Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

Moronight walker

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
3,105
4,635
Serikali ya drc imesema kwamba imekamata majasusi wa Rwanda jijini Kinshasa. Ambao walifanikiwa kujipenyeza na kuwa ba mawqsiliano na maofisa wa juu wa jeshi la congo.

Majasusi HAO walikuwa wanapanga njama za kuangusha ndege ya rais felix.

Serikali ya congo imesema wanao USHAHIDI wa kutosha unaonyesha njama HIZO za mauaji ya rahisi felix.
Ushahidi huo upo kwenye simu zao waliokamatwa majasusi HAO.

jasusi mmoja ni MTOTO wa generali mmoja wa rwanda Jeneral Erick murokore. Ambaye ni mwanajeshi wa Rwanda mpaka sasa, ila kakamatwa Congo.

FB_IMG_1672734300043.jpg
FB_IMG_1672734295752.jpg

Serikali ya rwanda WANASEMA kuwa sio kweli wamekamata watu ambao HAWANA hatia.

Mmoja wa majasusi wa rwanda aliyekamatwa anafanya kazi kwenye shirika mmoja la NGO congo linahusu afya. AFRICA HEALTH DEVELOPMENT ORGANISATION.

Serikali ya congo wamesema USHAHIDI wanao.

MARA nyingi serikali ya rwanda unakuwa inashutumiwa kutuma majasusi nchi kama congo , Uganda, Burundi, kenya , south africa, zambia, Mozambique, Tanzania na zingine.

Picha chini ni ya watuhumiwa walikamatwa wamepigwa picha na serikali ya Congo.

FB_IMG_1672734307411.jpg
FB_IMG_1672734314152.jpg
 
Kwa PK hiyo ni kawaida sana sema this time Congo wameamua kumkazia kikwelikweli huku wakiwa na support ya wazungu ambao PK alikua anasimamia madili yao DRC , Rais wa Congo katahakikishia makampuni ya kibeberu kufanya uchimbaji halali na walipe kodi halali ndio hapo PK kaonekana hana maana kabisa wanamtosa kimtindo wote watamwacha peke yake,
 
Nadhani sio vizuri saa familia nzima kuwa wanajeshi au wanasiasa wengine wanatakiwa kwenda proffession nyingine za kiraia wawe hidden huko Kuepuka kuweka mayai yote kwenye kapu moja

Kama ni kweli kwa sasa ni Risk kwa watoto wa viongozi wa jeshi la Rwanda au serikali hata kama sio askari wasiende kongo hata kama kutalii au kibiashara kipindi hiki cha tension watakuwa branded kuwa majasusi
 
Watu wakiambiwa ndege ya Habyarimana ililipuliwa na RPF hawaamini, kitendo kilicho spark the 1994 Rwanda Genocide.

Rwanda wanataka kurudia kosa lilelile linaloweza kusababisha Genocide ya Banyamulenge huko Congo.
6/4/1994
Aliangusha general JACK nzinza alitumia 16 igla surface to air missile,
Alikuwa na james kaberebe na erick akizimana.
 
Nadhani sio vizuri saa familia nzima kuwa wanajeshi au wanasiasa wengine wanatakiwa kwenda proffession nyingine za kiraia wawe hidden huko Kuepuka kuweka mayai yote kwenye kapu moja

Kama ni kweli kwa sasa ni Risk kwa watoto wa viongozi wa jeshi la Rwanda au serikali hata kama sio askari wasiende kongohata kama kutalii aunkibiashara kipindi hiki cha tension watakuwa branded kuwa majasusi


Umeambiwa kwamba wamenasa mawasiliano yao ya simu, hivyo ushahidi upo.
 
Back
Top Bottom