Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,687
- 698,874
- Thread starter
- #201
Mara nyingi watu wa botany wanajua vizuri aina za miti ya kupanda karibu na nyumba ila mimi nakushauri panda miti ya matunda yanayoliwa na binadamuMbali na maswala ya kiimani, mimi ningependa kujuzwa ni mti gani ambao ni mzuri sana kwa kivuli na ni rafiki kupandwa karibu na nyumba bila kuleta madhara, haswa ya mizizi kusambaa hadi kwenye msingi wa nyumba?.
Upandwe walau futi 9 au 10 toka ulipo msingi. Asante mkuu, natanguliza shukrani