Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,976
- 32,380
Wanabodi..
Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Kampuni ya ujenzi ya Phils International ya Dubai.
Wanatarajiwa kuboresha jiji la Arusha kwa kuwekeza katika mradi mkubwa wa ujenzi wa mji wa kisasa wa kibiashara.
Utajengwa katika eneo la Kaloleni jijini Arusha..
Lema anausika kwenye huu mradi wa wana Arusha kama mbunge au katoa mchango gani?
Mradi huo unataraji kukamilika ndani ya miaka mitano ambapo jumla ya wakazi 24,000 ambao wanaishi Kaloleni watalazimika kupisha ujenzi huo..
Kwa mujibu wa Meya wa jiji la Arusha Gaudence Lyimo katika kikao cha kamati ya uwekezaji, alisema mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha wakazi wa jiji la Arusha.
Katika mradi huo wanatarajia kujenga maduka makubwa, shule, hospitali, sehemu za kupumzika pamoja na maeneo ya maegesho ya magari..
Chadema wanasemaje kuhusu huu mradi wa Arusha