Ujangili wa madini wilaya ya nzega kijiji cha mwanshina wazidi kushamilii

Emmanuel Njile

Senior Member
Jul 31, 2013
130
7
Hali inazidi kuendelea kuharibika kati ya matajiri na wachimbaji wadogo kijiji cha mwanshina maaskari wanapokea rushwa
 
kwa marajiri na kuchimba madini usiku kwa mil3-5 kwa masaa matano na laki 3kwa lisaa 1 watu masikini kama wakikatazwa
 
Naishauri serikali iliangalie kwa makini kwani mkuu wa wilaya anashea na mkuu wa polis wilaya hii ndio tanzania yetu?
 
Back
Top Bottom