lolawakingwa
Member
- Jul 13, 2015
- 67
- 27
@precisepangolin unajiskiaje mkiu baada ya Mahiga kupewa uwaziri.
vipi bado imani yako inakutuma kuamini ulichoandika ?Kwa wale ambao mna umri wa kati na kuendelea mtakumbuka kwamba Willfred Lwakatare alikuwa Mbunge wa Bukoba mjini kupitia CUF na alikuwa na influence nyingi sana.
Lakini CCM walivyo wajanja wakampeleka Balozi Hamis Kagasheki, na huo ndo ulikuwa mwisho kumuona Lwakatare bungeni.
Je, historia itajirudia kwa Iringa mjini?
October sio mbali, tusubiri.
Abunuwas kwenye vitabu vya hadith ni kiongozi wa ujinga na upumbavu. Unaleta hoja ya kipumbavuKwa wale ambao mna umri wa kati na kuendelea mtakumbuka kwamba Willfred Lwakatare alikuwa Mbunge wa Bukoba mjini kupitia CUF na alikuwa na influence nyingi sana.
Lakini CCM walivyo wajanja wakampeleka Balozi Hamis Kagasheki, na huo ndo ulikuwa mwisho kumuona Lwakatare bungeni.
Je, historia itajirudia kwa Iringa mjini?
October sio mbali, tusubiri.
vipi bado imani yako inakutuma kuamini ulichoandika ?
Mahiga amefanya nini tangu awe mwanasisa kutoka Iringa.....zero.....mtu wa matunizi kama jk na kujichumbua.....muulize kwa nini alitengana na ms Janet mbene
Huyu mzee hata afanyeje hamuwezi kamanda msigwa labda viti maalumu
hilo ni kweli sana. watu wa Iringa si wa mchezo. kama hajui kishwahili ndo basi tena.si rahisi kumtoa msigwa. Japokuwa waliwahi mchagua wa NCCR mwaka 95-2000 wakamtoa mbaya. kisa hakufanya kazi vema. kwahiyo tusubirihuyu balozi yeye na watoto wake hawajui kiswahili vizuri,waliwatelekeza watu wa iringa kwa miaka mingi na hata famikia yake haiishi iringa. mtu pekee ambaye anafanana na wana iringa na amekaa nao miaka ni msigwa
mambo ya kuachana na Janeth na kuingia Ubunge Iringa wapi na wapi?Mahiga amefanya nini tangu awe mwanasisa kutoka Iringa.....zero.....mtu wa matunizi kama jk na kujichumbua.....muulize kwa nini alitengana na ms Janet mbene
Upumbafu ndo huuWananchi wa Iringa Mjini wameteseka kwa miaka 5, sasa inatosha.
Mandla.
Pepo mchafuuu tokaaaaaMwakalebela ndio kipenzi cha Wana Iringa ndie mbunge wa Iringa.
mkuu naona umerukia kunitukana kwa thread iliyoandikwa kabla ya tukio. miaka 10 iliyopita lwakatare alipoteza ubunge wa bukoba kwa kagasheki baada ya ubunge wa miaka 5 kabla akiwakilisha CUF. angalia thread ilikuwa ya lini sio kurukia tu kutukana. after all ilikuwa ni mada mtambuka wala siku-conclude. jifunze, hamna duka la busara useme ukanunue.Abunuwas kwenye vitabu vya hadith ni kiongozi wa ujinga na upumbavu. Unaleta hoja ya kipumbavu
1. Lwakatare ni mbunge wa Bukoba amemuangusha Balozi Kagasheki.
2. Kwani huyo balozi wa Iringa hakugombea ndania ya CCM
Upuuzi wenu CCM kupiga ramli mnajidhalilisha
Kwani wewe hukusoma hekaya za Abunuwas?mkuu naona umerukia kunitukana kwa thread iliyoandikwa kabla ya tukio. miaka 10 iliyopita lwakatare alipoteza ubunge wa bukoba kwa kagasheki baada ya ubunge wa miaka 5 kabla akiwakilisha CUF. angalia thread ilikuwa ya lini sio kurukia tu kutukana. after all ilikuwa ni mada mtambuka wala siku-conclude. jifunze, hamna duka la busara useme ukanunue.
Nipo na Mwakalebela kwenye group letu la wasapu ngoja nicopy nikampistie kule hii post yako imedhihiri na bado inaishi ili mwaka 2020 asipoteze tena pesa zake maana najuwa wapo njaa kali wa ccm watamdanganya achukuwe fomu.Nilimuambia Mwakalabela kuwa achana na historia angalia uhalisia.
Wananchi wa Iringa walimpigia mchungaji kura kwa wingi sababu ya hasira lakini baadaye wakagundua kuwa hasira yao iliwaongoza kupata kitu sahihi, hivyo anapaswa kuliona hilo katika muonekano wake wa sasa na siyo ule uliopita.