Uhusiano kati ya sigara naa kukata gogo

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
Mimi si mvutaji rasmi waa sigara ila kila mara ninapojaribu kuvuta nilikuwa nabanwa na haja kubwa baada ya dakika chache,je kuna uhusiano wowote katti ya uvutaji sigara na kukata gogo?proffeesionals,nahitaji kuifahamu hii logic ikoje ikoje,au ni mimi nina tatizo.
 
mwenyewe nasuburia jibu!maana its same applied to me!possibly kuna kauhusiano,sijui unasababishwa na nini!
 
Ngoja wataalamu waje, sijawahi sikia hiyo kitu maishani!!
 
Sigara inakufanya urelax muscle, hadi muscle za sphincter.
 
Back
Top Bottom