Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

Wewe unaonaje? ingejengwa Machame KILIMANJARO? sababu toka Tanzania ipate uhuru Machame haijawahi kuwa na bandari

Naona UBAGUZI umekufikisha mahali ambapo hata namna ya kuweka mwazo ya kujenga hakuna tena.

Hongera sana,maana nimesikia BAHARI YA HINDI imepita MACHAME KILIMANJARO:A S 41:
 
Bandari kujengwa Bagamoyo ni one of the misuse of funds...it's one of the stupid projects kufanywa na awamu ya nne.
Unajengaje bandari bagamoyo wakati una Bandari ya Tanga na Mtwara ambazo hazifanyi vizuri. Kilichopaswa kufanyika ni kuziimarisha Tanga na Mtwara na ingesaidia ku-back up their performance..mfano kuiimarisha bandari ya Mtwara according to wataalam ni rahisi sana maana it has a natural deep on the docking side ivyo fedha amabazo zingetumika kuipanua sio nyingi kuliko kuanza new project Bagamoyo. Like wise to Tanga port..ilikuwa inafanya vizuri huko nyuma but now kwanini meli haziendi Tanga..ndio vitu vya kufanyia kazi na sio kuanzisha bandari mpya Bagamoyo.
Hata badari ya Dar inapaswa kuimarishwa ili meli nyingi ziwe zinafunga kwa wakati mmoja.
Sasa sijui JK anajenga bandari Bagamoyo sijui ili kuwarahisishia Home Shopping Centre ili watuibie vizuri zaidi...I really dont know...!!!

Mi sioni tatizo,ni mipango tu,hata hyo ya bagamoyo inaumuhimu wake
 
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni wa kupongezwa. Wanaoupinga wana sababu zisizokuwa za msingi. Ikumbukwe pia kuna mafisadi Bandari ya Dar es salaam ambao inasemekana walishajipatia mikataba ya kifisadi ya miaka zaidi ya 25. HAKUNA KURUDI NYUMA.
 
Kama kila kiongozi ataamua kuanzisha MEGA PROJECT kwao kuna siku makao ya nchi yatahamishiwa CHATO
Bandari kujengwa Bagamoyo ni one of the misuse of funds...it's one of the stupid projects kufanywa na awamu ya nne.
Unajengaje bandari bagamoyo wakati una Bandari ya Tanga na Mtwara ambazo hazifanyi vizuri. Kilichopaswa kufanyika ni kuziimarisha Tanga na Mtwara na ingesaidia ku-back up their performance..mfano kuiimarisha bandari ya Mtwara according to wataalam ni rahisi sana maana it has a natural deep on the docking side ivyo fedha amabazo zingetumika kuipanua sio nyingi kuliko kuanza new project Bagamoyo. Like wise to Tanga port..ilikuwa inafanya vizuri huko nyuma but now kwanini meli haziendi Tanga..ndio vitu vya kufanyia kazi na sio kuanzisha bandari mpya Bagamoyo.
Hata badari ya Dar inapaswa kuimarishwa ili meli nyingi ziwe zinafunga kwa wakati mmoja.
Sasa sijui JK anajenga bandari Bagamoyo sijui ili kuwarahisishia Home Shopping Centre ili watuibie vizuri zaidi...I really dont know...!!!
 
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni wa kupongezwa. Wanaoupinga wana sababu zisizokuwa za msingi. Ikumbukwe pia kuna mafisadi Bandari ya Dar es salaam ambao inasemekana walishajipatia mikataba ya kifisadi ya miaka zaidi ya 25. HAKUNA KURUDI NYUMA.
Kumbe inasemekana!? Kama ingekuwa ni kweli ingekuwa vyema ututajie majina yao. Otherwise ni udaku tu.
 
Bandari ya Tanga ina kina kifupi sana, meli kubwa husimama baharini na mizigo hushuswa kwenye matishari na kuvutwa na tags mpaka bandarini na kupakia ni hivyo hivyo, usiseme maji yakikupwa (low tides) ni shida! kama mnataka bandari ya kushindana na Mombasa Bagamoyo ndio jibu kwani ni natural harbor (ina kina kirefu haihitaji kuchimbwa sana) nyingne ni Mtwara lakini kijiogrfia nahisi bagamoyo iko pazuri zaidi kusave nchi nyingi zaidi zisizokuwa na bandari kuliko mtwara. Tusiangalie hili suala kutokana na kambi zetu za kisiasa kwani Bagamoyo ni Tanzania pia. Kuindeleza bandari ya Tanga ni sawa kabisa lakini kuifanya iwe kama ya Mombasa ni ndoto au itakuwa gharama kubwa sana.
 
Ina maana nchi hii sasa inataka kuwa fasheni kuwa rais akiingia madarakani anahakikisha ananufaisha kwao kwa raslimali za nchi. Mradi huu usimamishwe tuimarishe kwanza bandari zilizopo.
 
Niliwahi kuongelea suala la Bagamoyo kupendelewa kipindi cha Muungwana baadhi ya wanajamvi walinipinga sana lakini leo wamebaini nilikuwa sahihi.

kuendeleza eneo analotoka rais au mkuu wa nchi imekuwa ni sehemu ya tabia ya watawala wengi wa nchi za Afrika.Rais wa zamani wa Zaire [Congo Kinshasa] hakubaki nyuma kufanya upuuzi wa kujenga mji alikozaliwa Gbadolite uwanja wa ndege wa kimataifa,ikulu na mambo mengi yaliyotafuana hazina ya nchi ya Zaire wakati huo,Rais wa zamani wa kenya mzee D Arap Moi alitenda dhambi ile ile ya kutumia vibaya hazina ya kenya kujenga alikozaliwa.Kufuru nyingine ilifanywa na Rais wa zamani wa Ivory Coast Bwana Felex H Boigny alitumia vibaya hazina ya taifa lake kujenge kanisa kubwa la Yamoussoukro,uwanja wa ndege,Reli,Barabara za kisasa na nk.

Inashangaza kidogo kuona Tanzania iliyopata uhuru wake mwaka 1961 bado inaongozwa na kiongozi mwenye mawazo ya akina Felex Boigny,Daniel A Moi,Omari Bongo na Mobutu Seseseko.Mbaya zaidi ni kuona mfumo wetu wa siasa unaruhusu haya kutokea.Miradi yote inayokimbizwa Bwagamoyo ina hatari ya kufa wakati rais wa sasa atakapoondoka madarakani.

Mchezo huu mchafu ukiachiwa kuendelea kushamiri ipo hatari nyingine itakayoinyemelea Tanzania siku za usoni.Tutakuwa tunachagua viongozi wataokuwa wanatazama zaidi sehemu walipo toka kwanza badala ya kuitazama Tanzania.
Kumbe kikwete naye alikuwa Kama mobutu?
 
Feasibility study gani? Imefanywa na kampuni gani? Imeonyeshaje kwamba Bagamoyo ndiyo sehemu nzuri kabisa ya kutumia fedha zetu chache za kigeni? Utatuhakikishiaje kwamba hizi projects hazijapita kwa pressure ya top down? Kwamba mkulu anaagiza kiwanja cha ndege na bandari vijengwe kwanza, halafu feasibility study hata kama inakuja inachongwa ku fit matakwa ya mkulu?

Tumetumia hela kibao kuhamiha "mji mkuu" kwenda Dodoma, miaka kibao baadaye wizara zote, mabalozi wote na serikali yote kwa ujumla iko Dar bado.Hata hilo bunge lililohamia Dodoma wabunge wake kibao bado wako Dar. Hili halijatufundisha?

Katika wakati huu wa global economic crises, tunapata wapi confidence ya kuweka mihela kibao katika projects kubwa hizi? Historia ya kukuza miji kwa kumwaga fedha imejaa matokeo ya kushindwa, kuanzia Brasilia, Canberra mpaka Dodoma. Binafsi napenda zaidi mipango ya miji inayoipa miji organic growth, from bottom to top. Hizi habari za top down zimewashinda Waarabu na hela zao, zimewashinda Wa South Korea na teknolojia yao, other than a bottomless pit for our money, hizi pprojects hazina kazi nyingine.

While one can make a coherent case that the Dar business hub needs to be decentralized, and Bagamoyo may be the place to start, I feel that not enough justification is given.In addition tayari tuna bandari na viwanja vya ndege vinavyohitaji kuboreshwa. Tunakuwa sawa na yule mtu maskini lakini asiyetaka kufua nguo, nguo ikichafuka yeye anataka kununua nguo mpya tu. Hii si akili.

To make matters worse, projects zinaonekana kutolewa kwa sababu ya nasaba ya Kikwete kuwa Bagamoyo
Nna uhakika Leo huwezi kusema haya
 
Nna uhakika Leo huwezi kusema haya
Uhakika wako unatokana na nini?

Sijauelewa bado, kwa sababu msimamo wangu kuhusu maneno niliyoandika haujabadilika na hakuna popote niliposema umebadilika.

Umekusudia kuninukuu mimi na bandiko langu hilo au umeninukuu kimakosa tu ukikusudia kumnukuu mtu mwingine?

Your post makes zero sense to me.
 
!
Ina maana nchi hii sasa inataka kuwa fasheni kuwa rais akiingia madarakani anahakikisha ananufaisha kwao kwa raslimali za nchi. Mradi huu usimamishwe tuimarishe kwanza bandari zilizopo.
 
Back
Top Bottom