Ujinga ni kununua umeme wa maji toka Ethiopia wakati Nile inaanzia Tanzania

Inchi Yenye Mito Na Mabonde, Milima na Bahari. Ina Wastani wa Nyuzi Joto 24 Kwa Mwaka. Inchi Yenye Gesi za Asili na Makaa Ya Mawe.

Inchi ina Mazingira Yote Rafiki kwa Umeme wa Jua, Makaa Ya Mawe, Gas, Maji na Takataka.

Lakini Yote ni Ukosefu wa Maono na Vipawa Vya Uongozi na Kukosa Msingi Mzuri wa Maendeleo ya Nchi. Hatujui Nini Tunataka Kipi cha Umuhimu Na Nini cha Hanasa.

Tunakurupuka Tu na Serikali Ikisema Basi Inakuwa, Wananchi Wamekuwa Kama Tools tu Ya Wao Kuwa Madarakani na Kufanya Wanachotaka. Wananchi Hawahoji, Bunge Halioji, Mahakama Iko Kimya Basi Tunakwenda Tu Kama Magari Mabovu.

badala ya smart President tuna JPM -T A LISSU
 
Nchi hii inaongozwa kwa kiki sana na vodafaster. Ni miaka mingi tulikua na tatizo LA walimu, ikatoka proposal wanafunzi wote wabaomaliza watafanya kozi ya mwezi mmoja na watakua walimu, agenda ikapotea.

Tukaja na issue ya udom, tutakasema kwa kuwa tunaupungufu wa walimu basi tuwachukue wanafunzi waliofanya vizuri olevel wasome diploma 3 yrs kisha wakafundishe , sisonje akaitupilia mbali.

Kwa nini tunapo kuwa na tatizo tunakua wepesi wa kutafuta solution zima moto badala ya kupanga kuliondoa tatizo kimkakati.

Hii ndio sababu umaskini hautoki Tanzania kwa sababu viongozi hawaoni mbali. kila mmoja anataka kuona amefanya kitu.

Kiongozi mzuri ni yule anayepanda mti hali akijua kivuli chake hata kifaidi.

Nimesikia tunachukua umeme Ethiopia ili kutekeleza Sera ya viwanda, ina maana kelele zote za viwanda tulikua tunadabganyana, viwanda bila umeme api na wapi. umeme wenyewe ni wa maji walau ungekua wa nuclear.

Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na mito na maziwa mengi hadi bahari, shida IPO wapi kutekeleza miradi ya maji iliyopo kwenye mafaili ya tanesco.

Muhongo uliingia wizarani ukakuta kuna miradi lukuki ya maji ambayo jumla yake inaweza fikia zaidi ya MW 5000, ukaifuta na kuja na Sera ya umeme wa gas, huo umeme upo wapi na kwanini umekubali kununua kitu ambacho ulisema kimepitwa na wakati?

Nakaribia kuwa zuzu kwa sababu ya viongozi wasio na maono.
Sijaelewe unachosema? Sababu at a afrika kusini wananunua umeme nje Mozambique, acha viroba
 
D
HUNGER STRICKEN COUNTRY WITH LIFE THREATENED CHILDREN NOW TO SELL ELECTRIC POWER TO TANZANIA IS A SHANE THAT ONLY CCM CAN BEAR!
Duh! Kingereza jamani. Hii lugha jamani jamani jamani
 
mbona unakuwa kama dumejike hueleweki msimamo wako
naona umepanic dogo.
1:Umeme wa Ethiopia ni cheapest, na hili halijajulikana jana Toka siku nyingi...
2:Tuliambiwa na Mramba gesi (Ikikamilika Tatizo la Umeme litakuwa historia), Kwanza tatizo halijawa Historia, pili Umeme wa gesi ni very expensive, Bado inajustfy kununua umeme bei rahisi ili kuwapa changamoto wafuaji umeme ghali wa tanzania.
 
Nchi hii inaongozwa kwa kiki sana na vodafaster. Ni miaka mingi tulikua na tatizo LA walimu, ikatoka proposal wanafunzi wote wabaomaliza watafanya kozi ya mwezi mmoja na watakua walimu, agenda ikapotea.

Tukaja na issue ya udom, tutakasema kwa kuwa tunaupungufu wa walimu basi tuwachukue wanafunzi waliofanya vizuri olevel wasome diploma 3 yrs kisha wakafundishe , sisonje akaitupilia mbali.

Kwa nini tunapo kuwa na tatizo tunakua wepesi wa kutafuta solution zima moto badala ya kupanga kuliondoa tatizo kimkakati.

Hii ndio sababu umaskini hautoki Tanzania kwa sababu viongozi hawaoni mbali. kila mmoja anataka kuona amefanya kitu.

Kiongozi mzuri ni yule anayepanda mti hali akijua kivuli chake hata kifaidi.

Nimesikia tunachukua umeme Ethiopia ili kutekeleza Sera ya viwanda, ina maana kelele zote za viwanda tulikua tunadabganyana, viwanda bila umeme api na wapi. umeme wenyewe ni wa maji walau ungekua wa nuclear.

Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na mito na maziwa mengi hadi bahari, shida IPO wapi kutekeleza miradi ya maji iliyopo kwenye mafaili ya tanesco.

Muhongo uliingia wizarani ukakuta kuna miradi lukuki ya maji ambayo jumla yake inaweza fikia zaidi ya MW 5000, ukaifuta na kuja na Sera ya umeme wa gas, huo umeme upo wapi na kwanini umekubali kununua kitu ambacho ulisema kimepitwa na wakati?

Nakaribia kuwa zuzu kwa sababu ya viongozi wasio na maono.
Jamani tumekuwa wabinafsi sana bwana,tuache kulalamika maana vichwa na mishipa itauma sana.Kila siku humu nikulalamika tu hakuna mtu anayekuja na mawazo chanya yakuisogeza nchi.
Binafsi Mimi sijaona tatizo lolote hapo la kununua umeme Ethiopia kama tunaupata kwa bei nafuu sana kuliko huu wa Tanesco.Mkumbuke jambo moja hata Raisi wetu mstaafu alisema ukitaka kula lazima nawewe uliwe.Maana yake hapo nikwamba unapoomba usaidiwe kitu fulani lazima pia hiyo nchi nayo iombe msaada au fulsa kutoka kwako.
Sasa mnachekelea kujengwa sehemu kubwa ya kuifadhiwa mizingo ya ndege itakayokuwa inachukuliwa naa Ethiopia alafu wenyewe wawe wanawaangalia tu.Serikali ilichokifanya ni kitu chema.Wanapofanya jambo jema tuwapongeze na wanapokosea pia tuwakosoe.
 
Tumeshagota mkuu...

Inafika mahali unaona usomi Tanzania hauna maana... Maana hao wasomi baadala ya kusaidia kutatua matatizo wao ndio wanaongeza matatizo.

Sisi leo hii niwakununua umeme kutoka Ethiopia?
Sasa hivyo viwanda vyenyewe hiyo production cost si itakuwa ya juu sana??..
......
......somo la.kupiga Kura bado sana
 
Jamani tumekuwa wabinafsi sana bwana,tuache kulalamika maana vichwa na mishipa itauma sana.Kila siku humu nikulalamika tu hakuna mtu anayekuja na mawazo chanya yakuisogeza nchi.
Binafsi Mimi sijaona tatizo lolote hapo la kununua umeme Ethiopia kama tunaupata kwa bei nafuu sana kuliko huu wa Tanesco.Mkumbuke jambo moja hata Raisi wetu mstaafu alisema ukitaka kula lazima nawewe uliwe.Maana yake hapo nikwamba unapoomba usaidiwe kitu fulani lazima pia hiyo nchi nayo iombe msaada au fulsa kutoka kwako.
Sasa mnachekelea kujengwa sehemu kubwa ya kuifadhiwa mizingo ya ndege itakayokuwa inachukuliwa naa Ethiopia alafu wenyewe wawe wanawaangalia tu.Serikali ilichokifanya ni kitu chema.Wanapofanya jambo jema tuwapongeze na wanapokosea pia tuwakosoe.
unawaza kuwa tajiri kesho baada ya kupewa nondo za alovera..
 
Nchi hii inaongozwa kwa kiki sana na vodafaster. Ni miaka mingi tulikua na tatizo LA walimu, ikatoka proposal wanafunzi wote wabaomaliza watafanya kozi ya mwezi mmoja na watakua walimu, agenda ikapotea.

Tukaja na issue ya udom, tutakasema kwa kuwa tunaupungufu wa walimu basi tuwachukue wanafunzi waliofanya vizuri olevel wasome diploma 3 yrs kisha wakafundishe , sisonje akaitupilia mbali.

Kwa nini tunapo kuwa na tatizo tunakua wepesi wa kutafuta solution zima moto badala ya kupanga kuliondoa tatizo kimkakati.

Hii ndio sababu umaskini hautoki Tanzania kwa sababu viongozi hawaoni mbali. kila mmoja anataka kuona amefanya kitu.

Kiongozi mzuri ni yule anayepanda mti hali akijua kivuli chake hata kifaidi.

Nimesikia tunachukua umeme Ethiopia ili kutekeleza Sera ya viwanda, ina maana kelele zote za viwanda tulikua tunadabganyana, viwanda bila umeme api na wapi. umeme wenyewe ni wa maji walau ungekua wa nuclear.

Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na mito na maziwa mengi hadi bahari, shida IPO wapi kutekeleza miradi ya maji iliyopo kwenye mafaili ya tanesco.

Muhongo uliingia wizarani ukakuta kuna miradi lukuki ya maji ambayo jumla yake inaweza fikia zaidi ya MW 5000, ukaifuta na kuja na Sera ya umeme wa gas, huo umeme upo wapi na kwanini umekubali kununua kitu ambacho ulisema kimepitwa na wakati?

Nakaribia kuwa zuzu kwa sababu ya viongozi wasio na maono.

Wewe ndio zuzu kwa kudhani kwa kuwa mto nile unaanzia Tanzania
Basi popote unaweza zalisha umeme
Umeme wa maji uzalishwa mahala maalumu
Inawezekana nile ya Tanzania isiwe na eneo hilo
Ila wenzetu wa Ethiopia wakawa nalo
Sio ujabu kununua umeme kutoka kwao
 
Kama bei ya umeme tutakaonunua Ethiopia itakuwa nafuu bora wanunue tu maana hakuna jinsi.
Unafuu unakujaje wkt kunatakiwa kujengwa transmission line na substations zake... compensation ya hyo line inakuwaje... na inawezekanaje hydro ya kutoka nje iwe cheaper kuliko ya hapa nyumbani wkt hapa miundo mbinu tayari ipo...sio kweli hata!!!
 
Jamani tumekuwa wabinafsi sana bwana,tuache kulalamika maana vichwa na mishipa itauma sana.Kila siku humu nikulalamika tu hakuna mtu anayekuja na mawazo chanya yakuisogeza nchi.
Binafsi Mimi sijaona tatizo lolote hapo la kununua umeme Ethiopia kama tunaupata kwa bei nafuu sana kuliko huu wa Tanesco.Mkumbuke jambo moja hata Raisi wetu mstaafu alisema ukitaka kula lazima nawewe uliwe.Maana yake hapo nikwamba unapoomba usaidiwe kitu fulani lazima pia hiyo nchi nayo iombe msaada au fulsa kutoka kwako.
Sasa mnachekelea kujengwa sehemu kubwa ya kuifadhiwa mizingo ya ndege itakayokuwa inachukuliwa naa Ethiopia alafu wenyewe wawe wanawaangalia tu.Serikali ilichokifanya ni kitu chema.Wanapofanya jambo jema tuwapongeze na wanapokosea pia tuwakosoe.
.....
.....huo umeme utapitia angani?
 
mbona huo mpango huwa upo, Umeme tunanunua bei nafuu kuliko hata umeme wa gesi.Hiyo haihitaji elimu ya juu kujua ni uamuzi wa busara

Ila mramba nakumbuka aliwahi kusema gesi ikikamilika tatizo la umeme nchini litakuwa historia sasa sijui wamefikia wapi au ilikuwa siasa.
Correction.... bei yake sawa na tunavyonunua na gesi
 
kwani bongo hatuna wataalamu wa umeme wakasaidia kuzalisha umeme hapahapa..mpaka twende Ethiopia??
 
Ivi gas ipo? jana nili hisi kuzimia nilivoangalia taarifa ya habari kuhusu umeme Ethiopia leo hii wakutupa umeme PHD hizi za bongo
Wonders shall never end [HASHTAG]#Only[/HASHTAG] in tanzania#
 
Wewe ndio zuzu kwa kudhani kwa kuwa mto nile unaanzia Tanzania
Basi popote unaweza zalisha umeme
Umeme wa maji uzalishwa mahala maalumu
Inawezekana nile ya Tanzania isiwe na eneo hilo
Ila wenzetu wa Ethiopia wakawa nalo
Sio ujabu kununua umeme kutoka kwao
.....
.....kweli kabisa watatuletea kwenye bakuli
 
Unafuu unakujaje wkt kunatakiwa kujengwa transmission line na substations zake... compensation ya hyo line inakuwaje... na inawezekanaje hydro ya kutoka nje iwe cheaper kuliko ya hapa nyumbani wkt hapa miundo mbinu tayari ipo...sio kweli hata!!!
.....
.....asante sana
 
Back
Top Bottom