Ujinga uliopo leo duniani

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,635
Kuna Hali ya mkanganyiko wa kutotaka kufikiri vizuri au kuchambua!! TENA wakati mwingine ni kujitoa tu akili ilihali ukweli unajulikana na huu upo dunia kote!!
Haya ni MAMBO YANAYODHIHIRISHA HILO
Ujinga ni kudhani "TANZANIA NI NCHI YA AMANI WAKATI WATU WANAKUFA KILA SIKU "

Ujinga ni Kudhani "KILA MWARABU MUISLAM"

Ujinga ni Kudhani "KILA KIZURI KIMETOKA KWA MZUNGU"

Ujinga ni kudhani "VYA MCHINA FEKI"

Uinga ni kudhani" KILA MWANA CCM NI FISADI"

Ujinga ni kudhani"UMASIKINI WETU UTATATULIWA KWA MISAADA"

Ujinga ni Kudhani "WATUMIAJI WA SOCIAL MEDIA HAWANA KAZI ZA MAANA"

ONGEZA UJINGA MWINGINE ULIOPO
Ujinga ni "
 
Watu wamezoea Kuponda tu lkn uliyosema mengi hayanavubaya na zaidi ni elimu tosha kwa wengine mfano in kweli watu wengi hujua kua Waarabu wote ni waislamu..kumbe kuna nchi nyingine za kiarabu wakristo ni hata zaidi ya waislamu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom