Ujumbe kuukaribisha mwaka 2010

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
[mp3]http://www.jambovideos.com/bongos/dec09/Mr_Presedent.mp3[/mp3]

Nawatakia kila la heri kuelekea 2010
 
Asante invisible ... mbona mwaka huu hakuna mapambo ya sikukuu?
Mkuu Mwafrika, kuna kazi KUBWA inaendelea chini kwa chini... Kubwa kuliko hiyo ya mapambo! So naamini wakuu mnaweza kutuvumilia, ndo maana hata vitu vingine mnakuta tunachemsha kidogo, lakini tunaamini tutavumiliana kidogo tu. All stuffs will be fixed by this January.

Nawatakia kila la heri katika mwaka tunaoanza 2010!
 
Happy new year toooooo

huyu mwanamuziki anaitwa nani??
Hongera zake na yeye
 
Invisible & your team, kila la kheri kwenye kuukaribisha 2010..Nawatakia mafanikio zaidi!
 
Asante sana mkuu nasi twakutakia afya njema na kila baraka na mafanikio katika 2010.
Tuombee mabadiliko makubwa kwa ajili ya nchi yetu.
 
Happy New Year Wana JF na Watanzania Wote!!

Nitanunua album tatu zenye huo wimbo, kama cd zenye single zinapatikana nitanunua cd 5. Hakiyanani tena jamaa waliotunga huo wimbo lazima watakuwa member wa JF!!

Daaaym that'z jus da shiznit !!!!!!
 
Vyama vya upinzani vinaweza kuutumia wimbo huu katika kampeni zao za 2010 kila kona ya nchi ili kuwahamasisha Watanzania wasiipigie kura CCM.
 
Heri ya mwaka mpya 2010 wanaJF wote kwa mpigo.

Mbona kibao sikipati?
 
Asante Invisible na wewe kila la heri!!! nina ombi kwako kwa mwaka huu, naomba niku-PM Mkubwa!!!
 
Happy New Year Wana JF na Watanzania Wote!!

Nitanunua album tatu zenye huo wimbo, kama cd zenye single zinapatikana nitanunua cd 5. Hakiyanani tena jamaa waliotunga huo wimbo lazima watakuwa member wa JF!!

Daaaym that'z jus da shiznit !!!!!!

ujumbe umejitosheleza kweli, ntaupataje mkuu I??!!!
 
Happy New Year Wana JF na Watanzania Wote!!

Nitanunua album tatu zenye huo wimbo, kama cd zenye single zinapatikana nitanunua cd 5. Hakiyanani tena jamaa waliotunga huo wimbo lazima watakuwa member wa JF!!

Daaaym that'z jus da shiznit !!!!!!

Collabo ya Nguli, Radical na Burn wa hapahapa jamvini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom