Ujinga Ni........

Ujinga ni kujifanya wamasaki kumbe manzese
Ujinga nikuchekacheka kila wakati
Ujinga ni kuwaambia watu waogelee wakati wewe waziri
 
ni ujinga kujifanya una gorofa halafu mafuriko yakija unaanza kuomba msaada! ni ujinga kujidai umenunua gari kumbe la kukodisha
 
Ujinga ni kumponda Rooney na Nani wakati walishakupiga 8...!
 
>>Ujinga ni kwenda kanisani/ msikitini kutubu huku ukijuwa baadaye kuna dem utamchapa.
>>Ujinga ni kuwadharau wanawake huku mama yako naye ni mwanamke.
>>Ujinga ni kudharau nchi yako Tanzania huku uwezo hata wa kwenda Kenya huna.
 
Ujinga ni kuandika ujinga kwenye thread ya kijinga iliyoanzishwa na mjinga huku wewe ni mjinga na hujui nini maana ya ujinga
 
1. Ujinga ni wezi kugoma na kuandamana wakidai siku za mwizi ziongezwe kutoka 40 hadi 60
2. Ujinga ni shabiki wa arsenali kuoga na sabuni inaitwa 'ushindi'
3. Ujinga ni kuweka status facebook ukisema "mwisho wa mwezi umefika." alafu landlord wa nyumba unayoishi ana 'like'
4. Ujinga ni msichana kuvaa blouse imeandikwa 'nime-chill' wakati ni mja mzito
5. Ujinga ni kwenda media house kuomba kazi ya kuosha 'vyombo vya habari'
6. Ujinga ni kuuliza kama generator inatumia stima
7. Ujinga ni kupiga viatu rangi na unaenda kupigwa passport size photo
8. Ujinga ni kuitisha toothpick baada ya kunywa maji
9. Ujinga ni kumpa mtoto wako jina 'tov' ndio watuu mtaani wakuite 'babatov (berbertov)'
10. Ujinga ni kupaka ariel rangi ili tv yako ya black and white iwe coloured.

tuliozaliwa tarehe 29 febuary, mwakani hatuna birthday
 
Ujinga ni kutafuta remote ya tv kwa dk 10 wakati tv iko karibu yako
Ujinga ni kupunguza sauti ya redio ili usome meseji
 
Ujinga ni kukuta mlangoni pameandikwa PUSH we una PULL, VUTA we una SUKUMA...
 
sijui na huu ni ujinga!

Unapunguza sauti ya redio ya gari ku-save petrol
unatembelea dim-light ku-save petrol
umekaa na mzazi wako karibu huku unasoma gazeti, mara unaona picha ambayo haijakaa vizuri kimaadili unakimbilia kujificha mbaaaaaali kweli kumbe mzazi wako ni kipofu!
 
unapomunea aibu kipofu!

unapoenda mbali kuongea na simu ili jirani yako asisikie kumbe jirani ni kiziwi!
 
Ujinga ni kupewa degree za bure mpaka ukawa daktar kisa baraza lako la mawaziri na bunge kuna madokta na ma prof wa kutosha
ujinga ni kuilazimisha shlng ishuke mpaka 2950 ifikapo mwez wa march mwaka huu
 
Back
Top Bottom