lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
Kama ulikuwepo mkuu Nyati!Jamaa ni wa kutoka Uganda? Maana kuna wakati miti ya aina hii ilipandwa na kukawa na vifo vingi vya wamiliki wa nyumba husika. Mwisho wa siku waka conclude kuwa miti ina mkosi, lkn wakati huo miti hii migeni katika nchi ya Uganda ilipandwa na vijana wenye kipato ambao wengi waliathirika na ujio wa AIDS na wakati huo matibabu yalikuwa hafifu hivyo wengi waliishia kufa na hitimisho likawa kuwa ni sababu ya MTI wakati siyo kabisa.