Tubadilike, wivu umepitwa na wakati kwa wanandoa na walio kwenye mahusiano

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.

Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili.

Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima ameamua kwa hiari yake kumpa penzi mtu mwingine. Wewe unamaimdi!! Kwann??

Hutaki mwenzako atumie haki yake ?? Kwani kiungo ni chako??
 
Attachments

  • Screenshot_20221003-150930~6.jpg
    Screenshot_20221003-150930~6.jpg
    19 KB · Views: 4
Ah weeee! Siwezi hata kuupimia wivu wangu juu yake, nikihisi tu tafrani ijekuwa nipate uhakika si itakuwa balaa?

Atajijua mwenyewe, apambane na wivu wangu ndio nishampenda.
 
Ukiona unacheat mwenza wako anajua halafu hakuulizi na haoneshi ishara yyt ya kuumia nafsi (wivu) hapo hakuna penzi la dhati.

BTW; mwanamke kama sijampenda hata akivua nguo kidudu hakishtuki hata!
 
Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.

Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili.

Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima ameamua kwa hiari yake kumpa penzi mtu mwingine. Wewe unamaimdi!! Kwann??

Hutaki mwenzako atumie haki yake ?? Kwani kiungo ni chako??
Kama chako unatoa kirahisi hivyo nifanyie ihsani mimi
 
Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.

Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili.

Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima ameamua kwa hiari yake kumpa penzi mtu mwingine. Wewe unamaimdi!! Kwann??

Hutaki mwenzako atumie haki yake ?? Kwani kiungo ni chako??
Una shida mahala wewe si bure
 
Ndo maana huna Mume, na hata unayelala naye sasa umeiba, mwizi wewe.
 
Back
Top Bottom