Ujio wa Balozi Augustino Mahiga inaweza ikawa ndo mwisho wa mchungaji Peter Msigwa?

Watu wengine kwa kuota ndoto za mchana hamjambo...sasa huyo Balozi Mahiga kaishia wapi Abunuas? Kama hajui kutoa rushwa hana nafasi ndani ya CCM na sasa naambiwa yule mtoaji mzuri wa rushwa wa mwaka 2010 keshafanya vitu vyake, Mahiga hoi kwa Mwakalebela!
mkuu kama haya uyasemayo ni kweli basi nimenyoosha mikono. sikutarajia kabisa. mwaka huu hawatamshitaki tena maana tamaa yao iko kwenye jimbo kuliko hata maadili,
 
Kwasababu iringa njini vibaka sio wengi ccm hilo jimbo walisahau ccm labda wacheze na dar kidogo kwasababu dar vibaka wapo wapo kidogo na unavyo fanya siasa za ccm ukishindwa lazima ufirisike kwasababu wale bwana wanajuaga hawana sifa kwahiyo huwa watumia njia ya kuhonga ili wakubalike lakini saizi watu wengi walisha salapuka hela anachukua na kura hakupi

So wanaccm mnao fanya siasa za hivyo jiangalieni kufilisika kupo pimeni upepo halafu jiwekezeni baadaye msije kuwa ombaomba mm nafamu vizuri ccm wagombea wao huwa mara nyingi hawana marafiki wa ukweli kila siku wanataka kutolewa hata kama hawajafanya kazi.
 
Huyu mtu kaishia wapi hadi leo hii? Alitangaza kuwania urais, watoto nao wakaanza kujitokeza kwa staili kwamba wameishi us, au wakaamini ni warembo kumtetea baba. Yuko wapi baada ya kula,ba vumbi la maadili mabovu?
 
hazole1 utafilisika wewe lakini CCM haitotetereka . Naona huijui vizuri CCM unaisikia tu. Safari hii Chadema hawana chao Iringa Mjini
 
Last edited by a moderator:
Hivi Kiranga unafanya kila mtu mpumbavu hajui hayo?Naweza nikawa sina PHD lakini ninajua the ABC za UN.In short hatumuhitaji kwa sasa asubiri kidogo.Asubirie kuteuliwa kuwa balozi tena.Hatuhitaji watu wa kwenda kusema ndiyooooo kwa vitu ambavyo havina manufaa kwa Taifa.Hao akina Balozi Kagasheki ungejua walichokifanya mpaka kupata Ubunge usinge weka kama mfano.

Na huyo unayemtetea naye najua atafanya kama alichofanya Balozi mwenzie,cha msingi usiwadharau watu ukadhani hawajua the ABC za UN na agencies zake.Pole sana...Kadanganye wengine huku Iringa hatudanyiki ng'ooooo.

Mwambie Wahehe wanamwambia "KURA za CCM kwa hela"Eh mwee Balozi Mahiga Alikwina?hahahah.

Naona unancaganya na tu mwngine.

Wapi nimemtaja bozi Kagasheki?

Kwa nini umhukumu balozi mmoja kwa kutumia rekodi ya balozi mwingine?
 
Naona unancaganya na tu mwngine.

Wapi nimemtaja bozi Kagasheki?

Kwa nini umhukumu balozi mmoja kwa kutumia rekodi ya balozi mwingine?

Nimekupa mfano wa Kagasheki ambaye pia ni balozi.Namna alivyoupata Ubunge unafahamu ndicho ninakieleza.sijasema umemtaja mimi ndiyo nimeweka mfano.Kama hukunielewa basi lugha ya taifa imenichanganya.pole
 
huyu balozi yeye na watoto wake hawajui kiswahili vizuri,waliwatelekeza watu wa iringa kwa miaka mingi na hata famikia yake haiishi iringa. mtu pekee ambaye anafanana na wana iringa na amekaa nao miaka ni msigwa

Mimi nitasononeka sana endapo wana Iringa watashoboka na huyu mzee asieelewa hata taabu za wazee na vijana wa Iringa. Uelewa wa Msigwa kwa nyanja zote huyu mzee hatii mguu kwake yaani hata nusu yake.Wana Iringa huwezi kufanyia majaribio maendeleo mliofikia chini ya mchungaji kama vile huwezi kujaribu sumu kwa kuionja. Vijana waelimisheni wazee wasivutike na mzee mwenzao mkala hasara ya miaka mitano. Tumechoka na ndioooooo na kucheza viduku bungeni kwa wabunge wa ccm.
 
Kwa wale ambao mna umri wa kati na kuendelea mtakumbuka kwamba Willfred Lwakatare alikuwa Mbunge wa Bukoba mjini kupitia CUF na alikuwa na influence nyingi sana.

Lakini CCM walivyo wajanja wakampeleka Balozi Hamis Kagasheki, na huo ndo ulikuwa mwisho kumuona Lwakatare bungeni.

Je, historia itajirudia kwa Iringa mjini?

October sio mbali, tusubiri.

Kapigwa chini asubuhi kwenye mazoezi tu kabla ya.mechi
 
Mimi nitasononeka sana endapo wana Iringa watashoboka na huyu mzee asieelewa hata taabu za wazee na vijana wa Iringa. Uelewa wa Msigwa kwa nyanja zote huyu mzee hatii mguu kwake yaani hata nusu yake.Wana Iringa huwezi kufanyia majaribio maendeleo mliofikia chini ya mchungaji kama vile huwezi kujaribu sumu kwa kuionja. Vijana waelimisheni wazee wasivutike na mzee mwenzao mkala hasara ya miaka mitano. Tumechoka na ndioooooo na kucheza viduku bungeni kwa wabunge wa ccm.
tayari mzee wa watu kapigwa ngwara na mwakalebela kwenye kura za maoni ccm. sikulitarajia hilo hata kidogo. ama kweli siasa zimefikia patamu.
 
tayari mzee wa watu kapigwa ngwara na mwakalebela kwenye kura za maoni ccm. sikulitarajia hilo hata kidogo. ama kweli siasa zimefikia patamu.

Asante kwa taarifa mkuu. Ombi langu bado lipo pale pale jamani bahati mliyo nayo kumpata mch.Msigwa msije kumlinganisha na huyo gamba. Mkikumbuka viziri huyo huyo Mwakalebela alishayazuia maendeleo ya wana Iringa kwa miaka mitano pale aliposhindwa kupigiwa mhuri unaostahili kwenye fomu za kugombea ubunge tena kwa makusudi tu ili aenguliwe kwa manufaa yake mwenyewe. Kama nimesahau nikumbushwe lakini nakumbuka alishaichezea chadema mchezo huo mchafu.
 
kwanza mimi sio mwana-iringa, kwa hiyo kwenye kapu la kura sina faida wala hasara kwa msigwa
2. mwakalebela alikatwa 2010 na ccm kwa kugawa rushwa kama alivyofanya lowasa mwaka huu. kwa hiyo hayo ya form nadhani umechanganya habari.
3. ningependa hata mimi yule jamaa arudi bungeni, lakini hata hivyo kutakuwa na challenge maana ujio wa chiku ubwao-ACT na mwakalebela-CCM kutakuwa na mgawanyo wa kura hapo. labda tusubiri hiyo octoba tutaona sote.

Asante kwa taarifa mkuu. Ombi langu bado lipo pale pale jamani bahati mliyo nayo kumpata mch.Msigwa msije kumlinganisha na huyo gamba. Mkikumbuka viziri huyo huyo Mwakalebela alishayazuia maendeleo ya wana Iringa kwa miaka mitano pale aliposhindwa kupigiwa mhuri unaostahili kwenye fomu za kugombea ubunge tena kwa makusudi tu ili aenguliwe kwa manufaa yake mwenyewe. Kama nimesahau nikumbushwe lakini nakumbuka alishaichezea chadema mchezo huo mchafu.
 
Nimekupa mfano wa Kagasheki ambaye pia ni balozi.Namna alivyoupata Ubunge unafahamu ndicho ninakieleza.sijasema umemtaja mimi ndiyo nimeweka mfano.Kama hukunielewa basi lugha ya taifa imenichanganya.pole

Hujajibu swali.Kwa nini una unatumia rekodi mtu mmoja kumhukumu mtu mwingine?
Mtu akikuhukumu wewe kwa kosa langu kwa sababu tu wote ni members JF atakuwa kafanya sawa?
 
Hujajibu swali.Kwa nini una unatumia rekodi mtu mmoja kumhukumu mtu mwingine?
Mtu akikuhukumu wewe kwa kosa langu kwa sababu tu wote ni members JF atakuwa kafanya sawa?

Sijamuhukumu,ila sina IMANI nao just that.Kama nisivyo na IMANI na Lowassa.Hivi unadhani leo hii mfano tu kuna watanzania wangapi hawaamini WASOMI watanzania?Utawalaumu hao watanzania?Usinilaumu tabia ya hawa imenifanya nisiwaamini wala sina sababu ya kutuhumu mtu
 
Kukosa imani juu ya mtu mmoja kwa sababu ya makosa ya mwingine ni kumhukumu visivyo.
 
Kukosa imani juu ya mtu mmoja kwa sababu ya makosa ya mwingine ni kumhukumu visivyo.

Nitakukatalia.Leo wengi wetu hatuna IMANI NA TUME ya uchaguzi na wanajua hatuna imani nao lakini je tumewahukumu ??Kila mtu na ajitazame mwenyewe ndani ya nagsi yake.Sina cha kuhukumu ila imani tu juu yake ni haba.
 
Hujaelewa hoja yangu pengine huna uwezo wa kuelewa.

Mimi nakueleza habari za mtu, wewe unaleta habari za tume.

Unafahamu tofauti ya mtu na tume?

Imani juu yake ni haba kwa sababu ya mambo yaliyofanywa na mwingine?
 
Nimeielewa vyema sana,na ndiyo maana nimekujibu.usimundermine mtu usiyemjua.Pole
 
Back
Top Bottom