Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.

Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.

Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.

Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!

Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .

Leta ushahidi.
 
Watz ni wasahaulifu na wabinafsi kupitiliza. Nchi hii hakuna kitu kinaitwa maslahi ya umma bali kuna maslahi ya mtu mmoja mmoja. Ndio maana ni kawaida ya Watz kushangilia mwenzao akianguka kimaisha
Bandari anatumia mtu mmoja mmoja?
 
Hata kama tungekuwa tumewapa canteen peke yake pale Bandarini..., Kesho tukiwapa Dar es Salaam nzima kuna mtu atakayejua ? Hapa bila Full Transparency tutaendelea kuchezewa kila leo....

Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.

Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.

Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.

Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!

Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
Unashangaa huko , hadi Mbamba bay na kigoma wanakuja , Tulisema humu na kurudia rudia lakini tukaishia kuitwa Wachochezi
 
Kaka tunakosa vipi wasiwasi kama makubaliano wananchi waliitangaziwa wasiwe na Shaka ni bandari ya DAR peke yake …. Tena Gate chache leo tunaona hadi mtwara na tanga wanaandaliwa ?
Watanzania ni wavivu sana kusoma, ni wepesi kulalamika na hata wakisoma kitu ni wepesi wa kusahau, walisoma nini!, kila kitu kilielezwa kwa maandishi kwenye ile IGA, kuwa baada ya DPW kupewa HGA, kukitokea fursa zozote za uwekezaji kwenye Bandari zozote Tanzania, DPW pia wataalikwa, kwa vile wao tayari wapo nchini, ukitokea ushindani wowote, wao wana comparative advantage, kwasababu tayari wapo nchini.

Kiukweli sisi Watanzania sio tuu tuko very poor kwenye business lobbying and advocacy, bali ni kama tuko zero kwenye economic inteligence, hili la DPW tulipaswa tulibaini kitambo!, Rwanda haina bandari, hivyo tulipoona DPW wanajenga a dry port Kigali, 3x Dar port, watu wetu wa economical inteligence, walipaswa hili walione!.

Wakati wa maonyesho ya Expo Dubai, DPW akaisponsor Tanzania, tukasombelea watu Dubai, tukijua huyu ni msamaria mwema tuu, kumbe watu wenye macho wanaona mbali!.
P
 
Hili sitaki mtu aamini au Aiamini Lakini kuna siku tulikua Quatar mwanadiplomasia mmoja wa moja ya nchi za Ulaya Mashariki akatuambia “ nchi yenu ina mahusiano maalum na UAE “ … akasema wana Ukoo wa ufalme walimuambia Tanzania ni kama moja ya mataifa yanayounda UAE … sasa nikajiuliza ni kwa ajili ya uwepo wao Loliondo au ni sehemu ya mkakati wa muda mrefu …?!?!??

Yaani nchi inauzwa taratibu kwa mipango ya muda mrefu. Tanganyika imefanywa KUBWA JINGA.
 
Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Nimejaribu kusoma content nzima ya mleta mada nikarudia mara tatu kuona kama kuna mahala ametaja dini sijapaona. Wewe muislamu swafi umeitwa na nani huku?
 
Tunawaamini mpaka watakapovunja uaminifu.

Unataka tukawaamini watawala wa wapi?

Bila ya kufumuliwa ile IGA ya kishenzi, miradi yote chini ya hiyo IGA inakuwa ni ushenzi mtupu.

Ile IGA ya kishenzi inaipeleka Tanganyika kwenye utumwa na unyonyaji wa Mwarabu na Mzanzibari. Wazanzibari wameifanya Tanganyika KUBWA JINGA.

Kanuni ipo wazi, ushenzi na mtu mshenzi hawezi kupata mafanikio ya kudumu, anaweza kupata ushindi wa muda fulani tu. Shetani humpa mwanadamu mafanikio ya muda mfupi kpumbaza ili ampate kikamilifu..

Wapo walioamini biashara haramu ya mwarabu ya utumwa ingezidi kunawiri na kamwe isingekufa, lakini ilikufa.
Wapo walioamini ukoloni wa mzungu usingekoma, hata baadhi ya maeneo, kama Msumbiji, ikatangazwa kuwa ni jimbo la Ureno, lakini ulikoma.
Vivyo hivyo ile IGA ya kishenzi ya Mwarabu kwa kushirikiana na makuwadi wao Watanzania, haitadumu.
 
Tatizo lenu mafarisayo huwaga fikra zenu huwa zinahama mkiona waarabu, hata kama kitu ni fact mpo tayari mropoke na kusapoti ujinga wakati takwimu zipo wazi
Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
 
Watanzania ni wavivu sana kusoma, ni wepesi kulalamika na hata wakisoma kitu ni wepesi wa kusahau, wali soma nini!, kila kitu kilielezna kwa maandishi kwenye ile IGA, kawa baada ya DPW kupewa HGA, kukitokea fursa zozote za uwekezaji kwenye Bandar zozote Tanzania, DPW pia wataalikwa, kwa vile Mao tayari capo nchini, ukitokea ushindani wowote, wao wana comparative advantage, kwasababu was tayari wapo nchini.
Kiukweli sii Watanzania sio tuu tuko very poor kwenye business lobbying and advocacy, bali ni kama tuko zero kwenye economic inteligence, hili la DPW tulipaswa tulibaini kitambo!, Rwanda haina bandari, hivyo tulipoona DPW wanajenga a dry port Kigali, watu wetu wa economical inteligence, walipaswa hili walione!, wakati wa maonyesho ya Expo Dubai, DPW akaisponsor Tanzania, tukasombelea watt Dubai, tukijua huyu ni msamaria mwema, kumbe watu wanaona mbali!.
P

Kuna maeneo umepotosha. Sijui kwa kukosa kumbukumbu au ni kwa kukusudia!!

IGA ile ya kishenzi inasema kuwa, kwenye maeneo yote ya nchi, baharini, maziwa mpaka kwenye mito, kukihitajika kufanyika uwekezaji, Serikali hairuhusiwi kumpa mwekezaji mwingine yeyote, bali italazimika kuitaarifu DPW. Sharti hili ni miongoni mwa vipengere vya kishenzi, na bahati mbaya kuna washenzi watanzania wenzetu wakauunga mkono mkataba huo Mama wa IGA unaosimamia mikataba yote midogo ya HGA.
 
Sasa wafanyakazi watakaoamua kubakia TPA watapelekwa bandari za maziwani huko Nyasa.
Ni vizuri pia wakawaone watz wenzao halisi wakishughulika na kujishughulisha na shughuli zao za kila siku katika jamii zao naamini watajifunza kitu
 
Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.

Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.

Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.

Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!

Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .

Deal na familia yako, Mambo ya hii nchi yanauma kuliko vidonda vya tumbo.
 
Back
Top Bottom