Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

mbona hakuna kinacho-support hoja yako? hapa huwa hatukubaliani na propaganda zisizo na mshiko.
 
Ndugu yangu Newmzalendo japo hadithi yako inafanana na ukweli lakini je haiwezekani nawe umetumwa na ccm ili kuua makali ya ccj maana ccm nao ni mafioosa wa kutosha. Suala ni muda. Tusubiri tutajua pumba na mchele
 
CCJ wanajua hawana nguvu katika uchaguzi wa mwaka huu hata wakiruhusiwa kugombea ubunge na uraisi.

Ikiwa kuna vigogo katika CCM ambao wanataka kujiunga na chama hicho, kukipa nguvu na jina kubwa, wanangojea nini? Miezi mingapi imebaki kabla ya uchaguzi? Watajiunga baada ya uchaguzi? Wakishinda katika uchaguzi wa mwaka huu, watakuwa wamechaguliwa kama wana CCM. Baada ya kuchaguliwa, nani anategemea wataondoka CCM, chama kilichowaweka na kuwatunza madarakani, mara tu baada ya kuchaguliwa au hata baada ya muda, na kwenda kujiunga na CCJ?

Msingojee CCM kupasuka.

Pia kuna dalili gani zinazo onyesha kwamba CCJ ni tofauti na vyama vingine vya upinzani vilivyoanzishwa kupambana na CCM? Kuna wananchi waliovutiwa sana na party manifesto ya CCJ. But the manifesto itself is not enough. Haitoshi!

Ikiwa vyama vya upinzani haviungani kuwa chama kimoja kikubwa na chenye nguvu bara na visiwani, au ikiwa havishirikiani katika uchaguzi kama opposition alliance, visahau kabisa kwamba wataking'oa Chama Cha Mapinduzi kutoka madarakani. Kuna wapinzani wanaoweza kuongoza nchi yetu vizuri kuliko CCM, kwa mfano, Dr. Slaa na wengineo, lakini hawana solid base at the grassroots level, katika kila wilaya, na katika kila mkoa, kama CCM kuweza kushinda katika uchaguzi mkuu na kuingia Ikulu.

Pia, CCJ, jiangalieni na mikoba yenu! The Kariakoo incident was just a warning. Ni onyo kubwa. You are dealing with a ruthless enemy.

As an opposition party, you need all the help you can get kutoka kwa wananchi na vyama vingine vya upinzani kuweza kupambana na CCM. Mkiungana, kama vyama vya upinzani, labda mtafanikiwa 2015 au 2020.

Mwaka huu, mtakuwa mnawasindikiza tu wana CCM mtakapokwenda kupiga kura. Ushindi ni wao mwaka huu. Ni jambo la kusikitisha lakini huo ndiyo ukweli. Jitayarishe kuongozwa, au niseme kupotezwa kama taifa, na CCM kwa muda wa miaka mitano ijayo.

Walaumu viongozi wa upinzani na waulize kwa nini wameshindwa kuungana au kwa nini hawataki kushirikiana ili wawe na nguvu ya kutosha kuweza kupambana na CCM kila mahali bara na visiwani.

Mapambano hayo siyo katika uchaguzi tu, wa halali, bali pia katika wizi wa kura. Nani hajui CCM wanaiba kura mara nyingi au labda katika kila uchaguzi? Kwa mfano, hawajawahi kushinda katika uchaguzi wowote visiwani. Kungekuwa na uchaguzi wa haki na halali visiwani, CUF wangekuwa madarakani.

Lakini mkiungana, kama wapinzani, you can dislodge CCM from power, ingawa siyo katika uchaguzi huu.
 
HUwezi kupinga ufisadi ukiwa CCM.NAomba wanaojipampanua kuwa wapiganaji wafanye kama wengine walivyofanya.
Big up Mpendazoe. Tunategemea kuona wengine wanafuata . ulisha onyesha mfano. Mhe. Sita Please be the next if you are serious of what you mean in front of the majority . As quick as you can.!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu,
Yaelekea kuwa Wembe wa CCM ni uleule wa 2005, utanyoa Vichwa vya zamani na kipya cha CCJ
. gonga Gogo usikie mlio: ngomaafrica — 04 April 2010 — The Ngoma Africa Band Presents song:Jakaya Kikwete 2010(Rumba)
Kwa hisani ya "NGOMA AFRICA BAND"...
 
Wakuu,
Yaelekea kuwa Wembe wa CCM ni uleule wa 2005, utanyoa Vichwa vya zamani na kipya cha CCJ
. gonga Gogo usikie mlio: ngomaafrica - 04 April 2010 - The Ngoma Africa Band Presents song:Jakaya Kikwete 2010(Rumba)
Kwa hisani ya "NGOMA AFRICA BAND"...

Waganga njaa hao.
By the way,kampeni za urais zimeanza tayari(kisheria)?
 
CCJ wanajua hawana nguvu katika uchaguzi wa mwaka huu hata wakiruhusiwa kugombea ubunge na uraisi.

Ikiwa kuna vigogo katika CCM ambao wanataka kujiunga na chama hicho, kukipa nguvu na jina kubwa, wanangojea nini? Miezi mingapi imebaki kabla ya uchaguzi? Watajiunga baada ya uchaguzi? Wakishinda katika uchaguzi wa mwaka huu, watakuwa wamechaguliwa kama wana CCM. Baada ya kuchaguliwa, nani anategemea wataondoka CCM, chama kilichowaweka na kuwatunza madarakani, mara tu baada ya kuchaguliwa au hata baada ya muda, na kwenda kujiunga na CCJ?

Msingojee CCM kupasuka.

Pia kuna dalili gani zinazo onyesha kwamba CCJ ni tofauti na vyama vingine vya upinzani vilivyoanzishwa kupambana na CCM? Kuna wananchi waliovutiwa sana na party manifesto ya CCJ. But the manifesto itself is not enough. Haitoshi!

Ikiwa vyama vya upinzani haviungani kuwa chama kimoja kikubwa na chenye nguvu bara na visiwani, au ikiwa havishirikiani katika uchaguzi kama opposition alliance, visahau kabisa kwamba wataking'oa Chama Cha Mapinduzi kutoka madarakani. Kuna wapinzani wanaoweza kuongoza nchi yetu vizuri kuliko CCM, kwa mfano, Dr. Slaa na wengineo, lakini hawana solid base at the grassroots level, katika kila wilaya, na katika kila mkoa, kama CCM kuweza kushinda katika uchaguzi mkuu na kuingia Ikulu.

Pia, CCJ, jiangalieni na mikoba yenu! The Kariakoo incident was just a warning. Ni onyo kubwa. You are dealing with a ruthless enemy.

As an opposition party, you need all the help you can get kutoka kwa wananchi na vyama vingine vya upinzani kuweza kupambana na CCM. Mkiungana, kama vyama vya upinzani, labda mtafanikiwa 2015 au 2020.

Mwaka huu, mtakuwa mnawasindikiza tu wana CCM mtakapokwenda kupiga kura. Ushindi ni wao mwaka huu. Ni jambo la kusikitisha lakini huo ndiyo ukweli. Jitayarishe kuongozwa, au niseme kupotezwa kama taifa, na CCM kwa muda wa miaka mitano ijayo.

Walaumu viongozi wa upinzani na waulize kwa nini wameshindwa kuungana au kwa nini hawataki kushirikiana ili wawe na nguvu ya kutosha kuweza kupambana na CCM kila mahali bara na visiwani.

Mapambano hayo siyo katika uchaguzi tu, wa halali, bali pia katika wizi wa kura. Nani hajui CCM wanaiba kura mara nyingi au labda katika kila uchaguzi? Kwa mfano, hawajawahi kushinda katika uchaguzi wowote visiwani. Kungekuwa na uchaguzi wa haki na halali visiwani, CUF wangekuwa madarakani.

Lakini mkiungana, kama wapinzani, you can dislodge CCM from power, ingawa siyo katika uchaguzi huu.

Good analysis.

Wangetaka kukitikisa Chama Cha Mapinduzi, if CCM can be shaken at all even by the defection of some its leading members, hao vigogo wangeishajiunga na CCJ tangu mwanzoni au baada ya siku chache bila kuchelewa.

You need about 20 or 30 such leading members - it's just an arbitrary figure - from CCM to join CCJ if CCJ is going to get the attention and the credibility it needs as a viable alternative to CCM many people have been talking about for so long when they say, and as Mwalimu said, real opposition is going to come from within CCM.
 
Haya ya mwalimu said this or that esp. kuhusiana na upinzani wa kweli kutoka ccm sasa diyo ganzi yetu.....!Halafu tunakuja baadae tunaulalalmika kuwa ni mapandikzi ya ccm.....Its time to use our common our sense...Tusitasiri mambo kama misahafu,inawezekana pia mwalimu alipozungumzia kuhusu upinzanikutota ndani ya ccm,ndiyo haya tunayoyaona,ila pengine hakunamaanisha wajotoe ccm,kwani Mrema hakujitoa ccm?...tutumie common sense,tunahitaji upinzani no matter,certaily upinzani wa kweli, what...mwalimu alijua kuwa mali zote za Taifa zimeshikiliwa na ccm na sasa baada ya ubinafshaji zimegeuka na kuwa ni maliza wadau wanaoihodhi ccm!na hivyo nina amini kuwa its time to think outside the box,starting with the point that mwalimu wanted changes but didnt knwow how it will come,he it knew it base on the facts by then,but thiese are different times,he didnt even know that Yuda(Mkapa) wouldv betrayed him and the nation as whole!This time we should embrass his patriotic, ideas national interesrts!ideas of true changes,humanity,equality and Ttew well being of the people,the most things mwalimu really cared about thats why he died poor but with hnor!he's the marty foe our nation!Its changes that do what we gotta do!
Aluta contunia!
 
Back
Top Bottom