Serikali ni chombo kinachoongoza nchi,
CCM ni chama kinachounda serikali, inamaana chama kinamchango wa juu kabisa kwenye mambo yote ya serikali..
Kanisa katoliki ni jina linalotumika hasa
kumaanisha Kanisa la Kikristo linalokubali
mamlaka ya kiroho ya Papa wa Roma kama
mkuu wa urika wa Maaskofu juu yake lote..
Kanisa hili ndilo lenye wafuasi wengi kuliko yote na kwa imani zote,
Uwingi wa wafuasi wake na uimara wake unalifanya kuwa na impact hadi serikalini..
Regardless haya makanisa mengine ya akina Kakobe type hata wapige kelele kiasi gani hawaathiri chochote..
Gwajima mwenyewe ameamua kutafuta umaarufu ViA Kanisa Katoliki.. He will learn the lesson!!
There's good relationship between these institutions!!
Nawasilisha.