Ujinga Ni........

Ujinga kuazima gari kwenda kuonana na kidate chako siku ya kwanza
Ujinga kuazima nguo/pochi/viatu kwenda navyo shereheni
Ujinga kujidai kuongea kiingereza wakati upo na wabongo wenzio
 
Ujinga ni kumponda dem aliekutolea nje.
Ujinga ni kupanda daladala kwa bei isiyo halali.
Ujinga ni kusema nilipata mimba bahati mbaya.
Ujinga ni ujinga tu, kusema ujinga ni ujinga!
 
ujinga ni kuwahi ofisini ili tuu aka-sign in JF na kamalizia siku huko!!:yawn:
 
Ujinga ni kusali wakati wa chakula cha mchana wakati mda wote umeshnda unakula..
 
Back
Top Bottom