Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

Mkuu una maana aachane nao na amrudishe rizmoko shanghai? Ni ngumu wewe gugumia tu ila mwisho wa siku fadhila lazima zilipwe kwa staili ile ile

Tunakimbiwa, Kikwete aachane na mradi wa bandari Bagamoyo!

Mwandishi haoni mbali.
bandari ya Dar es salaam tayari imekua ndogo..nafasi ya kupanua haipo wewe ukipita baharini uiku utaona namna gani meli zipo foleni kwa mbali kusubiri kuingia bandarini kushusha mzigo
hivyo bandari mpya ya kisasa itakua na uwezo wa kuhudumia meli kubwa sana za mizigo pamoja na tanker kubwa za mafuta ambazo ni wazi gharama zake zitakua ndogo ukilinganisha hizi za kawaida,
bandari mpya ya bagamoyo itakua na uwezo mkubwa wa kushusha mizigoi mingi.kwa wakati mmoja...hivyo kupunguza muda wa kushusha na kupakua mizigo na kuifanya bandari hio mpya kuwa zaidi ya zile za mombasa na beira
ama kuhusu uganda na rwanda kutumia bandari ya mombasa hayo ni maaumuzi ya kisiasa zaidi kwani Uganda kwao kutumia bandari ya mombasa ni karibu na raihisi zaidi lakini rwanda na burundi Dar es salam ni karibu na rahisi zaidi..hivyo huo uamuzi ni wa kisiasa zaidi .
lakini kama nchi lazima tuwe na mipango ya mbele zaidi yaani kuangalia mbele...
cha kufanya ni baada ya mradi huu tuimarishe TAZARA na Reli ya kati ...iunganishwe Rwanda na Burundi pamoja na DRC
GHARAMA ZETU zitapokua rahisi pamoja na huduma sidhani kama rwanda watashikilia kwenda msa
na haya masuala ni ya wafanya biashara...wao ndio wanaolipa gharama za kusafirisha mizigo...wakiona dar au bagamoyo ni kuzuri sidhani kama watakwenda mombasa
na pili huu ni mradi mkubwa ambao unahusu kuujenda upya mji wa bagamoyo, ambako viwanda , mahoteli na EPZ zimeanza kujengwa sasa ...waandishi wetu wanatakiwa wawe na chembe ya uzalendo ...wanatakia ku surport mipanh=go mikubwa kama hii kwani ina maslahi na nchi yetu leo na kesho
ama kuhusu mtwara na Tanga, mie naona mtwara bandari yake itabakia kuwa ya kusafirisha mafuta na gas siku za mbele lakini sio pahala pazuri kwa ajili ya transit cargo
Tanga ipo karibu na mombasa hivyo nayo inaifanya kuwa mbali na nchi jirani na pia kina cha maji pale ni kidogo na meli kubwa haziwezi kufika
hivyo waandishi muwe wazalendo...bora kukosoa kwa njia ya kuuboresha mradi huu ili uwe mzzuri zaidi kuliko kusema ati haufai..hilo sio kweli. kuna wakati waandishi wetu wakishadidia pressure ya kenya kuhusu bara bara ya serengeti arusha hadi musoma ati itafukuza wanyama !!! lakini hawa waandishi hawaoni kuwa kenya hapa inajua tutafaidi kwa kuimarisha secta yetu ya utalii kwa kupanua njia za kufikia huko.hawasemi kwamba nairobi iko katika mbuga za wanyama na wanyama wapo hawaja athirika
tuwe wazalendo
kama ni hivyo kwanini tusielezwe? na hizo nchi jirani zikaelezwa, hivyo mpango wa reli ukawa wa pamoja, na uganda akaelewa why bagamoyo na sio Tanga, ni mambo madogo au ni siri ya biashara.
 
Siamini kama ni upeo finyu wa Mbwambo, mwandishi ninayemueshimu kati ya waandishi wa nchi hii au wakenya wameingia mpaka kwenye magazeti ya Tanzania ili kupinga bandari ya Bagamoyo, kama magazeti ya Kenya yanavyoandika kuipinga na kuihofia kila siku. Article hii inamawazo finyu sana na imekosa uzalendo. Yaani bandari ya Bagamoyo isijengwe kwa kuhofia Uganda na Rwanda kutukimbia?

Katika ukanda huu nchi ambayo tunapimana msuri kifursa ni Kenya, na kwa kuwa Kenya anaihofia Bandari ya Bagamoyo acha ijengwe tu ili azidi kupata shida zaidi. Rwanda kuikimbia Tanzania ni sababu za kisiasa tu, wala haina uhusiano na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kigeografia Uganda na South Sudan ni rahisi wao kutumia Bandari ya Mombasa acha waende huko. Uganda watakuja piga goti tu uchaguzi ukikaribia Kenya, kama wanvyofanya miaka yote
Cha kufanya sisi ni kujenga Bandari ya Bagamoyo na kuhakikisha tunajenga mahusiano mazuri na rafiki zetu wa Rwanda na Uganda, kwani Kagame na Museven hawatadumu milele kama watawala wa nchi hizo, watakuja wengine tutakaoshirikiana nao vizuri tu.
 
Sasa mkuu haingiii akilini vipi au hutaki kutumia hizo akili kufikiria? Kwa mtazamo wako Bandari ya Dar ilipo na ilivyo inaweza kuboreshwa na kuwa Bandari kubwa kuliko zote kusini mwa Jangwa la Sahara? Hebu fikiria hali hiyo. Juu ya kuu Bandari ya Mombasa sisi watanzania hayatuhusu na kuua ya Dar sidhani, kwasababu Bagamoyo itakuwa kwa meli kubwa zinazochukua shehena siyo ya Tanzania pekee bali pia kwa nchi kadhaa za Afrika. By the way Dar ni wapi na Bagamoyo wapi? Au mapato ya Bandari ya Dar ni ya nani na hiyo ya Bagamoyo yatakuwa ya nani?

Tutafute sababu nyingine za kukosoa mradi wa Bagamoyo Port lakini economically, ni viable project yenye manufaa makubwa.

Ina maana huoni hata impact ya decongestion itakayotokana na kupungua kwa u-busy wa Dar Port?
Bado haikuingii akilini kwamba hayo malori yanayofunga Mandela na Morogoro Road hayatakuwepo? Bado haikuingii akilini kwamba Bagamoyo ni deepest natural harbour? Bado haikuingii akilini kwamba waajiriwa wa Bandari ya Bagamoyo watategemea soko la Dar hivyo kutozorotesha biashara iliyopo iwapo Bandari kubwa kama hiyo itajengwa Mtwara au Tanga? Bado haikuingii akilini kwamba Bagamoyo ni karibu pia na Central line ambayo uboreshaji wake utachukua gharama nafuuu kidogo ukilinganisha na Mtwara au Tanga ambako huenda masuala ya compesantion ya njia mpya yatahitajika? Haikuingii akilini kwamba tofauti ya kutoka Bagamoyo hadi Kahama/Kigoma/Congo/Kigali/Bujumbura ni kama sawa na kutoka Dar hadi Kahama/Kigoma/Congo/Kigali/Bujumbura hivyo itakuwa na uwezo mzuri wa ushindani kwa misingi ya umbali ukilinganisha na Mombasa/Uganda/Kigali?

Nadhani swali la why Bagamoyo? si genuine kwa wakati wote kwani chochote kitakachojengwa Bagamoyo hakina maana kwamba ni kwa manufaa ya watu wa Bagamoyo tu, bali ni kwa watanzania wote na ni hatua muafaka ya kupanua mji wa Dar ambao bila shaka utaungana na wa Bagamoyo.

Ndugu Zinedine sijaona sababu ya wewe kutumia lugha ya kukwaza kwenye jibu lako ambalo linaonekana limekaa kisiasa zaidi na unakwepa kwa makusudi kujibu hoja msingi.

Hoja yangu ilikuwa ni kwamba uwepo wa Bandari ya Bagamoyo utaiua bandari ya Dar sasa wewe umerudia mule mule sijui msongamano wa magari (Traffic jam) na porojo nyinginezo. Sasa hiyo traffic jam haitapungua kwa bandari ikijengwa Lindi/Mtwara?

Kuhusu Miundombinu na wasiwasi na ufuatiliaji wako wa mambo yanayoendelea Tz, hivi hujui kuna barabara ya lami inayoendelea kujengwa kuunganisha Mtwara na ruvuma mpaka mpakani? Je hii haitaweza kuhidimia nchi nilizozitaja za Malawi/Zambia na Congo D.R?

Usipotoshe mada kwa kuzitaja nchi za Rwanda/Congo DR ya mashariki/Burundi na Uganda hizo bado bandari ya Dar inaweza kuzihudumia kama watajirekebisha katika kasoro chache zilizopo.

Gharama za ku-compensate watu bado si hoja ya maana, kama Bandari hiyo itaanza from scratch basi Mtwara mwambao wa Bahari bado kuna maeneo mengi tu ya pembezoni ambapo hakuna makazi ya watu au kuna watu wachache sana tena wanaomiliki mali za kawaida sana (Nyumba za duni) ambazo si gharama sana kuhamishwa kama ikitakikana.

Kuhusu Bandari kuwa na natural Depth na Kule kusini ni hivyo hivyo kama unabisha tembelea Bandari ya Mtwara uone Meli zinatia nanga ufukweni kabisa.

Hebu niambie kwa sifa zote ulizozitaja, baada ya kukamilika kwa Bandari ya Bagamoyo je Bandari ya Dar itakuwa na kazi gani? Kama haitakuwa ni moja ya terminal ya Bandari ya Bagamoyo (Domestic Cargo Terminal) nani ataitumia? Je haitakuwa imekufa?
 
Mkuu, nisamehe kama Lugha yangu imekukwaza, lakini nikiwa naandika hayo maelezo, nilikuwa fully friendly and politely, ni vile tu miongoni mwa mapungufu ya mawasiliano kwa njia ya maandishi tofauti na njia ya simulizi.

Nikirejea kwenye mada, naweza kusema sina ziada ya utetezi zaidi ya kuona hivyo nilivyoona kwamba Bagamoyo ni Strategic Position kwa Bandari yenye sifa ya 4th Generation. Lakini pia sioni kufa kwa Bandari ya DSM kwani ni wazi kuwa ukubwa wa meli utatofautiana na meli zote hazitoki sehemu moja. Hata hivyo, hata ikifa kwa kukosa meli; hiyo Bandari ya Bagamoyo itakuwa ya nchi gani na ya Dar ni ya nchi gani? Samahani kwa mara nyingine, lets discuss together positively to build our nation.
 
Mkuu nakushauri tafuta vya kupinga lakini siyo ujenzi wam bandari ya bagamoyo. Bandari ya bagamoyo ikakamilika kuna watu watakosa sehemu ya kuficha nyuso zao kwa aibu, watu wengi wanadhani imejengwa kwa sababu Mkuu wa nchi anatokea huko lakini ikianza kufanya kazi ndo hapo watakapojua umuhimu wake.

msome FJM hapo juu, badala ya kusema wa2 wataficha nyuso zao kwa aibu, lete taarifa sahihi kuhusu benefits. wenye ufahamu zaidi khs hili, toeni elimu kwa wengine
 
Ndugu Zinedine sijaona sababu ya wewe kutumia lugha ya kukwaza kwenye jibu lako ambalo linaonekana limekaa kisiasa zaidi na unakwepa kwa makusudi kujibu hoja msingi.

Hoja yangu ilikuwa ni kwamba uwepo wa Bandari ya Bagamoyo utaiua bandari ya Dar sasa wewe umerudia mule mule sijui msongamano wa magari (Traffic jam) na porojo nyinginezo. Sasa hiyo traffic jam haitapungua kwa bandari ikijengwa Lindi/Mtwara?

Kuhusu Miundombinu na wasiwasi na ufuatiliaji wako wa mambo yanayoendelea Tz, hivi hujui kuna barabara ya lami inayoendelea kujengwa kuunganisha Mtwara na ruvuma mpaka mpakani? Je hii haitaweza kuhidimia nchi nilizozitaja za Malawi/Zambia na Congo D.R?

Usipotoshe mada kwa kuzitaja nchi za Rwanda/Congo DR ya mashariki/Burundi na Uganda hizo bado bandari ya Dar inaweza kuzihudumia kama watajirekebisha katika kasoro chache zilizopo.

Gharama za ku-compensate watu bado si hoja ya maana, kama Bandari hiyo itaanza from scratch basi Mtwara mwambao wa Bahari bado kuna maeneo mengi tu ya pembezoni ambapo hakuna makazi ya watu au kuna watu wachache sana tena wanaomiliki mali za kawaida sana (Nyumba za duni) ambazo si gharama sana kuhamishwa kama ikitakikana.

Kuhusu Bandari kuwa na natural Depth na Kule kusini ni hivyo hivyo kama unabisha tembelea Bandari ya Mtwara uone Meli zinatia nanga ufukweni kabisa.

Hebu niambie kwa sifa zote ulizozitaja, baada ya kukamilika kwa Bandari ya Bagamoyo je Bandari ya Dar itakuwa na kazi gani? Kama haitakuwa ni moja ya terminal ya Bandari ya Bagamoyo (Domestic Cargo Terminal) nani ataitumia? Je haitakuwa imekufa?

Mkuu hivi unajua kinachoendelea burundi kwenye uchimbaji wa nickel? Kuanzia mwaka 2017 Burundi inategemea kuana kusafirisha tani karibu milioni sita mpaka tisa za nickel ukiongezea na za Kabanga nickel mzigo utakua kwenye tani zaidi ya milioni kumi. Bandari ya DSM haiwezi kukabiliana na mzigo huo sana sana mrundi anaweza kukimbilia Mombasa. Kuhusiana na bandari ya Mtwara kama mradi wa Liganga na mchuchuma ukifanikiwa ukiongeza usafirishaji wa gesi itakua busy mno.
 
Siamini kama ni upeo finyu wa Mbwambo, mwandishi ninayemueshimu kati ya waandishi wa nchi hii au wakenya wameingia mpaka kwenye magazeti ya Tanzania ili kupinga bandari ya Bagamoyo, kama magazeti ya Kenya yanavyoandika kuipinga na kuihofia kila siku. Article hii inamawazo finyu sana na imekosa uzalendo. Yaani bandari ya Bagamoyo isijengwe kwa kuhofia Uganda na Rwanda kutukimbia?

Katika ukanda huu nchi ambayo tunapimana msuri kifursa ni Kenya, na kwa kuwa Kenya anaihofia Bandari ya Bagamoyo acha ijengwe tu ili azidi kupata shida zaidi. Rwanda kuikimbia Tanzania ni sababu za kisiasa tu, wala haina uhusiano na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kigeografia Uganda na South Sudan ni rahisi wao kutumia Bandari ya Mombasa acha waende huko. Uganda watakuja piga goti tu uchaguzi ukikaribia Kenya, kama wanvyofanya miaka yote
Cha kufanya sisi ni kujenga Bandari ya Bagamoyo na kuhakikisha tunajenga mahusiano mazuri na rafiki zetu wa Rwanda na Uganda, kwani Kagame na Museven hawatadumu milele kama watawala wa nchi hizo, watakuja wengine tutakaoshirikiana nao vizuri tu.

Mkuu hiii bandari ikianza kazi hata hao nao watarejea taratibu maana kuna meli ambazo zitakua zinasimama bagamoyo tu(kutokana na ukubwa), kama una mzigo wako itabidi either uufate bagamo kupitia reli au ije meli nyingine kwa ajili ya kuupeleka Mombasa. Hakuna anaetaka usumbufu wa kuhangaika kupakia mzigo tena kwenye meli kwa ajili ya kuupeleka mombasa wakati ukipitia nchi kavu unarahisisha kazi.
 
Jaman em tujiulize jambo moja kwa nn kikwete anajenga bandari mpya bagamoyo.
NB: 1. kikwete kwao n bagamoyo
2. Kuna bandari nying nzuri tu zilizokufa zingehtaji tu kufufuliwa au kuboreshwa na zingehtaji gharama ndogo kuliko kujenga mpya
Mfano wa bandari hizo n Tanga na Mtwara.

Swali. Bandar mpya bagamoyo inalenga kukuza uchumi wa nchi nzima ama n kuimarisha biashara zake baada kumaliza kipnd chake cha urais
 
Wewe unaonaje? ingejengwa Machame KILIMANJARO? sababu toka Tanzania ipate uhuru Machame haijawahi kuwa na bandari
 
Bandari kujengwa Bagamoyo ni one of the misuse of funds...it's one of the stupid projects kufanywa na awamu ya nne.
Unajengaje bandari bagamoyo wakati una Bandari ya Tanga na Mtwara ambazo hazifanyi vizuri. Kilichopaswa kufanyika ni kuziimarisha Tanga na Mtwara na ingesaidia ku-back up their performance..mfano kuiimarisha bandari ya Mtwara according to wataalam ni rahisi sana maana it has a natural deep on the docking side ivyo fedha amabazo zingetumika kuipanua sio nyingi kuliko kuanza new project Bagamoyo. Like wise to Tanga port..ilikuwa inafanya vizuri huko nyuma but now kwanini meli haziendi Tanga..ndio vitu vya kufanyia kazi na sio kuanzisha bandari mpya Bagamoyo.
Hata badari ya Dar inapaswa kuimarishwa ili meli nyingi ziwe zinafunga kwa wakati mmoja.
Sasa sijui JK anajenga bandari Bagamoyo sijui ili kuwarahisishia Home Shopping Centre ili watuibie vizuri zaidi...I really dont know...!!!
 
Hakuna maana zipo nyingi kuna ya kilwa,mtwara,tanga,mafya na zenginezo ila zimebaki kuwa historia
Maana zinaelekea kufa
 
Back
Top Bottom