Ujenzi wa mji wa kisasa Arusha; mbunge Goodbless Lema naye anahusika?

Nimeangalia ulijiunga lini JF nikakuta tangu mwaka 2007 hupo hapa jamvini huna ulichojifunza kunakila dalili wewe ni kati ya wale vijana wala mirungi ambao hoja ujibiwa kwa viroja.

Ikiwa suala la Meya halijaisha mbona mbona hamkwenda mahakamani ndani ya siku 30 kama sheria inavyoelekeza ?.Utafanya nini kama maandamano mlishaandamana hakuna kitu !.

ungekuwa na kazi usinge nifuatilia nimejiunga lini jf kwanza wewe unataka nijifunzi kuendeshwa na nape na ccm nisikatae ujinga wenu kwanza mimi silagi mirungi nimekuwa wewe unakula mirungi nakushinda vijiwe vya kahawa mimi cyo mpambe wa ccm pale msikiti mkuu na mtaa wauswahilini pale bondeni wanashinda kwenye vijiwe vya mirungi na kahawa kuisifia ccm kama wewe na ritz na rejeo hamna kazi nyingine karibu arusha na karibu kwangu wewe na familiy yako kama hata una familiy niwalishe miaka minne iliyo baki ya ccm kuwa madarakani ***** wewe kama unashinda kwenye vijiwe vya kahawa na mirungi unafikiri na wengine wapo hivyo msukule wa nape wewe
 
mgafilika punguza mirungi ahhaaaaaa.

Ungemfahamu Ngongo usingeumiza kichwa hivi, pole sana mwanakwetu. Ngongo haamini kwamba Lema ni jembe la uhakika. Ukishaona bandiko la ritz, Rejao, na Ngongo achana nao, kwani wao wanafaidi matunda ya CCM kwa hiyo hata uwezo wa kuchambua mambo kisomi wameupeleka likizo kwa maslahi ya CCM.
 
Nimejaribu kuongea na meneja wa Miradi ya Kampuni ya Phils International, Murad Yusuph, aliuomba uongozi wa jiji la Arusha kuharakisha upatikanaji wa kibali cha ujenzi mapema..

huku akisisitiza kuwa hatua iliyowapelekea kuuchagua mradi huo ni baada ya kubaini kuwa jiji la Arusha lina ardhi yenye rutuba pamoja na hali nzuri ya hewa.
 
Kaloleni ipi inazungumziwa hapa? Ndio hapo Soweto kwenye nyumba za AICC au? Kama ni hapo nasikia mradi wenyewe ni wa kiufisadi from the word go. Agrrreeeeiiiiii.
 
hivi kuna ulazima gani wa kujenga Kaloleni kwanini wasiweke hayo majengo nje ya mji hii ndio baadae itakua kama dar traffic jam kibao maaana kila kitu kitakua mjini.haya na AICC wakimaliza mradi wao wa soweto wa kujenga bussines complex si itakua ni vurugu tupu

Jambo la msingi HILI!

Vibarabara vinayozunguka sehemu husika ... ni vibarabara finyu na ambavyo tangu miaka ya zamani havijapanuliwa wala haukna namna ya kuvipanua! Mji wa Arusha uko so compressed ...unahitaji kupanuliwa ....more space ....more reasonable Rods ...etc ..why all in the center of such a little town?

Ukijifunza toka hapa Dar es Salaam utaona kuwa ... hakuna haja ya kulundika miji sehemu moja ...ni vema kuutanua mji wa Arusha!
 
Mkuu ritz,

Hizo nyumba zitakazohusika na huu mradi zina wakaazi zaidi ya mia tano.Shida kubwa watakayokumbana nayo wakaazi watakapisha huo mradi ni kodi kubwa za nyumba jiji Arusha na upatikanaji wa nyumba nyingi kwaajili ya kuwapokea watu mia tano kwa mara moja.Huu mradi mwanzoni ulikuwa uchukuliwe na NSSF nadhani ulishindikana kwasababu ulihitaji fedha nyingi kwa mara moja.

Mheshimiwa diwani wa Kaloleni Rasta alipinga wazo la mradi kutekelezwa kwa mara moja kwa hofu ya wananchi wengi kukosa mahali pa kujihifadhi bahati mbaya CDM wameshamtimua wakaazi wa Kaloleni hawana mwakiishi wa kuwatetea.

Ingawa kuna baadhi ya wakaazi wa Kaloleni watakao angaika kwa kukosa sehemu nzuri ya kujihifadhi lakini faida za mradi ni kubwa na nzuri kwa jiji la Arusha na wakaazi wake.

Mkuu Ngongo.
Hunajua huo mradi mbali na kutoa fursa ya ajira kwa vijana mbali mbali mkoani humo pia utasaidia kukuza hadhi ya jiji ilo ikiwa ni pamoja na kurahisisha upatikanaji wa huduma na bidhaa kwa urahisi
 
Kaloleni ipi inazungumziwa hapa? Ndio hapo Soweto kwenye nyumba za AICC au? Kama ni hapo nasikia mradi wenyewe ni wa kiufisadi from the word go. Agrrreeeeiiiiii.

Naona hii ni miradi miwili tofauti!

Huu wa AICC ...wachana nao ...taarifa ni kuwa ... UFISADI .... Grade one! Wahusika ni walewale wa siku zote ... na wakazi wa sehemu hiyo waliotakiwa kuhama wamelalamikal kwa waziri mkuu na ...kuna mvutano bado ...
 
Nimeangalia ulijiunga lini JF nikakuta tangu mwaka 2007 hupo hapa jamvini huna ulichojifunza kunakila dalili wewe ni kati ya wale vijana wala mirungi ambao hoja ujibiwa kwa viroja.

Ikiwa suala la Meya halijaisha mbona mbona hamkwenda mahakamani ndani ya siku 30 kama sheria inavyoelekeza ?.Utafanya nini kama maandamano mlishaandamana hakuna kitu !.

ngongo nyama bana, unajulikama ulipo.
Mwambie mwenzako ritz kwamba Lema kwa nafasi yake ndani ya halmashauri ya jiji ni sehemu ya mradi huu, so is all the other madiwani, wawe ccm au cdm.

Acheni porojo zenu zenye wivu wa kike hapa.
 
Ungemfahamu Ngongo usingeumiza kichwa hivi, pole sana mwanakwetu. Ngongo haamini kwamba Lema ni jembe la uhakika. Ukishaona bandiko la ritz, Rejao, na Ngongo achana nao, kwani wao wanafaidi matunda ya CCM kwa hiyo hata uwezo wa kuchambua mambo kisomi wameupeleka likizo kwa maslahi ya CCM.

huyu msukule wa ccm namfahamu fika yeye na wenzake ritz rejeo sema na fanya hivyo nikiwa nina maana yangu hata wewe ukitafakari kwa kina utajua nina maana gani kumuweka busy kujibu hoja yangu mimi dume ngongo huyu sini mama wakambo! anamchukia mtoto wa ndoa
 
Mfamaji,

Soweti iko mkabala na Kaloleni.

Nyumba za Soweto zinamilikiwa na AICC zamani zilikuwa nyumba za wafanyakazi wa EAC kwaajili ya watumishi kada ya chini.
Kaloleni nyumba zinamilikiwa na Manispaa ya Arusha ni nyumba za zamani sana book value yake ni zero kuziacha muda wote yalikuwa ni makosa makubwa ya kisiasa.Diwani wa Kaloleni zamani Mzee J Kileo alikuwa akijipatia kura za kutosha toka wakaazi wa hizo nyumba kwakuwa alikuwa akiwatetea sana.Kaloleni ni Kata pekee Dr Batilda Buriani alishindwa uchaguzi wa ndani CCM Wakalole kama wanavyopenda kujiita walikuwa wakimthamini sana Mzee Kileo kuvunjwa nyumba za Kaloleni ni ushindi wa wazi wa Mzee J Kileo.

Kaloleni ipi inazungumziwa hapa? Ndio hapo Soweto kwenye nyumba za AICC au? Kama ni hapo nasikia mradi wenyewe ni wa kiufisadi from the word go. Agrrreeeeiiiiii.
 
Wanabodi..

Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Kampuni ya ujenzi ya Phils International ya Dubai.

Wanatarajiwa kuboresha jiji la Arusha kwa kuwekeza katika mradi mkubwa wa ujenzi wa mji wa kisasa wa kibiashara.

Utajengwa katika eneo la Kaloleni jijini Arusha..

Lema anausika kwenye huu mradi wa wana Arusha kama mbunge au katoa mchango gani?

Mradi huo unataraji kukamilika ndani ya miaka mitano ambapo jumla ya wakazi 24,000 ambao wanaishi Kaloleni watalazimika kupisha ujenzi huo..
Kwa mujibu wa Meya wa jiji la Arusha Gaudence Lyimo katika kikao cha kamati ya uwekezaji, alisema mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha wakazi wa jiji la Arusha.

Katika mradi huo wanatarajia kujenga maduka makubwa, shule, hospitali, sehemu za kupumzika pamoja na maeneo ya maegesho ya magari..

Chadema wanasemaje kuhusu huu mradi wa Arusha
Kwa nini wajenge ktkt ya mji? Ili hali yapo maeneo ambayo hayajaendelezwa na non productive. Mfano maeneo ya Kikatiti,maeneo kama unaelekea oldonyo sambu,maeneo ya njiro chini, Kisongo na duka bovu n.k Badala ya kupanua mji,mnajenga mjini baadae mnalalamikia foleni.Poor planning!
 
kWA NN WAJENGE KTK YA MJI ILIHALI MANEO YAPO NJE YA MJI? Mfano maeneo ya Kikatiti,maeneo kama unaelekea oldonyo sambu,maeneo ya njiro chini n.kBadala ya kupanua mji,mnajenga mjini baadae mnalalamikia foleni.Poor planning!

Watakuelewa basi!!

Hasa panapokuwa na Pressure za kisiasa au kifisadi !!
 
Bigirita,

Tatizo la wanajamvi wengi wanadhani ukiipinga CDM uko CCM.Ukiipinga CCM uko CDM.Kwa taarifa yako mimi ni mtu huru sifungwi na minyororo ya vyama.Lema akichemka tunamtwanga mawe ya nguvu bila kujali anawakilisha chama gani.Kikwete akienda kubembea Jamaica tunamtwanga bila kujali anaongoza nchi kupitia chama gani.John Mnyika akitoa hoja nzuri mjengoni tunamsifia haijalishi anawakilisha CDM au CUF.

Back
Top Bottom