Ujenzi wa mji wa kisasa Arusha; mbunge Goodbless Lema naye anahusika?

Wewe endelea kutoa matusi lakini wana Arusha wanataka Machinga Complex mbili na barabara za juu.

Mkiambiwa kweli mnasema matusi kwani siyo kweli wewe ni mjinga kama unaweza kumpa Lema ahadi za kikwete alafu za Lema unataka kumpa kikwete sasa hapo wewe sini mjinga mkubwa sana huitaji elimu wewe na nape elimu yenu niku vuana gamba mbona hamuwezi kumvua mume wenu lowasa gamba yule ni mume wenu ccm nzima hamu muwezi kumvua gamba achana na LEMA nyie dilini na magamba yasiyo vulika nape kimya kashakwa masaburi na nyie kwa ujumla na mukame ritz ngongo rejao mmeshikwa masaburi na lowasa mkakaa kimya
 
Heshima mgafilika.

Arusha inahitaji maendeleo suala la Meya lilishamalizika siku nyingi kinachoendelea ni propaganda za kisiasa ambazo hazina mashiko.Uchaguzi wa Meya ukishafanyika zipo siku 30 za kumpinga mahakamani kama CDM haikufanya hivyo wakaamua kuandamana hadi watu wakafa leo unakwenda mwaka wa pili bado haujafunguka waalimu wako walikuwa na taabu kubwa.
Waliokufa walikuwa kwenye maandamano acha ushabiki wa kijinga....Lema kapata ubunge ndiyo mnajifanya kutaka maendeleo kwa kasi miaka yote 50 mlikuwa wapi au mnajua siku wakiya shika hayo makablasha mmekwisha......
 
katiba mpya lilikuwa wazo la chadema,chuonkikuu udom wazo la chadema,kujenga vitega uchumi arusha na kuhamisha stend ya arusha ni wwazo la chadema.
kuondoa msongamano arusha wazo la chadema

naomba wewe kilaza ritz uniambie ni ahadi ngapi za kilaza mwenzako zimeshatekelezwa mwaka sasa?
Kumbe mnatumia mawazo kwenye masuala ya kitaifa...halafu nifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo, kwenye bold nimekusamehe shule za kata at work!
 
Wewe mwehu jikumbushe ujinga wa mwenyekiti wenu...

Ahadi za Kikwete: 2010 - 2015
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora

  1. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
  2. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga
  3. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga
  4. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
  5. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini
  6. Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma
  7. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera
  8. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi-Kagera
  9. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba-Bukoba Mjini
  10. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  11. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera
  12. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera
  13. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu-Kagera
  14. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya
  15. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba-Kagera
  16. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  17. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika-Mwanza
  18. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
  19. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita
  20. Kulinda muungano kwa nguvu zote-Pemba
  21. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro
  22. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa-Mbeya mjini
  23. Kujenga bandari Kasanga –Rukwa
  24. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  25. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya
  26. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga
  27. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa
  28. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi -Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro
  29. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini
  30. Kuboresha barabara za Igunga -Tabora
  31. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu
  32. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini
  33. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)-Hydom Manyara
  34. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa- Musoma
  35. Kulinda haki za walemavu- Makete
  36. Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini
  37. Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu Arusha-Arusha
  38. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  39. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma– Kaliua,Tabora
  40. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi-Arusha Mjini
  41. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
  42. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido 45.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  43. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha –Arusha mjini
  44. Kukopesha wavuvi zana za kilimo-Busekera, Wilaya ya Musoma, .
  45. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
  46. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  47. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara
  48. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
  49. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
  50. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
  51. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania-Iringa
  52. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda
  53. kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara
  54. kuwapa wanawake nafasi zaidi-Kilolo ,Iringa
  55. ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  56. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa-Kabandamaiti mjini Zanzibar
  57. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti
  58. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma
  59. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
  60. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma
  61. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
  62. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  63. Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara
  64. Ahadi ujenzi wa kiwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha
  65. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa-Kibaha
  66. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -Kibaha
 
...Ni kweli kuwa huu mradi ulikuwepo hata kabla ya Lema kuwa mbunge na hapo kabla ulihusishwa na Fredrick Lowasa kutaka kuchukua zile nyumba zote za Manispaa zilizoko Kaloleni.
Lakini kwa namna mmoja au nyingine wakakutana na upinzani kutoka kwa mzee Kileo ambaye alikuwa diwani wa Kaloleni.
Hata juzi walipokuja kulikuwa na Mwarabu mmoja mswahili na mhindi mmoja ambao wote wawili walifikia pale New Arusha hotel ambako hicho kikao kifanyikia. Nakumbuka huyo mwarabu mswahili alikuwa anaitwa Shariff na yeye anaonekana kuwa ndiyo dalali wa hii program. Nasema hivi kwasababu siku alipofika alifanya vikao na individual madiwani wa CCM ambapo wa kwanza kuonana naye alikuwa Lyimo na baada ya Lyimo kuondoka akafika Tojo. Walikuwa wanaongea na kila mmoja wao kwa mda wake. Pia kulikuwa na wengine ambao sifahamu nafasi zao pale manispaa. Baada ya hapo ndo kukawa na kikao kwenye ukumbi unaitwa Jumuika pale arusha hotel.
My take, kama mazingira yenyewe ndo haya je, kuna uwazi gani juu ya jambo hili.
Kuna waliokuwa wanataka zile nyumba zinunuliwe na wale waliokaa mle kwa zaidi ya miaka 15, maana kuna sheria ambayo inawapa hiyo haki ya kuzimiliki..............hata hivyo bado hili swala lazima litarudi kwa baraza la madiwani ambalo ndo litaamua mwisho wake.
Mimi binafsi sioni kama watanzania tunahitaji maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu. Ni watanzania wangapi na wa kipato gani wanaweza kunafaika na huu mradi. Nadhani tuna lack priorities hasa mambo ya msingi kwa wakati huu kwa wana Arusha.
Nawasilisha......
 
Tunaongelea mradi wa Arusha mkuu, mambo ya Malasia anzisha thread tujadili
Kwani Mchikichini ni Malasia au? Mimi huwa sipendi kutumia lugha za matusi lakini ndugu yangu tumia akili kufikiri na kujibu hoja, swala hapa ni uhakika wa huo mradi kufanyika nami nikakwambia mradi kama huo ulipaswa kuwa umeanza manispaa ya Ilala Dar chini ya kampuni ya Malasia na aliyesaini mkataba ni rais Kikwete May 2010 mpaka leo imekuwa kitendawili, vipi huu wa Arusha una uhakika gani nao? Ukisikia tu Dubai masikio yanasimama kana kwamba ni Miungu wameshuka... zinduka kijana acha ushabiki wa kisiasa hapa kuwa muwazi kwa manufaa ya taifa lako..
 
Kwa hiyo wewe unafananisha miradi au nini mbona ueleweki?

Mradi wa Mchikichi umeishaaza nyumba zimevunjwa kupisha ujenzi..

Mradi mwingine wa Magomeni Kota nao umeishaanza nyumba zimevunjwa watu wameanza kazi..

Mradi wa Arusha wanasubiri jiji litoe kibali cha ujenzi kazi ianze.
 
Chadema wamekalia maandamano tu wakati CCM wanawatumikia wana Arusha

Kweli kabisa si unaona............
"
[h=2]Nov 24, 2011[/h] [h=3]MAKANDARASI WA UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CCM WAFANYA PRESENTATION KWENYE KIKAO CHA NEC DODOMA.[/h]
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Phils International ya Dubai Bw Mohamed Shariff kulia na Meneja Miradi na Mkuu wa idara ya uchoraji wa kampuni hiyo Bw Murad Yusufali pamoja na Mkurugenzi wa Finserve Associates Limited Bw. Peter Machunde wakiwa katika chumba cha mikutano cha White House katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma kabla ya kufanya presentation kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho. Phils International ni makandarasi wa kuchora na walifanya presentation ya ukumbi mpya wa mikutano wa CCM. Bw. Mohamed Shariff pia ndiye mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi Dubai."
 
...Ni kweli kuwa huu mradi ulikuwepo hata kabla ya Lema kuwa mbunge na hapo kabla ulihusishwa na Fredrick Lowasa kutaka kuchukua zile nyumba zote za Manispaa zilizoko Kaloleni.
Lakini kwa namna mmoja au nyingine wakakutana na upinzani kutoka kwa mzee Kileo ambaye alikuwa diwani wa Kaloleni.
Hata juzi walipokuja kulikuwa na Mwarabu mmoja mswahili na mhindi mmoja ambao wote wawili walifikia pale New Arusha hotel ambako hicho kikao kifanyikia. Nakumbuka huyo mwarabu mswahili alikuwa anaitwa Shariff na yeye anaonekana kuwa ndiyo dalali wa hii program. Nasema hivi kwasababu siku alipofika alifanya vikao na individual madiwani wa CCM ambapo wa kwanza kuonana naye alikuwa Lyimo na baada ya Lyimo kuondoka akafika Tojo. Walikuwa wanaongea na kila mmoja wao kwa mda wake. Pia kulikuwa na wengine ambao sifahamu nafasi zao pale manispaa. Baada ya hapo ndo kukawa na kikao kwenye ukumbi unaitwa Jumuika pale arusha hotel.
My take, kama mazingira yenyewe ndo haya je, kuna uwazi gani juu ya jambo hili.
Kuna waliokuwa wanataka zile nyumba zinunuliwe na wale waliokaa mle kwa zaidi ya miaka 15, maana kuna sheria ambayo inawapa hiyo haki ya kuzimiliki..............hata hivyo bado hili swala lazima litarudi kwa baraza la madiwani ambalo ndo litaamua mwisho wake.
Mimi binafsi sioni kama watanzania tunahitaji maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu. Ni watanzania wangapi na wa kipato gani wanaweza kunafaika na huu mradi. Nadhani tuna lack priorities hasa mambo ya msingi kwa wakati huu kwa wana Arusha.
Nawasilisha......

nec.jpg
 
Wewe mwehu jikumbushe ujinga wa mwenyekiti wenu...

Ahadi za Kikwete: 2010 - 2015
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora

  1. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
  2. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga
  3. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga
  4. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
  5. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini
  6. Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma
  7. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera
  8. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi-Kagera
  9. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba-Bukoba Mjini
  10. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  11. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera
  12. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera
  13. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu-Kagera
  14. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya
  15. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba-Kagera
  16. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  17. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika-Mwanza
  18. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
  19. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita
  20. Kulinda muungano kwa nguvu zote-Pemba
  21. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro
  22. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa-Mbeya mjini
  23. Kujenga bandari Kasanga –Rukwa
  24. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  25. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya
  26. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga
  27. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa
  28. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi -Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro
  29. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini
  30. Kuboresha barabara za Igunga -Tabora
  31. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu
  32. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini
  33. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)-Hydom Manyara
  34. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa- Musoma
  35. Kulinda haki za walemavu- Makete
  36. Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini
  37. Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu Arusha-Arusha
  38. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  39. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma– Kaliua,Tabora
  40. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi-Arusha Mjini
  41. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
  42. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido 45.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  43. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha –Arusha mjini
  44. Kukopesha wavuvi zana za kilimo-Busekera, Wilaya ya Musoma, .
  45. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
  46. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  47. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara
  48. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
  49. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
  50. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
  51. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania-Iringa
  52. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda
  53. kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara
  54. kuwapa wanawake nafasi zaidi-Kilolo ,Iringa
  55. ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  56. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa-Kabandamaiti mjini Zanzibar
  57. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti
  58. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma
  59. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
  60. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma
  61. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
  62. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  63. Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara
  64. Ahadi ujenzi wa kiwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha
  65. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa-Kibaha
  66. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -Kibaha

Crashwise nikweli hizo ahadi niza kikwete atazimaliza miaka minne iliyo baki mbona wafuasi wa kikwete hawa jibu ua kwasababu hawaja ajiriwa na kikwete kwanza rejao na ngongo ritz wameajiriwa na nape kwani nape yeye ameajiriwa nanani???
 
Kwa hiyo wewe unafananisha miradi au nini mbona ueleweki?

Mradi wa Mchikichi umeishaaza nyumba zimevunjwa kupisha ujenzi..

Mradi mwingine wa Magomeni Kota nao umeishaanza nyumba zimevunjwa watu wameanza kazi..

Mradi wa Arusha wanasubiri jiji litoe kibali cha ujenzi kazi ianze.

Amka wewe utajikuta umefukuzwa kazi na nape
 
Kwa hiyo wewe unafananisha miradi au nini mbona ueleweki?

Mradi wa Mchikichi umeishaaza nyumba zimevunjwa kupisha ujenzi..

Mradi mwingine wa Magomeni Kota nao umeishaanza nyumba zimevunjwa watu wameanza kazi..

Mradi wa Arusha wanasubiri jiji litoe kibali cha ujenzi kazi ianze.
Arguing with you its like nonsense..
 
Uwekezaji wote ulioshawishiwa/kuletwa na CCM, umekuwa wa kinyonyaji ambapo wageni wananufaika kwa uwekezaji wakati wenyeji tunapwaya tu. Leta mradi hata mmoja ambao watanzania wanajivunia kuwa umewasaidia kuondokana na umaskaini
 
...Ni kweli kuwa huu mradi ulikuwepo hata kabla ya Lema kuwa mbunge na hapo kabla ulihusishwa na Fredrick Lowasa kutaka kuchukua zile nyumba zote za Manispaa zilizoko Kaloleni.
Lakini kwa namna mmoja au nyingine wakakutana na upinzani kutoka kwa mzee Kileo ambaye alikuwa diwani wa Kaloleni.
Hata juzi walipokuja kulikuwa na Mwarabu mmoja mswahili na mhindi mmoja ambao wote wawili walifikia pale New Arusha hotel ambako hicho kikao kifanyikia. Nakumbuka huyo mwarabu mswahili alikuwa anaitwa Shariff na yeye anaonekana kuwa ndiyo dalali wa hii program. Nasema hivi kwasababu siku alipofika alifanya vikao na individual madiwani wa CCM ambapo wa kwanza kuonana naye alikuwa Lyimo na baada ya Lyimo kuondoka akafika Tojo. Walikuwa wanaongea na kila mmoja wao kwa mda wake. Pia kulikuwa na wengine ambao sifahamu nafasi zao pale manispaa. Baada ya hapo ndo kukawa na kikao kwenye ukumbi unaitwa Jumuika pale arusha hotel.
My take, kama mazingira yenyewe ndo haya je, kuna uwazi gani juu ya jambo hili.
Kuna waliokuwa wanataka zile nyumba zinunuliwe na wale waliokaa mle kwa zaidi ya miaka 15, maana kuna sheria ambayo inawapa hiyo haki ya kuzimiliki..............hata hivyo bado hili swala lazima litarudi kwa baraza la madiwani ambalo ndo litaamua mwisho wake.
Mimi binafsi sioni kama watanzania tunahitaji maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu. Ni watanzania wangapi na wa kipato gani wanaweza kunafaika na huu mradi. Nadhani tuna lack priorities hasa mambo ya msingi kwa wakati huu kwa wana Arusha.
Nawasilisha......
Habari za kazi ndugu zangu, nilikuwa na swali moja linalonichanganya. Ni Kaloleni ipi inayozungumziwa, kwa sababu kwenye Daily News tarehe 5 wameandika hivi:

Arusha has for many years been facing acute shortage of residential houses and the council believes the new buildings at Kaloleni will help solve the problem.Among the buildings to be bulldozed include single unit houses, residential flats, multi family structures and business outlets, all sprawling the entire Kaloleni and parts of Levolosi and Pangani areas mapped between the main Arusha-Moshi highway, down to Old Makongoro Road.

DailyNews Online Edition - Arusha municipality to evict over 1,000 Kaloleni tenants

Kama ni hivyo huu mradi utakuwa mkubwa sana basi.

Kwa wenzangu ambayo wanayo mwanga, ningewaomba wana JF munijulishe ni wapi kwenye hii ramani inayozungumziwa maanake kuna ubishani hapa.

2echufc.jpg

Mimi nilivyoelewa kupitia gazeti ya Daily News, ni kwamba huu mradi utahusu eneyo uliozungushiwa kwa rangi nyekundu.

o5qi2s.jpg

Lakini pia kuna makaburi pale karibu na si dhani watajenga juu yake. Je kuhusu fidia, watafanyaje?
 
Back
Top Bottom