Serikali inunue umeme Ethiopia, tatizo ni kubwa mno. Pole Biteko

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Biteko anawaambia TANESCO kuwa wananchi wanataka umeme, wananchi hawataki kusikia sijui kuna mipango na porojo gani kama alivyokuwa anasema Makamba, lakini hata akiwaambia wananchi wanataka umeme huo umeme utatoka wapi? Kwanini wananchi tusiwapime CCM kwa kutumia umeme?

Jinsi na kadiri siku zinavyoenda tatizo la upatikanaji umeme linazidi kwasababu;

1. Mahitaji ya umeme kwa wananchi yameongezeka kwasababu ya kujua kiuchumi, mahitaji ambayo uzalishaji uliopo umefeli. Ndio maana toka Makamba ameingi mpaka leo Biteko yupo mgao wa umeme upo kila siku.

2. TPDC wana uhaba mkubwa wa gesi, hivyo kupelekea baadhi ya mitambo ya gesi mara kwa mara kuwa nje, ila TPDS wamejaa kimya ili hali wanajua kuna uhaba na upungufu wa gesi, na uwezo wa kutatua tatizo hawana mpaka wazungu waingilie kati.

3. Maji ni shida kwenye mabwawa, uzalishaji wa mabwawa hautoshelezi, na nashangaa kwanini mama amemtoa Kalemani, kamtoa Makamba, kaja Biteko lakini kwa tatizo hili ya umeme nchi hii halitakuwa rahisi kwake.

4. Makamba kasaini mikataba ya trilioni 1.9 kuimarisha upatikanaji wa umeme ambao haupo, pamoja na fedha nyingi kutolewa matatizo ya umeme bado ni makubwa, umeme unakatika katika, kwasababu ya ubovu wa miundombinu na uzalishaji usiojitosheleza.

Lengo la uzi huu ni kuiomba Serikali Sasa ifikirie njia rahisi ya kutatua tatizo la umeme Kwa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani Ethiopia wana umeme mwingi wa bwawa la grand.

Kwakuwa upungufu wa Dolla utasababisha Stiglers kuchelewa kukamilika basi tufanye mpango tununue umeme Ethiopia. Japo serikali imeishiwa fedha za kumaliza mradi wa njia kubwa kilo volt 400 kutoka namanga kwenda Arusha, Babati, basi ikakope na tuhakikishe tunajenga miundombinu ya kununua umeme Ethiopia, hizi shida za mgao hazivumiliki.
 
Biteko anawaambia TANESCO kuwa wananchi wanataka Umeme , wananchi hawataki kusikia sijui Kuna mipango Gani na porojo Gani kama alivokuwa anasema Makamba. Lakini hata akiwaambia wananchi wanataka Umeme huo Umeme utatoka wapi, kwanini wananchi tusiwapime CCM Kwa kutumia Umeme
Jinsi na kadiri siku zinavyoenda tatizo la upatikanaji umeme linazidi kwasababu
1.Mahitaji ya Umeme Kwa wananchi yameongezeka kwasababu ya kujua kiuchumi, mahitaji ambayo uzalishaji uliopo umefeli, ndio maana Toka Makamba ameingi mpaka Leo Biteko yupo Mgao wa umeme upo Kila siku
2. TPDC Wana Uhaba mkubwa wa Gesi, hivyo kupelekea baadhi ya mitambo ya Gesi mara Kwa mara kuwa nje, ila TPDS wamejaa kimya Ili Hali wanajua Kuna Uhaba na upungufu wa Gesi, na uwezo wa kutatua tatizo hawana mpaka wazungu waingilie kati
3. Maji ni shida kwenye mabwawa , uzalishaji wa mabwawa hautoshelezi, na nashangaa kwanini mama amemtoa Kalemani, kamtoa Makamba, kaja Biteko lakini Kwa tatizo hili ya Umeme nchi hii halitakuwa rahisi kwake
4. Makamba kasaini mikataba ya trilioni 1.9 kuimarisha upatikanaji wa umeme ambao haupo, pamoja na Fedha nyingi kutolewa matatizo ya Umeme bado ni makubwa , Umeme unakatika katika , Kwasababu ya ubovu wa miundombinu na uzalishaji usiojitosheleza.

Lengo la Uzi huu ni kuiomba Serikali Sasa ifikirie njia Rahisi ya kutatua tatizo la Umeme Kwa kununua Umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani Ethiopia Wana Umeme mwingi wa bwawa la grand.
Kwakuwa upungufu wa Dolla utasababisha Stiglers Kuchelewa kukamilika basi tufanye mpango tununue Umeme Ethiopia. Japo serikali imeishiwa Fedha za kumaliza mradi wa njia kubwa kilo volt 400 kutoka namanga kwenda Arusha , babati, basi ikakope na tuhakikishe tunajenga miundombinu ya kununua Umeme Ethiopia, hizi shida za mgao hazivumiliki
Sasa tununue umeme wakati miundombinu ni mibovu?

Hebu fanya research yako vyema kabla ya kuleta uzi jukwaani.

Wakati wa JPM hali iltulia,Samia akamtoa Kalemani kwa maelekezo, akaingia Makamba,since then hadithi ngonjera,nahau na kila aina ya upuuzi tukausikia,imebaki story.

Tatizo la Nishati nchii hii linategemea na nia safi ya kiongozi mkuu,ambae hayuko tayari kuchezewa
 
Tik

Toka Magu aondoke hujui matumizi ya Umeme yameongezeka, TANESCO Wameunga zaidi ya wateja laki 3, Sasa unategemea Nini.

Nimesema Umeme unakatika kwasababu mbili, uzalishaji mdogo na ubovu wa miundombinu, ukinunua utakuwa umetatua tatizo la uzalishaji, halaf unapambana na la ubovu,
 
Alimtoa ili kina Rostam wapige pesa na mageneretor yao,Taifa gas.
 
Biteko anawaambia TANESCO kuwa wananchi wanataka umeme, wananchi hawataki kusikia sijui kuna mipango na porojo gani kama alivyokuwa anasema Makamba, lakini hata akiwaambia wananchi wanataka umeme huo umeme utatoka wapi? Kwanini wananchi tusiwapime CCM kwa kutumia umeme?

Jinsi na kadiri siku zinavyoenda tatizo la upatikanaji umeme linazidi kwasababu;

1. Mahitaji ya umeme kwa wananchi yameongezeka kwasababu ya kujua kiuchumi, mahitaji ambayo uzalishaji uliopo umefeli. Ndio maana toka Makamba ameingi mpaka leo Biteko yupo mgao wa umeme upo kila siku.

2. TPDC wana uhaba mkubwa wa gesi, hivyo kupelekea baadhi ya mitambo ya gesi mara kwa mara kuwa nje, ila TPDS wamejaa kimya ili hali wanajua kuna uhaba na upungufu wa gesi, na uwezo wa kutatua tatizo hawana mpaka wazungu waingilie kati.

3. Maji ni shida kwenye mabwawa, uzalishaji wa mabwawa hautoshelezi, na nashangaa kwanini mama amemtoa Kalemani, kamtoa Makamba, kaja Biteko lakini kwa tatizo hili ya umeme nchi hii halitakuwa rahisi kwake.

4. Makamba kasaini mikataba ya trilioni 1.9 kuimarisha upatikanaji wa umeme ambao haupo, pamoja na fedha nyingi kutolewa matatizo ya umeme bado ni makubwa, umeme unakatika katika, kwasababu ya ubovu wa miundombinu na uzalishaji usiojitosheleza.

Lengo la uzi huu ni kuiomba Serikali Sasa ifikirie njia rahisi ya kutatua tatizo la umeme Kwa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani Ethiopia wana umeme mwingi wa bwawa la grand.

Kwakuwa upungufu wa Dolla utasababisha Stiglers kuchelewa kukamilika basi tufanye mpango tununue umeme Ethiopia. Japo serikali imeishiwa fedha za kumaliza mradi wa njia kubwa kilo volt 400 kutoka namanga kwenda Arusha, Babati, basi ikakope na tuhakikishe tunajenga miundombinu ya kununua umeme Ethiopia, hizi shida za mgao hazivumiliki.
Kwaiyo tukope ili kujenga miundo mbinu Kenya ?
 
hakuna cha tatizo kubwa wala nini sadism tu, tunatawaliwa ni sadists mwanzo mwisho …
 
Mpaka siku watanzia mpate akili kuwa serikali ni wananchi na sio hao vilaza mliowaweka wawatumikie wanaishia kujitajirisha kwa njia haramu ndio mtajikomboa.

Kwa mtu mwenye utimamu ataona kuanzia kule juu uwajibikaji ni sufuri kasi ya ujenzi wa lile bwawa na hata matarajio wanayotoa watu wajiandae tu kisaikolojia ni hatari sana nchi kuwekwa mfukoni mwa genge na familia chache huku wananchi wanaumia

And this must be called out by all sober minded individuals.
 
Sio kwamba sisi ndio tuwauzie ?

20230429_162423.jpg
 
Tik

Toka Magu aondoke hujui matumizi ya Umeme yameongezeka, TANESCO Wameunga zaidi ya wateja laki 3, Sasa unategemea Nini.

Nimesema Umeme unakatika kwasababu mbili, uzalishaji mdogo na ubovu wa miundombinu, ukinunua utakuwa umetatua tatizo la uzalishaji, halaf unapambana na la ubovu,
Magu aliunganisha wsteja wengi kuliko awamu zote, hatukuona umeme ukikatika,
Ngoja niwaeleze
Umeme unakatika, maji yanakatika, mafuta yanakatia, bei zinapaaa usiku na mchana.
Tuacheni kuongea siasa hawa ccm nchi imewashinda
 
Acha uongo sikiliza kinachosemwa na TANESCO. Umeme ulikuwa unakatika enzi zake. Nani angelalamika? Ulalamike upotezwe.
 
Biteko anawaambia TANESCO kuwa wananchi wanataka umeme, wananchi hawataki kusikia sijui kuna mipango na porojo gani kama alivyokuwa anasema Makamba, lakini hata akiwaambia wananchi wanataka umeme huo umeme utatoka wapi? Kwanini wananchi tusiwapime CCM kwa kutumia umeme?

Jinsi na kadiri siku zinavyoenda tatizo la upatikanaji umeme linazidi kwasababu;

1. Mahitaji ya umeme kwa wananchi yameongezeka kwasababu ya kujua kiuchumi, mahitaji ambayo uzalishaji uliopo umefeli. Ndio maana toka Makamba ameingi mpaka leo Biteko yupo mgao wa umeme upo kila siku.

2. TPDC wana uhaba mkubwa wa gesi, hivyo kupelekea baadhi ya mitambo ya gesi mara kwa mara kuwa nje, ila TPDS wamejaa kimya ili hali wanajua kuna uhaba na upungufu wa gesi, na uwezo wa kutatua tatizo hawana mpaka wazungu waingilie kati.

3. Maji ni shida kwenye mabwawa, uzalishaji wa mabwawa hautoshelezi, na nashangaa kwanini mama amemtoa Kalemani, kamtoa Makamba, kaja Biteko lakini kwa tatizo hili ya umeme nchi hii halitakuwa rahisi kwake.

4. Makamba kasaini mikataba ya trilioni 1.9 kuimarisha upatikanaji wa umeme ambao haupo, pamoja na fedha nyingi kutolewa matatizo ya umeme bado ni makubwa, umeme unakatika katika, kwasababu ya ubovu wa miundombinu na uzalishaji usiojitosheleza.

Lengo la uzi huu ni kuiomba Serikali Sasa ifikirie njia rahisi ya kutatua tatizo la umeme Kwa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani Ethiopia wana umeme mwingi wa bwawa la grand.

Kwakuwa upungufu wa Dolla utasababisha Stiglers kuchelewa kukamilika basi tufanye mpango tununue umeme Ethiopia. Japo serikali imeishiwa fedha za kumaliza mradi wa njia kubwa kilo volt 400 kutoka namanga kwenda Arusha, Babati, basi ikakope na tuhakikishe tunajenga miundombinu ya kununua umeme Ethiopia, hizi shida za mgao hazivumiliki.
Kwani JNHPP imefikia wapi?
 
Nchi ya kisenge sana hii walah, imagine now mgao wa umeme umerudi na wahusika wanachukulia kama jambo la kawaida tu, hamna anaewaza. Maji kuna baadhi ya maeneo nchini hii ni wiki ya pili sasa hata tone hatujaliona na wahusika wanachukulia kawaida kabisa hakuna hata anayejitingisha manina.
 
Biteko anawaambia TANESCO kuwa wananchi wanataka umeme, wananchi hawataki kusikia sijui kuna mipango na porojo gani kama alivyokuwa anasema Makamba, lakini hata akiwaambia wananchi wanataka umeme huo umeme utatoka wapi? Kwanini wananchi tusiwapime CCM kwa kutumia umeme?

Jinsi na kadiri siku zinavyoenda tatizo la upatikanaji umeme linazidi kwasababu;

1. Mahitaji ya umeme kwa wananchi yameongezeka kwasababu ya kujua kiuchumi, mahitaji ambayo uzalishaji uliopo umefeli. Ndio maana toka Makamba ameingi mpaka leo Biteko yupo mgao wa umeme upo kila siku.

2. TPDC wana uhaba mkubwa wa gesi, hivyo kupelekea baadhi ya mitambo ya gesi mara kwa mara kuwa nje, ila TPDS wamejaa kimya ili hali wanajua kuna uhaba na upungufu wa gesi, na uwezo wa kutatua tatizo hawana mpaka wazungu waingilie kati.

3. Maji ni shida kwenye mabwawa, uzalishaji wa mabwawa hautoshelezi, na nashangaa kwanini mama amemtoa Kalemani, kamtoa Makamba, kaja Biteko lakini kwa tatizo hili ya umeme nchi hii halitakuwa rahisi kwake.

4. Makamba kasaini mikataba ya trilioni 1.9 kuimarisha upatikanaji wa umeme ambao haupo, pamoja na fedha nyingi kutolewa matatizo ya umeme bado ni makubwa, umeme unakatika katika, kwasababu ya ubovu wa miundombinu na uzalishaji usiojitosheleza.

Lengo la uzi huu ni kuiomba Serikali Sasa ifikirie njia rahisi ya kutatua tatizo la umeme Kwa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani Ethiopia wana umeme mwingi wa bwawa la grand.

Kwakuwa upungufu wa Dolla utasababisha Stiglers kuchelewa kukamilika basi tufanye mpango tununue umeme Ethiopia. Japo serikali imeishiwa fedha za kumaliza mradi wa njia kubwa kilo volt 400 kutoka namanga kwenda Arusha, Babati, basi ikakope na tuhakikishe tunajenga miundombinu ya kununua umeme Ethiopia, hizi shida za mgao hazivumiliki.
Kwanini DP WORLD wasipewe TANESCO ?
 
Kila mradi mkubwa unapoanzishwa Huwa tunaambiwa bei itashuka. Mradi ukiisha Bei ya umeme inapapnda. Tuliambiwa umeme wa gas ya Mtwara ndiyo kila kitu na bei ingeshuka sana matokeo yake bei inapanda kila mwaka. Hilo bwawala Nyerere nalo likikamilika umeme utapanda tu kwakuwa sasa hivi wameamua kupandisha Bei kwa njia ya tozo. Hakuna nafuu yoyote ya umeme itakayotokea katika Tanganyika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom