Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

Nyie wav
Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
aa makobaziii endeleeni kula tende za msaada kutoka kwa mabwana zenu... Wanaobinuabinua kama samaki....!!.
 
Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.

Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.

Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.

Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!

Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
Hao DP World ni watanzania wenzetu, walichokuwa wanafanya ni kupenyeza kichwa tu, kisha mimba ipatakane. Maadam wameshaingiza kichwa kifuatacho ni kuvumillia tu maumivu.
 
Hakuna mgogoro wowote wala tishio lolote la kiusalama, kwasababu DPW imepewa a security clearance, na wao ni operators only, ulinzi wa mipaka yetu bado jukumu la JWTZ, hivyo usiwe na wasiwasi kabisa!.
P
Kaka tunakosa vipi wasiwasi kama makubaliano wananchi waliitangaziwa wasiwe na Shaka ni bandari ya DAR peke yake …. Tena Gate chache leo tunaona hadi mtwara na tanga wanaandaliwa ?
 
Hata hili bwawa linaloitwa Tanganyika (sijui mnaita ziwa Tanganyika) lililo jirani na ujiji hapa mkoani Kigoma napo tumeambiwa DP World wanakuja.

Huwezi kuwasikia Zitto na ACT yake wakiongea kuhusu hili.
 
Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Hapo ulipo mweusi ukikaa karibu na kiwi inageuka zeruzeru lakini unajihisi nawe ni mwarabu kisa unavaa KOBAZI sasa kaombe kazi huko dp Kisha wakuombe USHUZI tuone kama utagoma maana utahisi unampatia saidina oumar shwaine weye
 
Nadhani hiyo ni programe ya TPA kuwaelimisha wafanyakazi wote wa bandari na maziwa yote kuhusiana na maswala ya Uwekezaji!
 
Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Una umri gani?
Uzuri wenyewe MAKAFIRI na wale "WATAKATIFU" wote wameambiwa wachague kuingia DPW au wabaki bandari ili wahamishiwe Itungi port huko Ludewa Manda..!!
 
Back
Top Bottom