UsinambieSijaona point yako mkuu!!
sajaseama Hivyo mkuu, hala hala kidole na jicho!Ukimaanisha wanaume wa dar
Nilikua nauliza tusajaseama Hivyo mkuu, hala hala kidole na jicho!
DuuhhUjinga ni kufikiria kwa kichwa cha uboro
Ujinga n kuzani bongo n yanga na Simba tu ndo wanawezaUjinga ni kudhani Yanga itakua bingwa wa milele soka la Bongo
Ujinga n kuamin sis bila misaada hatuweziUkifeli ndo mwisho wa maisha@wanafunzi
Ha ha haUjinga ni kudhani kuwa wewe sio mjinga.
Ujinga ni kudhani kuwaaminisha wtz wa leo kuwa Lowassa ni fisadi itaisadia ccm kurudisha imani kwa wananchiujinga ni kudhani kuna watu watakuunga mkono kwa kuandika ujinga wako
haha hahaaaa haaaaaUjinga ni BINTI KUFUTA NAMBA YA HAWARA YAKE KWA HASIRA WAKATI ANAYO KICHWANI