Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Habari ya kuachiana majimbo itakuwa ngumu.Unafikiri hao wanaotoka CCM watakubali kuachia majimbo yao? ni ngumu mkuu.utakuwa ugomvi ule ule..
 
Sorry, kama nimechelewa wandugu. Je mpendazoe alikuwa na cheo gani kwenye CCM?
 
sina wivu miye.. sipendi kukubali mawazo mepesi mepesi bila kuyahoji.. sasa mtu anasema kitu tukipokee tu kama makinda ya ndege tunduni?

Mwenyewe kafanya uchambuzi kaona CHADEMA wewe nawe unaleta CUF,CUF wanashirikiana na CCM zenji huku hawana wenzao.TLP kimeshajifia kinasubiri kuzikwa tu..Mwili unasubiri ndugu wa marehemu.Majibu yako wazi wala hukuhitaji kuhoji.Ehee unalingine wangu?
 
-Mkuu mwanakijiji

Hivi wakisema waungane na chama kama CUF ambao tunajua kule zenji wana ndoa na CCM halafu CCM wakiamua kuwatumia CUF kudhulumu mapambanno dhidi yao kwa kuwapa CUF masharti ya kuwasaliti CCJ itakua vipi?

-Kwanza sera za CHADEMA na matendo ya wabunge wa CHADEMA tangu 2005 yamekuwa ndiyo kichocheo kikubwa cha watu kama akina mpendazoe na hata hilo kundi lililoibuka ndani ya chama tawala.ChADEMA ndiyo iliyokuwa external force ya kumeguka kwa CCM au kuibuka kwa pande mbili ndani ya Chama tawala

CHADEMA wameonysha kwa vitendo wanaweza vita ya ufisadi

Sera za CHADEMA ni more reliable naziko consistent na yale wanayosimamia CCJ

CHADEMA ni chama cha mrengo wa kati,kinaweza ku-adjust na CCJ kuliko TLP

Ni risk kwa chama kama CCJ kuungana na mouth piece ya CCM yaani TLP au NCCR.Hao wote hawana jipya na wamekuwa wakikosoa vita ya ufisadi.Kwanza CCJ kuungana na watu kama akina Mrema ambaowatanzania wana mashaka nao basi CCJ itakuwa imejimaliza.Pia Mwenyekiti wa TLP hana historia ya kuongoza chama cha upinzani bila kukiangusha.so ni bora CCJ wakaungana na CHADEMA zaidi na kama kweli kundi la akina Mwakyembe likamua kujiunga nao basi waungane na CHADEMA na watakua na nguvu zaidi kwani hata bungeni hilo kundi liliungana na upinzani ingwa si kwa kiasi cha kuridhisha ktk mambo mbali mbali kule bungeni
 
Nilipata kusikia CCJ haitashiriki uchaguzi mkuu 2010 mpaka kipate usajili wa kudumu Mpendazoe anajipa matumaini ya kujenga chama mbadala wakati hajui kama atashiriki katika uchaguzi asishangae CCJ kupata usajili baada ya Oktoba 2010. Usinunue mbeleko kabla mtoto hajazaliwa

Du! Hii kali kwa hiyo mkuu, the furthest we can think of is 6months... i.e. is to say according to you... the life time of any part should only be during elections.
 
Sorry, kama nimechelewa wandugu. Je mpendazoe alikuwa na cheo gani kwenye CCM?

Mkuu Kasheshe,

Wacha hizo wewe nadhani uantaka ujibiwe halafu utoe majibu kama ya Msekwa vile....ni nini msingi wa swali lako if i may ask?

Najua ujanja wako,unataka kusema nini.lol
 
-Mkuu mwanakijiji

Hivi wakisema waungane na chama kama CUF ambao tunajua kule zenji wana ndoa na CCM halafu CCM wakiamua kuwatumia CUF kudhulumu mapambanno dhidi yao kwa kuwapa CUF masharti ya kuwasaliti CCJ itakua vipi?

-Kwanza sera za CHADEMA na matendo ya wabunge wa CHADEMA tangu 2005 yamekuwa ndiyo kichocheo kikubwa cha watu kama akina mpendazoe na hata hilo kundi lililoibuka ndani ya chama tawala.ChADEMA ndiyo iliyokuwa external force ya kumeguka kwa CCM au kuibuka kwa pande mbili ndani ya Chama tawala

CHADEMA wameonysha kwa vitendo wanaweza vita ya ufisadi

Sera za CHADEMA ni more reliable naziko consistent na yale wanayosimamia CCJ

CHADEMA ni chama cha mrengo wa kati,kinaweza ku-adjust na CCJ kuliko TLP

Ni risk kwa chama kama CCJ kuungana na mouth piece ya CCM yaani TLP au NCCR.Hao wote hawana jipya na wamekuwa wakikosoa vita ya ufisadi.Kwanza CCJ kuungana na watu kama akina Mrema ambaowatanzania wana mashaka nao basi CCJ itakuwa imejimaliza.Pia Mwenyekiti wa TLP hana historia ya kuongoza chama cha upinzani bila kukiangusha.so ni bora CCJ wakaungana na CHADEMA zaidi na kama kweli kundi la akina Mwakyembe likamua kujiunga nao basi waungane na CHADEMA na watakua na nguvu zaidi kwani hata bungeni hilo kundi liliungana na upinzani ingwa si kwa kiasi cha kuridhisha ktk mambo mbali mbali kule bungeni

Umenikuna Mkuu.
 
Sorry, kama nimechelewa wandugu. Je mpendazoe alikuwa na cheo gani kwenye CCM?

Nasikia siku hizi kwenye CCM ubunge sio cheo tena, hata Kasheshe hajui Mpendazoea alikuwa na cheo gani!! Nasikia mwingine yupo maelezo anajichomoa, ila yeye hajasema anaenda wapi!!
 
Mkuu kuimarisha upinzani si swala la kwenda CCJ peke yake, kwani hata mimi na wewe hatuju hiyo CCJ itakuwaje mbele ya safari, cha msingi ni kwa wanachama wa CCM wenye uchungu na Nchi hii, wenye nia ya kuletea mabadiliko, wenye msimamo Chanya kwenye rasimali za nchi hii wanatakiwa KUONDOKA CCM na kwenda Upinzani ili kuindoa CCM madarakani haraka na upesi iwezekanavyo kwani wamesibitisha kufilisika, Kiitikadi, hawana Uzalendo, hawana uchungu na Nchi hii na rasirimali zake.

Imefikia wakati si swala la kutaka bali ni lazima CCM waondoke.
kaka huko ni kubadilisha mashuka na kitanda kikabaki kile kile na kunguni walewale.Mimi huawaangalia sana watu wanaocross floor. Watu hawa wana mambo yao. Ningelipenda fani ya kubadili mambo iwe humo humo ndani kwa sababu gogoro si katiba wala kanuni gogoro ni kunguni waliotapakaa. Tunataka siasa za ushindani si kubadilisha godoro katika kitanda cha teremka tukaze. dot com wanaweza kulitambua hili lakini analogy anapoamua kukross floor ni kwa kuwa kuna mushkeri fulani wa midomo yake. Tusizungumzie utamu wa maneno ya asali yaliyomlainisha samsoni kutoka kwa delila kwani ukisoma sana nyaraka zilizopo na ukazifanyia uchambuzi wa kina utajua upupu ukoje na huwa unakuwaje. Zipo salamu za kutikisa ambazo watu wa analogy huwa wanaandaa kwa namna yao. Yoyote anayecross floor ni tatizo hasa wanapokuwa walikuwa madarakani. Tusivuruge platform ya demokrasia kwa kuhimiza kuungana sivyo tutakuwa na kitu kinachoitwa udikteta wa chama . Tuwajuze vyema vijana wetu haki yao ya msingi kama raia kuitaka serikali kufanyakazi na kasoro za kijinga zinaweza kuwa mahali popote pale, na ni vijana tu wanaoweza kufanya kalkuletedi riski hawa wazee wanavijimmabo vyao wa kishapu watupashe ni milioni ngapi zimeahidiwa na mashine zinazosaka ubunge kishapu na hapa tuwe wakweli na nyoyo zenu ziwasute
 
Big up mzee Ben
ingawa si rasmi lakini hearsay ni kwamba endapo CCJ hakitapata usajili wa kudumu kuna uwezekano mkubwa wa kuunganisha nguvu na Chadema, hearsay zingine ni kwamba CCM ilikuwa inataka CCJ isipate usajili kabla ya uchaguzi lakini baadaye kutokana na uwezekano wa CCJ na Chadema kushirikiana wakaona ni heri kipewe usajili ili kugawa kura za upinzani
 
Nasikia siku hizi kwenye CCM ubunge sio cheo tena, hata Kasheshe hajui Mpendazoea alikuwa na cheo gani!! Nasikia mwingine yupo maelezo anajichomoa, ila yeye hajasema anaenda wapi!!

Mkuu Kitila,

Hiyo ni habari njema ikiwa tu anayejitoa CCM sio fisadi,ni nani yuko maelezo mkuu?
 
Mwenyewe kafanya uchambuzi kaona CHADEMA wewe nawe unaleta CUF,CUF wanashirikiana na CCM zenji huku hawana wenzao.TLP kimeshajifia kinasubiri kuzikwa tu..Mwili unasubiri ndugu wa marehemu.Majibu yako wazi wala hukuhitaji kuhoji.Ehee unalingine wangu?
Mhhh huu sasa uzushi na sana nitasema ni fikira mgando, nahau zake ni ukabila! kama unabisha kenua meno yako na punguza hasira
 
Big up mzee Ben
ingawa si rasmi lakini hearsay ni kwamba endapo CCJ hakitapata usajili wa kudumu kuna uwezekano mkubwa wa kuunganisha nguvu na Chadema, hearsay zingine ni kwamba CCM ilikuwa inataka CCJ isipate usajili kabla ya uchaguzi lakini baadaye kutokana na uwezekano wa CCJ na Chadema kushirikiana wakaona ni heri kipewe usajili ili kugawa kura za upinzani

Na CCM watfanya kosa l mwaka kutoipa CCJ usajili wa kudumu.Na kwa vyovyote vile hata miezi mitatu ya mwisho kabla ya Uchaguzi CCJ na CHDEMA bado wataweza kukaa chini halafu wafanye assesment halafu wafanye strategic alliance,kila hali ni mbaya kwa CCM ikiwa CCJ na CHADEMA watajipanga fresh
 
Mhhh huu sasa uzushi na sana nitasema ni fikira mgando, nahau zake ni ukabila! kama unabisha kenua meno yako na punguza hasira

Wewe ukabila umeutoa wapi mkuu?
Acha haya mawazo ya kushoto kushoto mkuu,si mazuri for your health.Hebu jibu hoja
 
-Mkuu mwanakijiji

Hivi wakisema waungane na chama kama CUF ambao tunajua kule zenji wana ndoa na CCM halafu CCM wakiamua kuwatumia CUF kudhulumu mapambanno dhidi yao kwa kuwapa CUF masharti ya kuwasaliti CCJ itakua vipi?

-Kwanza sera za CHADEMA na matendo ya wabunge wa CHADEMA tangu 2005 yamekuwa ndiyo kichocheo kikubwa cha watu kama akina mpendazoe na hata hilo kundi lililoibuka ndani ya chama tawala.ChADEMA ndiyo iliyokuwa external force ya kumeguka kwa CCM au kuibuka kwa pande mbili ndani ya Chama tawala

I will not give all that credit to THEM excluding all others.

CHADEMA wameonysha kwa vitendo wanaweza vita ya ufisadi

Niliuliza hili swali huko nyuma ni vipi vitendo hivyo?

Sera za CHADEMA ni more reliable naziko consistent na yale wanayosimamia CCJ

I don't think so.. Chadema ni chama cha kibepari kama ilivyo CCM.

CHADEMA ni chama cha mrengo wa kati,kinaweza ku-adjust na CCJ kuliko TLP

angalia jibu langu hapo juu;

Ni risk kwa chama kama CCJ kuungana na mouth piece ya CCM yaani TLP au NCCR.Hao wote hawana jipya na wamekuwa wakikosoa vita ya ufisadi.Kwanza CCJ kuungana na watu kama akina Mrema ambaowatanzania wana mashaka nao basi CCJ itakuwa imejimaliza.Pia Mwenyekiti wa TLP hana historia ya kuongoza chama cha upinzani bila kukiangusha.so ni bora CCJ wakaungana na CHADEMA zaidi na kama kweli kundi la akina Mwakyembe likamua kujiunga nao basi waungane na CHADEMA na watakua na nguvu zaidi kwani hata bungeni hilo kundi liliungana na upinzani ingwa si kwa kiasi cha kuridhisha ktk mambo mbali mbali kule bungeni

chadema wamepewa nafasi yao na wameshindwa kuitumia mara nyingi.. wamebakia kutoa hoja za kisomi na kuvutia wasomi kwa hoja za kisomi.. so.. I don't know..
 
Back
Top Bottom