mrefu inakua ngu ku establish tena tabia ambayo isha zoeleka.
Wos nimefurahi kukuona hapa.... MMU misses you. Kua na siku njema Dearest.
thanks in advance but uzi huu nitaufanyia kazi baada ya miaka 5 ijayo..
...nimeipenda sana hii...inaukweli mwingi ndani yake,....tushashuhudia jinsi watu namna kwa namna wanavyojishusha thamani yao na wanayoyaamini ili waoe/waolewe na fulani...2012 tutapiga vita kwa nguvu zote. AMEN.
Yaah!Babu DC,unaweza kupata mambo ambayo yanawatokea wengi but ni kama malaria,krolokwin inamponya huyu,huyu inagoma,mwingine Metakelfin,mwingine kwinini,but unaweza kupata group kubwa inayoponywa na metakelfin but still wapo kwa ambao haiwork!
Kweli dada yangu na ahsante kwa maoni yako!!
Hata mie nachukia watu wanaojaribu ku-compromise hata vitu vyao vya msingi eti kwa ajili ya mahusiano, tena siyo ndoa!!
Mtu asipoweza kuitumia hii nafasi vizuri, no doubt kwamba atapata matatizo mbele ya safari!!
Ndiyo mambo ya kutangaza divorce ndani ya siku 100, which is a pity and a shame as well!
These boys and girls need to learn to be serious with their lives from day zero!!
Babu DC!!
aseme never yule tu asiyejua nguvu ya penzi (keeping in mind that there is a very thi line between lust and love).
I have also been humbled by her surprise visit...Tatizo lake ametutupa sana!!
Tulizoea kupa nondo zake za uhakika na sasa tunapwaya!!
I hope 2012 ataungana nasi kuokoa hii taasisi muhimu ya ndoa!!
Babu DC!!
Nidhamu imekua ndogo.... watu waoana huku wakijua waweza kuja achana..... How can a marriage survive that attitude?