Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,316
- 7,734
Kwa hiyo Lulu mpaka sasa ni suspect au person of interest?
Untill proved otherwise, she'll remain to be a suspect No.1
Kwa hiyo Lulu mpaka sasa ni suspect au person of interest?
Thread ndeefu hata haimtji Ray!
ni ushahidi gani unaokufanya useme motive ya murder haikuwepo?unajuaje kwamba lulu alifika na kifaa(mfano chuma kizito) kwa ajili ya kumpiga kanumba?
Unajuaje simu aliyopokea lulu ilimpa maelekezo nini cha kufanya ili amuadhibu marehemu?
Kwa hiyo Lulu mpaka sasa ni suspect au person of interest?
Umegusa penyewe kabisa!
Ukiangalia mazingira ya tukio, sijaona kiwango cha kuridhisha kutosha kukusanya ushahidi forensically.Eneo la tukio limeingiliwa na watu wa kila aina kiasi ambacho sijui kama kweli inawezekana kupata forensic evidence.Pia Kanumba alipofikishwa Muhimbili alipelekwa motuary moja kwa moja......
she must be the prime suspect!nasikia alitoka uchi na kumuita seth akamuone kanumba halafu yeye akatokomea(sina uhakika kama alitembea uchi)
ni ushahidi gani unaokufanya useme motive ya murder haikuwepo?unajuaje kwamba lulu alifika na kifaa(mfano chuma kizito) kwa ajili ya kumpiga kanumba?
Unajuaje simu aliyopokea lulu ilimpa maelekezo nini cha kufanya ili amuadhibu marehemu?
Thread ndeefu hata haimtji Ray!
ehee... Paxman..hiyo "Ray factor" nimeiruka makusudi .Nilisikia unofficially kuwa Ray, JB na Sauda Mwilima walikuwa kule Mashujaa saa chache kabla ya kipindi alichotarajiwa Kanumba kuingia ukumbini.Kisha wakaondoka.
Inaelekea kuna kitu...... ngoja tutasikia.
Hata hivyo mimi nilitaka kuona ujinai wa Lulu hapo kulingana na facts tulizozipata rasmi kutoka vyombo rasmi.
Tunao forensic investigators? Katika hali ya kawaida nilitegemea eneo ambalo mauaji yalitokea liwe 'out of bound' lakini imekuwa vinginevyo.
hahahahaa, mkuu, shetani akizeeka anageuka kuwa malaika!Ni wewe au macho yangu MR? Haya bana huu msiba umegusa wengi kweli.
NN,Either way, tayari kuna kamanda wa polisi ameshai-prejudice kesi kwa kutoa tamko la kwamba eti uchunguzi ukikamilika watampeleka mahakamani kumfungulia mashitaki ya mauaji!
Should the case see the light of day it'd be a slam dunk for the defense. The police have provided so much ammunition for the defense (team) to use.
Thread ndeefu hata haimtji Ray!