Ujinga na kukosa exposure ni tatizo kubwa sana kwa wana CCM wengi

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Amani iwe kwenu wadau!
Watanzania wote ni mashuhuda kwa jinsi gani Magufuli alivyoliharibu Taifa hili kwa miaka yake 5 na miezi 4 aliyokaa madarakani

Alama kuu ya uchumi kuwa vizuri kwenye nchi ni kwa jinsi gani hali ya maisha ya watu wa nchi iyo inavyoboreka na kuwa Nzuri siku hadi siku.
Alama nyingine ni kwa jinsi gani wananchi wa nchi iyo wanapata ajira na kuweza kuendesha maisha yao ya kila siku.

katika miaka 5 na miezi 4 ya uongozi wa Hayati Magufuli nchi ya Tanzania ilianguka vibaya sana kwenye hayo maeneo na vielelezo ni hivi.

1. Makampuni mengi makubwa yaliyokuwa yameajiri watu wengi, yalikufa kutokana na chuki tu za magufuli zilizopelekea kupewa madai ya kodi makubwa. Mfano ni Kampuni zote za Manji zilizokuwa Chini ya Jina Quality Group. Kampuni hizi zilikuwa zimeajiri watanzania wengi sana wasiopungua 5000 kwa ajira za moja Kwa moja na wengineo wasiopungua 10000 waliokuwa wanaingiza tu pesa kutokana na uwepo wa kampuni hizi za manji. Biashara ya soko la mbaazi na sehemu ya biashara ya korosho ilikuwa inapata nguvu kwenye soko Kwa sababu ya uwepo wa kampuni hizi. Baada ya Magufuli kummaliza Manji kiuchumi sote tukaona kwa jinsi gani wakulima wa Mbaazi na korosho walivyoathilika na maelfu ya watu wetu kukosa ajira. Huu ni mfano wa Manji tu, Kuna kampuni nyingine nyingi kama Rhino cement, Shoprite, Nakumat na nyingine nyingi. Kufa kwa hizi biashara kwa kiasi kikubwa kumesababisha hadi shopping malls nyingi kufa katika jiji la biashara Dar es Salaam kama Mkuki, Quality Centre na nyinginezo nyingi.kampuni hizi zikipokufa hii imefanya hata kampuni nyingine zilizotegemea hizi biashara kama AAR kufa kwa sababu wafanyakazi wa kampuni hizi ndo walikuwa wanalipa Bima ya Afya AAR na kwenye makampuni mengineyo.
Ili kukwepa aibu ya kufanya Tatizo la ajira kuwa kubwa Tanzania alijifanya yupo karibu na Wamachinga, mamalishe na bodaboda kwa kuwaruhusu kufanya biashara popote pale jambo lililoharibu usafi na mipango mizuri ya miji yetu na kuleta tatizo kubwa Zaid la kodi maana walipa kodi wengi walipungua sana!

2. Aliua miradi ya muda mrefu ambayo ingetengeza stability ya kiuchumi Tanzania na kutengeneza mamilioni ya ajira kwa Watanzania. Mfano Bandari ya Bagamoyo.
Katika mradi wa Bandari ya Bagamoyo, uwekezaji mkubwa ulikuwa ufanyike kwenye kujenga viwanda vingi katika eneo la viwanda na pia katika Bandari yenyewe. Uwekezaji huu ungehusisha pia ujenzi wa reli na miji ya kisasa maeneo ya kule Bagamoyo. Hela za mradi huu zote zilikuwa kutoka Kwa wawekezaji wa China na Oman. Hakuna hata senti ingetoka Tanzania, ila watanzania wangepata ajira za uhakika, mji ungeendelezwa na hatimaye Tanzania ndo ingekuja kuwa gateway ya East na Central Africa Kwa usafirishaji wa bidhaa. Mradi huu ungezalisha ajira za kudumu na uhakika za watanzania zaidi ya laki 5 kutokana na uwepo wa bandari husika na Viwanda. Aliacha kujenga bandari akaenda kujenga daraja la kigongo- Busisi ambalo kiuchumi halina faida kubwa kwa idadi kubwa ya watu na halitaingiza faida kubwa huko mbeleni.

3. Sera ya fedha imezifanya bank kuwa hoi kiuchumi. Kuua Kwa makampuni na sera yake ya kufreeze account za watu kulipelekea watu kutoa hela kwa kiwango kikubwa sana kwenye mabenki yetu na hata kampuni kufirisika na kufa kulipelekea bank nyingi kufa. Matokeo yake watu wengi wakapoteza ajira kama kwenye bank M, Exim Bank na pia mitaji ya Bank nyingi ikapungua. Ushahidi wa hili ni kwa jinsi gani mabenki yamekuwa yakichelewa kutoa mikopo kwa wateja wake Mf. CRDB na NMB. Na Pia kufeli kwa bank zingine kujiendesha Mf. Azania Bank ambayo kwa sasa ni kama nayo imekufa ipo ipo tu!

4. kutumia hela nyingi kununua ndege bila kuwa hata na business plan.
Kati ya biashara ambazo ni High risk duniani ni biashara ya ndege. Shirika la ndege la Rwanda liko hoi kifedha, imebidi waliunganishe na Qatar airways, Same wa South African Airways na Kenya Airways bila kusahau Air Uganda. Kitendo cha yeye kwenda kununua ndege nyingi tena kwa cash bila kuzingatia kuwa hakuwa na business plan ya kuliendesha hili Shirika ni kielelezo tosha kuwa alikuwa akikurupuka ili tu kutaka sifa kutokana na ujinga wake na kukosa kwake exposure / ushamba.

Mambo yote haya ya kafanya akope zaidi ili aweze kuendesha nchi na kufanya miradi mingine ambayo kiukweli nayo kamwe haiwezi kuja kuleta faida Kwa sababu mradi mdogo tu wa Mwendokasi uliotengenezwa ili kuwa mradi wa kisasa na ulete faida kwa nchi aliuharibu vibaya na kwa sasa hauna tofauti na mfumo wa awali wa daladala.

Ili Tanzania na CCM ipone kwenye hili ni lazima tujifunze na kuacha ujinga na ushamba na tuitazame dunia Kama sehemu ya ushindani wa kibiashara na kimaisha ili tuweze kutumia akili zetu na rasilimali zetu vizuri kwa maendeleo yetu ya kweli.
 
Jamaa alikuwa hana exposure kabisa na ndo mana alikuwa anasema 'watanzania wengi mnapenda umbeya kwa sabab mda mwing mnashinda mitandaon"

kwa sababu ya ushamba wake hakujua kwamba kuna watu wanaingiza pesa kupitia mitandao.yy alichokua anajua n kwamba mtu lazma alime atoke jasho ndo apate pesa.

Lack of exposure bado n tatzo sana kwa viongozi.
 
Aliwakatalia wajenzi kuweka lift hospital ya Chamwino tena live kwenye camera. Mawazo yake elevator ni anasa kumbe kwa hospital ya ghorofa kuwepo kwa elevator ni compulsory
 
Duh! Sasa rais na mambo ya wapi iwekwe lift au isiwekwe wapi na wapi? Si kazi ya wahandishi hyo!

Magufuli alikuwa rais wa hovyo sana.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Amani iwe kwenu wadau!
Watanzania wote ni mashuhuda kwa jinsi gani Magufuli alivyoliharibu Taifa hili kwa miaka yake 5 na miezi 4 aliyokaa madarakani

Alama kuu ya uchumi kuwa vizuri kwenye nchi ni kwa jinsi gani hali ya maisha ya watu wa nchi iyo inavyoboreka na kuwa Nzuri siku hadi siku.
Alama nyingine ni kwa jinsi gani wananchi wa nchi iyo wanapata ajira na kuweza kuendesha maisha yao ya kila siku.

katika miaka 5 na miezi 4 ya uongozi wa Hayati Magufuli nchi ya Tanzania ilianguka vibaya sana kwenye hayo maeneo na vielelezo ni hivi.

1. Makampuni mengi makubwa yaliyokuwa yameajiri watu wengi, yalikufa kutokana na chuki tu za magufuli zilizopelekea kupewa madai ya kodi makubwa. Mfano ni Kampuni zote za Manji zilizokuwa Chini ya Jina Quality Group. Kampuni hizi zilikuwa zimeajiri watanzania wengi sana wasiopungua 5000 kwa ajira za moja Kwa moja na wengineo wasiopungua 10000 waliokuwa wanaingiza tu pesa kutokana na uwepo wa kampuni hizi za manji. Biashara ya soko la mbaazi na sehemu ya biashara ya korosho ilikuwa inapata nguvu kwenye soko Kwa sababu ya uwepo wa kampuni hizi. Baada ya Magufuli kummaliza Manji kiuchumi sote tukaona kwa jinsi gani wakulima wa Mbaazi na korosho walivyoathilika na maelfu ya watu wetu kukosa ajira. Huu ni mfano wa Manji tu, Kuna kampuni nyingine nyingi kama Rhino cement, Shoprite, Nakumat na nyingine nyingi. Kufa kwa hizi biashara kwa kiasi kikubwa kumesababisha hadi shopping malls nyingi kufa katika jiji la biashara Dar es Salaam kama Mkuki, Quality Centre na nyinginezo nyingi.kampuni hizi zikipokufa hii imefanya hata kampuni nyingine zilizotegemea hizi biashara kama AAR kufa kwa sababu wafanyakazi wa kampuni hizi ndo walikuwa wanalipa Bima ya Afya AAR na kwenye makampuni mengineyo.
Ili kukwepa aibu ya kufanya Tatizo la ajira kuwa kubwa Tanzania alijifanya yupo karibu na Wamachinga, mamalishe na bodaboda kwa kuwaruhusu kufanya biashara popote pale jambo lililoharibu usafi na mipango mizuri ya miji yetu na kuleta tatizo kubwa Zaid la kodi maana walipa kodi wengi walipungua sana!

2. Aliua miradi ya muda mrefu ambayo ingetengeza stability ya kiuchumi Tanzania na kutengeneza mamilioni ya ajira kwa Watanzania. Mfano Bandari ya Bagamoyo.
Katika mradi wa Bandari ya Bagamoyo, uwekezaji mkubwa ulikuwa ufanyike kwenye kujenga viwanda vingi katika eneo la viwanda na pia katika Bandari yenyewe. Uwekezaji huu ungehusisha pia ujenzi wa reli na miji ya kisasa maeneo ya kule Bagamoyo. Hela za mradi huu zote zilikuwa kutoka Kwa wawekezaji wa China na Oman. Hakuna hata senti ingetoka Tanzania, ila watanzania wangepata ajira za uhakika, mji ungeendelezwa na hatimaye Tanzania ndo ingekuja kuwa gateway ya East na Central Africa Kwa usafirishaji wa bidhaa. Mradi huu ungezalisha ajira za kudumu na uhakika za watanzania zaidi ya laki 5 kutokana na uwepo wa bandari husika na Viwanda. Aliacha kujenga bandari akaenda kujenga daraja la kigongo- Busisi ambalo kiuchumi halina faida kubwa kwa idadi kubwa ya watu na halitaingiza faida kubwa huko mbeleni.

3. Sera ya fedha imezifanya bank kuwa hoi kiuchumi. Kuua Kwa makampuni na sera yake ya kufreeze account za watu kulipelekea watu kutoa hela kwa kiwango kikubwa sana kwenye mabenki yetu na hata kampuni kufirisika na kufa kulipelekea bank nyingi kufa. Matokeo yake watu wengi wakapoteza ajira kama kwenye bank M, Exim Bank na pia mitaji ya Bank nyingi ikapungua. Ushahidi wa hili ni kwa jinsi gani mabenki yamekuwa yakichelewa kutoa mikopo kwa wateja wake Mf. CRDB na NMB. Na Pia kufeli kwa bank zingine kujiendesha Mf. Azania Bank ambayo kwa sasa ni kama nayo imekufa ipo ipo tu!

4. kutumia hela nyingi kununua ndege bila kuwa hata na business plan.
Kati ya biashara ambazo ni High risk duniani ni biashara ya ndege. Shirika la ndege la Rwanda liko hoi kifedha, imebidi waliunganishe na Qatar airways, Same wa South African Airways na Kenya Airways bila kusahau Air Uganda. Kitendo cha yeye kwenda kununua ndege nyingi tena kwa cash bila kuzingatia kuwa hakuwa na business plan ya kuliendesha hili Shirika ni kielelezo tosha kuwa alikuwa akikurupuka ili tu kutaka sifa kutokana na ujinga wake na kukosa kwake exposure / ushamba.

Mambo yote haya ya kafanya akope zaidi ili aweze kuendesha nchi na kufanya miradi mingine ambayo kiukweli nayo kamwe haiwezi kuja kuleta faida Kwa sababu mradi mdogo tu wa Mwendokasi uliotengenezwa ili kuwa mradi wa kisasa na ulete faida kwa nchi aliuharibu vibaya na kwa sasa hauna tofauti na mfumo wa awali wa daladala.

Ili Tanzania na CCM ipone kwenye hili ni lazima tujifunze na kuacha ujinga na ushamba na tuitazame dunia Kama sehemu ya ushindani wa kibiashara na kimaisha ili tuweze kutumia akili zetu na rasilimali zetu vizuri kwa maendeleo yetu ya kweli.
Ilikuwa ni balaa ila Mungu katuona.
 
Mbowe exposure dubai, lissu exposure belgium OK?, je ofisi ya chama ina exposure ya wap?
 
Analysis nzuri, rire rijamaa Never Never Ever Again, rimetuharibia, uchumi, mahusiano na dunia, rimewagawa watanzania, rimetutia aibu duniani!
 
1) uchumi haujengwi na investors moja kwa moja, part kubwa ya investors ni kufacilitate huduma ambayo inakosekana nchini na ni ya muhimu, nkupe mfano! kiwanda cha cement, maligafi ni za tanzania zinatakiwa watanzania ndo wafaidike nayo, tukienda na slogan ya chadema inamaana mwekezaji atachimba rasilimali atatengeneza cement, atafaidika billions of cash jumlisha ela zilipo kwenye mzunguko na rasilimali yenyewe, at the end nyie mnaendelea kulilia ajira wakati mwekezaji amefaidika na pesa + rasilimali, tatizo lenu mnajikutaga mnajua sana kumbe ni hopeless kabisa, yaani wewe badala ya kufacilitate watanzania ndo washike izi rasilimali unalilia investors? bure kabisa nyie

2) upuuzi ni ule ule ajira, yaani bure kabisa nyie! yaani china wanaongelea rasilimali zote znaishia kwa watu wao mpaka labour force bado ni advantage kwa china, yaani nyie ni bure

3) upuuzi ule ule

4) issue ya ndege ndo mnyamaze kabisaaaaaaaaaaaa! yaani nyie ndo mlikua wa kwanza kabisa kuicheka serikali ikiwa ina ndege moja na baadae kufulia mkasema nchi haina ndege! we have heard pumba zenu for long
 
Mlaumu babako kwa udwanzi wako

yaani nyie ni hopeless kabisa, yaaani ni tanzania peke yake ndo nchi nlioona wanaolilia investors waje kuwapa ajira! yaaani nchi ina rasilimali ambazo unaweza turn to cash lakini nyie mlichoona kwenye rasilimali ni ajira tu, hopeless kabisa nyie
 
Ndio maana vietee tu tunaita press hawajui kuna magari zaidi ya VIETEEE
20210414_093916.jpg
 
Back
Top Bottom