bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,860
Collabo ya Nguli, Radical na Burn wa hapahapa jamvini!
KHAAAAAA!!!!!!!!!!! HUSBAND YUKO JUU PLUS WAPWAAAZ NA mtm yumo humo
Collabo ya Nguli, Radical na Burn wa hapahapa jamvini!
Wimbo mzuri kwa harakati za mabadiliko. Naweza kuupataje kwenye CD?
Kuna nyimbo nyingi sana nzuri za ukombozi lakini hazipati hasaa wa kusikika redioni.
Kuna Msanii toka Chunya wanamuita Nabii- ana wimbo wake wenye maneno 'ni marafiki wanapohitaji kura, kuiba na kujiuzulu ndio yao staili' unasadifu sana maneno ya wimbo huu. Kuna mtu anao huu pia kwenye CD?
Halafu kuna nyimbo za vyama vya upinzani nazo hazipati kabisa fursa ya kusikika redio; mathalani CHADEMA kuna msanii anaitwa Mwana-Cotide naye kuna nyimbo zake kadhaa.
Kuna haja ya nyimbo kama hizo kuwepo kwenye radio na televisheni za mtandaoni na kusambazwa pia kwa wingi vijijini kwa njia mbalimbali.
JJ

[mp3]http://www.jambovideos.com/bongos/dec09/Mr_Presedent.mp3[/mp3]
Nawatakia kila la heri kuelekea 2010
Kiko kwenye format ya flash player, kama pc yako haina, itakuuliza dowload flash player?, ukiclick yes, inadowload na utaweza kuusikia.Heri ya mwaka mpya 2010 wanaJF wote kwa mpigo.
Mbona kibao sikipati?