Ujio wa Balozi Augustino Mahiga inaweza ikawa ndo mwisho wa mchungaji Peter Msigwa?

sosoliso hiyo namba moja ndio umepatia labisa upinzania haijawahi na haitokuja kutokea narudia tena kupata supporters wamaana . Watabaki na hao hao wavuta bangi na walevi mdio maana hatupata nafasi ya kuongoza Tanzania fullstop

Daaah.. Inawezekana ninajaribu kueleweshana na asieleewa.. Siku njema Mkuu..
 
Jitahidini kabisa hasipate hata kura za ukoo wake,ndio ataelewa kuwa Tanzania siyo ughaibuni

Umeshaelezwa hana hata ukoo wake huko aliwahamisha wote kuwapeleka town.Sasa sielewi anakuja kuwaxanganya akina nani tena huku.Duh kuwa msomi ni shida kweli kweli.
 
Nilimuambia Mwakalabela kuwa achana na historia angalia uhalisia.
Wananchi wa Iringa walimpigia mchungaji kura kwa wingi sababu ya hasira lakini baadaye wakagundua kuwa hasira yao iliwaongoza kupata kitu sahihi, hivyo anapaswa kuliona hilo katika muonekano wake wa sasa na siyo ule uliopita.

Kweli mkuu maana jamaa kaingia kwa zali baada ya CCM kumweka yule mama Mbega kwa lazima matokeo yake jamaa kama katosha jimboni kinyume na matarajio ya wengi kwa kuwa mwanzoni duru za siasa zilikuwa zinamwonyesha Mwakalebela kukubalika zaidi kosa walipokata jina jamaa akaibuka kidedea na kumtoa tena ni issue nzito
 
Wana Iringa tumeshaelimika hatudanganyiki au unafikiri CCM watatudanganya nin tena
 
Wewe ni fan wa Msigwa ushasema, hivyo huwezi kuwa impartial katika hili.

Piga kampeni.

Kuuliza balozi kakusaidia nini wakati numeeleza kaiingiza Tanzania katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kunaonesha labda hujui kwamba ingawa all politics is local, geopolitics determine local politics.

Hivi Kiranga unafanya kila mtu mpumbavu hajui hayo?Naweza nikawa sina PHD lakini ninajua the ABC za UN.In short hatumuhitaji kwa sasa asubiri kidogo.Asubirie kuteuliwa kuwa balozi tena.Hatuhitaji watu wa kwenda kusema ndiyooooo kwa vitu ambavyo havina manufaa kwa Taifa.Hao akina Balozi Kagasheki ungejua walichokifanya mpaka kupata Ubunge usinge weka kama mfano.

Na huyo unayemtetea naye najua atafanya kama alichofanya Balozi mwenzie,cha msingi usiwadharau watu ukadhani hawajua the ABC za UN na agencies zake.Pole sana...Kadanganye wengine huku Iringa hatudanyiki ng'ooooo.

Mwambie Wahehe wanamwambia "KURA za CCM kwa hela"Eh mwee Balozi Mahiga Alikwina?hahahah.
 
Daaah.. Inawezekana ninajaribu kueleweshana na asieleewa.. Siku njema Mkuu..

Pole mkuu maana kuna watu wanachukulia tofauti za itikadi za kisiasa kama uadui flani lakini ukweli unabaki palepale lengo kuu ni kumhudumia mwananchi kwa kutekeleza yale ambayo wanadhani kama chama kitashika dola kitayakamilisha na kukonga nyoyo za wananchi. Bado tuna mfumo CCM vichwani vyetu especially kwa sie tulioshuhudia mifumo yote yaani wa chama kimoja na huu wa vyama vingi kiasi kwamba kuna baadhi ya watu wanaona upinzani kama ni aina flani ya adui
 
Ccm inarudisha jimbo la Iringa mwaka mark my words people

Msigwa ana strategy ya kuwanunua madereva bodaboda na wapiga debe tu hakuna mkutano wa msigwa anawofanya ukahudhuriwa na matured people all his supporters are all unemployed or wavuta bangi tu. Hana ubavu mwaka huu . Ccm wamejipanga sana. So kama muna ndoto ya chadema kupata ubunge iringa please erase the dream.

hao wavuta bangi ndio wapiga kura acha zarau wewe nyie ndio mnachangia ccm kupigiwa kura za asira pumbavu sana.
 
Huo ni uroho wa madaraka, kaanzia Urais kashindwa, sasa Ubunge. Ingekuwa udiwani ni baada ya ubunge basi angeshindwa ubunge angeingia kwenye udiwani. Kwanza ni kwa nini kashindwa kinyang'anyiro cha Urais ndani ya CCM?
kwenye urais jina LILIKATWAAAAAAAAAAAAAAAAA.
 
huyo sosoliso anaonekana sio mtanzania watanzania wamelelewa kupendana sio kuzarau watu usiowajua huyu atakua mkimbizi aliepewa uraia ndio maana anaharisha ovyo mjinga kabisa
 
Ccm inarudisha jimbo la Iringa mwaka mark my words people

Msigwa ana strategy ya kuwanunua madereva bodaboda na wapiga debe tu hakuna mkutano wa msigwa anawofanya ukahudhuriwa na matured people all his supporters are all unemployed or wavuta bangi tu. Hana ubavu mwaka huu . Ccm wamejipanga sana. So kama muna ndoto ya chadema kupata ubunge iringa please erase the dream.

Na ndio wapiga kura hao hao unaosema wavuta bangi na wapiga debe. Hata hivyo Iringa itakuwa inatisha kumbe wale wote wanaojaa kwenye mikutano ya Msigwa ni wavuta bangi basi jeshi la polisi limelala
 
kila zama na historia yake, lakini wakati ndio utakao toa majibu ktk uchaguz ujao.

wa'tz wengi wamechoshwa na ccm.
 
Pole mkuu maana kuna watu wanachukulia tofauti za itikadi za kisiasa kama uadui flani lakini ukweli unabaki palepale lengo kuu ni kumhudumia mwananchi kwa kutekeleza yale ambayo wanadhani kama chama kitashika dola kitayakamilisha na kukonga nyoyo za wananchi. Bado tuna mfumo CCM vichwani vyetu especially kwa sie tulioshuhudia mifumo yote yaani wa chama kimoja na huu wa vyama vingi kiasi kwamba kuna baadhi ya watu wanaona upinzani kama ni aina flani ya adui

Hayo maneno ya mwisho mpelekee kibajaji
 
Maskini huyo mzee hana washauri? Kwa hapa Iringa ataaibika aisee. Anatakiwa ajiongeze sio anakurupuka tu. Labda akajaribu isimani.
 
Na ndio wapiga kura hao hao unaosema wavuta bangi na wapiga debe. Hata hivyo Iringa itakuwa inatisha kumbe wale wote wanaojaa kwenye mikutano ya Msigwa ni wavuta bangi basi jeshi la polisi limelala

Umemjibu vizuri mno.Maeneo yote waliyopata wapinzani wabunge wao wanaambiwa wamechaguliwa na wavuta bangi.Huwa najiuliza watu zaidi ya maelfu unasema ni wavuta bangi,basi serikais ininakuwaje?na polisi imelala .Majimbo 48 kuna watanzania zaidi ya milioni nane hivi hawa wote ni wavuta bangi?Walevi wa gongo na watu wasiojitambua?Wote hawa.ni unemployed ?Basi Serikali yetu irudi nyuma ijitafakari wavuta bangi wote hawa
 
Pole mkuu maana kuna watu wanachukulia tofauti za itikadi za kisiasa kama uadui flani lakini ukweli unabaki palepale lengo kuu ni kumhudumia mwananchi kwa kutekeleza yale ambayo wanadhani kama chama kitashika dola kitayakamilisha na kukonga nyoyo za wananchi. Bado tuna mfumo CCM vichwani vyetu especially kwa sie tulioshuhudia mifumo yote yaani wa chama kimoja na huu wa vyama vingi kiasi kwamba kuna baadhi ya watu wanaona upinzani kama ni aina flani ya adui

Kabisa Mkuu.. Hawajui mwisho wa siku shida ninayopata mie ndo anayopata yeye, ndugu zake na watu wengine wengi.. Kama serikali ya chama fulani imeshindwa kukuwekea mazingira mazuri ya kuishi na wakati unalipa kodi kama wajibu unavyotaka kuwasema na kuwabadilisha ni kitu cha kawaida kabisa..
 
What I would like to see is a gair and transparent system, rooted in real democracy.

May the best candidate win.
 
sosoliso That is your problem . You only rely on those type people. Vyama vya upinzani viyanze kujifunza how to utilize people the thing is that oposition party ndio inayo wakandamiza hawo ma jobless na wavuta bangi. Badala ya kuwaepusha na hivo vitu wao wanawajaza ujinga na kuwa depress infact hao wote leo wangiwa na proper class life je wangebakia huko chadema au kuwababaikia hao wapinzani??? Lets move on kwa facts. The only way ya hao majobless kupata pesa ya bangi kwa siku ni kuwasupport hao chadema thats why vyama vya upinzani watabakai na uneducated na unmatured supporters mpaka end of the world.

Hiki kidhungu hiki cha huyu "educated" mbona kinatuacha hoi sie "uneducated" .Unamiss point vibaya sana,utawalaumuje hao Vyama vya upinzani wakati Nchi hii imekuwa chini ya CCM kwa 50+ years,nani mwenye jukumu la kuwafanya watu wake wawe "educated'? Ni hao walioko madarakani na wanaokusanya kodi au hawa wanaopigania kuingia madarakani? Endeleeni na madharau yenu nyie "educated" but come october 2015 tutaheshimiana tu.
CC; sosoliso
 
Subutu yake mahima!,hili jimbo ccm walilikosa baada ya kumkata mwakalebela 2010,na wameonja utamu wa msigwa,pia mwakalebela kachukua tena fomu mwaka huu bas mahiga akipitishwa na ccm mjue saa mbili asubuhi msigwa keshachukua jimbo
 
Back
Top Bottom