Ujerumani waombeni mambo ya Maana siyo Ujinga wa Ukoloni!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
Raisi wa Ujerumani anakuja Tanzania, Ujerumani ilianzisha nchi yetu kama tuijuavyo leo hii, ukiondoa Zanzibar, walichagua mipaka vizuri na kupata vitu vingi vya kipekee kama Mlima Kilimanjaro ambao 100% uko ndani ya mipaka yetu, Maziwa Mito na Bahari, tuna fukwe za Bahari ya zaidi ya km 1000, mito isiyo kauka maji, milima na mabonde yote Wajerumani walichagua iwe ndani ya nchi yetu.

Sasa basi acheni ujinga wa mambo ya ukoloni, waombeni mambo muhimu, watusaidie mambo ya technology, elimu trade zenye akili na siyo ujinga wa uchuuzi machinga kariakoo na sijui gsm.

Hii ni bahati tuitumie, utalii unaweza kututoa, achaneni na ujinga wa ukoloni, sasa hivi Nigeria wanataka kuexport natural gas kwenda Ujerumani baada ya Urusi kunuka, TZ gesi tunayo tunahitaji mambo kama hayo na siyo sijui majimaji au ujinga wa mafuvu achen kabisa tunataka technology …
 
Hupo sahihi Mkuu,sisi tunapenda kuomba vitu vya kipuuzi kwa Wakubwa.Kwa mfano Reli ya kati kila siku ajali,lakini utashangaa wanashindwa kuomba support.Rais alienda China lakini sidhani kama aliongea na Rais wa China juu ya kuifufua Reli ya TAZARA.Leo Angola anafikiria kujenga Reli sijui ya Lorbito wakati tungeimarisha TAZARA tungewanasa wote.
Sasa Stori za kesho utasikia tumekubaliana kurejeshwa mafuvu ya Machief!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom