Ujumbe kwa wanandoa watarajiwa!

Kuna falsafa moja inasema;Uongo uliwahi kuwa ukweli wakati fulani,lakini pia ukweli jambo ambalo halijapata jambo lingine la "kupruvu" otherwise.Yaani ukweli ni uongo mtarajiwa!

Unamaanisha nini ndugu yangu??
 
Ni muhimu sana kaka,

Mie niliapa kwamba sitalea mtoto wa mtu mwingine na pia sitaki mtoto wangu akawe mzigo kwa mtu mwingine.

Dada yangu mmoja akatease na ki swali cha uzushi, kwamba itakuwaje ningempa mimba msichana wa low class kama housegirl??

Jibu langu likuwa simple and clear...Huyo ndiye angekuwa mke wangu na sasa hivi tungekuwa tunamwita Bibi DC!!

Babu DC!!

Hongera babu DC kwa busara zako.
Laiti wengi wangekuwa na msimamo kama wako, tusingeona watoto wengi wakizaliwa na kukuzwa kwenye mazingira yenye utata.

Mtu anamdanganya binti ( aliye nje ya vigezo vyake) nakumuaminisha kwamba amemchagua kati ya wanawake wote.Kumbe anavuta uroda tu part-time.Hii ni dhambi kubwa.Acheni jamani.Ukiona wewe class yako ni ya juu basi tafuta mtu wa class yako.Ukiona unaweza kuchukua yoyote basi amua.SUMU HAIONJWI hata siku moja.
 
Asante sana babu nimepata somo,limeniingia sawia...na nitalizingatia.:poa
Mungu akubariki sana...Happy new year to u!!

Thanks, happy new year to you too!!

Huna lolote la kushea na sisi au umeamua kuwa mchoyo!!

Babu DC
 
Hongera babu DC kwa busara zako.
Laiti wengi wangekuwa na msimamo kama wako, tusingeona watoto wengi wakizaliwa na kukuzwa kwenye mazingira yenye utata.

Mtu anamdanganya binti ( aliye nje ya vigezo vyake) nakumuaminisha kwamba amemchagua kati ya wanawake wote.Kumbe anavuta uroda tu part-time.Hii ni dhambi kubwa.Acheni jamani.Ukiona wewe class yako ni ya juu basi tafuta mtu wa class yako.Ukiona unaweza kuchukua yoyote basi amua.SUMU HAIONJWI hata siku moja.

Ahsante sana dada na heri ya mwaka mpya,

Wanaume wengi wanapenda kuwatumia wanawake ambao ni weak ili kujinufaisha kwa kupata cheap sex...Lakini wengi imewatokea puani kwa kujikuta wanawajazia wake zao watoto ambao baadaye wanasababisha ndoa kuyumba.

Ndiyo maana nawashauri vijana wafanye kila kinachowezekana kuchukua watu ambaye wako tayari awe wenzi wao wa kudumu. Na hata inapotokea wakawapata....waogope kupeana mimba kama wanavyoogopa majanga mengine!!

Hili litapunguza misuguano kwenye ndoa kwa kiasi kikubwa...Na wasichana wajitahidi wasizae kabla ya kuingia kwenye ndoa....I have enough experence kuonesha kuwa mara nyingi hali hiyo inawapa matatizo makubwa sana na wanajutia maisha yao yote!!
 
Nilikua namaanisha kuwa kwenye mahusiano/ndoa huwa hakuna uongo wala hakuna ukweli,kwani vinavyoonekana havifai wakati mwingine hufaa na vinavyofaa hivyohivyo,hakuna fomula!

Kwa hiyo haya tunayoongea kuna mahali tunatia chumvi??

Hakuna issues ambazo ni general kiasi kwamba kila kitu ni very personal and specific? N

aaminisha hatuwezi kupata vitu ambavyo vinaweza kuwagusa watu wengi zaidi (to generalize to a wide population)???
 
Mzee DC ni kweli hili kundi limesahaulika saana hapa (wasio wana ndoa) hivo this is a really relevant thread aiseee.... Thanks on behalf ya itayowafaa.... Mengi umeongea mpaka mtu wakosa maneno.... Hata hivo naomba niongezee the following;

Ni muhimu saana kua who you are na kuacha pretense hasa kama hio tabia yako haina madhara.... Kama kujifanya wapenda kitu fulani na hali wakichukia (just becasuse mwenzio kaonesha akipenda); Ni vizuri saana ku establish what you don't like na what you like toka mapema. For instance Kama you want kila muonanapo na mwenzio aku hug... Basi demand hio hug toka mwanzo wa mahusiano for ikisha pita mmekaa mda mrefu inakua ngu ku establish tena tabia ambayo isha zoeleka.
 
Hongera babu DC kwa busara zako.
Laiti wengi wangekuwa na msimamo kama wako, tusingeona watoto wengi wakizaliwa na kukuzwa kwenye mazingira yenye utata.

Mtu anamdanganya binti ( aliye nje ya vigezo vyake) nakumuaminisha kwamba amemchagua kati ya wanawake wote.Kumbe anavuta uroda tu part-time.Hii ni dhambi kubwa.Acheni jamani.Ukiona wewe class yako ni ya juu basi tafuta mtu wa class yako.Ukiona unaweza kuchukua yoyote basi amua.SUMU HAIONJWI hata siku moja.

Wos nimefurahi kukuona hapa.... MMU misses you. Kua na siku njema Dearest.
 
Mzee DC ni kweli hili kundi limesahaulika saana hapa (wasio wana ndoa) hivo this is a really relevant thread aiseee.... Thanks on behalf ya itayowafaa.... Mengi umeongea mpaka mtu wakosa maneno.... Hata hivo naomba niongezee the following;

Ni muhimu saana kua who you are na kuacha pretense hasa kama hio tabia yako haina madhara.... Kama kujifanya wapenda kitu fulani na hali wakichukia (just becasuse mwenzio kaonesha akipenda); Ni vizuri saana ku establish what you don't like na what you like toka mapema. For instance Kama you want kila muonanapo na mwenzio aku hug... Basi demand hio hug toka mwanzo wa mahusiano for ikisha pita mmekaa mda mrefu inakua ngu ku establish tena tabia ambayo isha zoeleka.

Kweli dada yangu na ahsante kwa maoni yako!!

Hata mie nachukia watu wanaojaribu ku-compromise hata vitu vyao vya msingi eti kwa ajili ya mahusiano, tena siyo ndoa!!

Mtu asipoweza kuitumia hii nafasi vizuri, no doubt kwamba atapata matatizo mbele ya safari!!

Ndiyo mambo ya kutangaza divorce ndani ya siku 100, which is a pity and a shame as well!

These boys and girls need to learn to be serious with their lives from day zero!!

Babu DC!!
 
Yaah!Babu DC,unaweza kupata mambo ambayo yanawatokea wengi but ni kama malaria,krolokwin inamponya huyu,huyu inagoma,mwingine Metakelfin,mwingine kwinini,but unaweza kupata group kubwa inayoponywa na metakelfin but still wapo kwa ambao haiwork!
 
Wos nimefurahi kukuona hapa.... MMU misses you. Kua na siku njema Dearest.

I have also been humbled by her surprise visit...Tatizo lake ametutupa sana!!

Tulizoea kupa nondo zake za uhakika na sasa tunapwaya!!

I hope 2012 ataungana nasi kuokoa hii taasisi muhimu ya ndoa!!

Babu DC!!
 
...nimeipenda sana hii...inaukweli mwingi ndani yake,....tushashuhudia jinsi watu namna kwa namna wanavyojishusha thamani yao na wanayoyaamini ili waoe/waolewe na fulani...
2012 tutapiga vita kwa nguvu zote. AMEN.

aseme never yule tu asiyejua nguvu ya penzi (keeping in mind that there is a very thi line between lust and love).
 
Yaah!Babu DC,unaweza kupata mambo ambayo yanawatokea wengi but ni kama malaria,krolokwin inamponya huyu,huyu inagoma,mwingine Metakelfin,mwingine kwinini,but unaweza kupata group kubwa inayoponywa na metakelfin but still wapo kwa ambao haiwork!

Kweli kabisa ila kama hata hao waliongundua dawa wangesubiri ziponye watu wote (100% efficacy) basi tungeisha kabla dawa hazijaingia hospitali!!

Hiyo concept unayoongelea ni muhimu na ndiyo maana kwenye statistics tunaongelea normal distribution! Ukiweza kuokoa 95% of the people na kuwaaacha hao 5% wateseke (ingawa ni vibaya pia) bado utakuwa umefanya jambo jema kabisa!

Au wewe unashauri tusiyaseme haya kwa sababu kuna watu wachache always watakuwa outliers/deviants???
 
Kweli dada yangu na ahsante kwa maoni yako!!

Hata mie nachukia watu wanaojaribu ku-compromise hata vitu vyao vya msingi eti kwa ajili ya mahusiano, tena siyo ndoa!!

Mtu asipoweza kuitumia hii nafasi vizuri, no doubt kwamba atapata matatizo mbele ya safari!!

Ndiyo mambo ya kutangaza divorce ndani ya siku 100, which is a pity and a shame as well!

These boys and girls need to learn to be serious with their lives from day zero!!

Babu DC!!

Nidhamu imekua ndogo.... watu waoana huku wakijua waweza kuja achana..... How can a marriage survive that attitude?
 
aseme never yule tu asiyejua nguvu ya penzi (keeping in mind that there is a very thi line between lust and love).

Kweli dada,

But I think it is great to know, appreciate and be informed about the facts. Au wewe unaonaje??

Babu DC!!!
 
I have also been humbled by her surprise visit...Tatizo lake ametutupa sana!!

Tulizoea kupa nondo zake za uhakika na sasa tunapwaya!!

I hope 2012 ataungana nasi kuokoa hii taasisi muhimu ya ndoa!!

Babu DC!!

Itabidi tuunganishe nguvu and demand that from her....lol... Apende asipende, by hooks and chains itakua.
 
Nidhamu imekua ndogo.... watu waoana huku wakijua waweza kuja achana..... How can a marriage survive that attitude?

Hapana ADii,

Siamini kama hapa kwetu tayari tuna watu wanakaa wanapanga kuoana huku wakiwa wamekubaliana kwamba wataachana wakati wowote au baada ya muda fulani.

Ninachoona, kuna tabia ya baadhi ya watu kuwatumia wenzao na kuwaingiza mkenge huku wakijua kwamba they are not signing a real contract!!... Ndiyo maana nawashangaa wanaoanza kulala kuwa walilazimishwa kuoa/olewa!!

Babu DC!!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom