Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,524
- 34,346
Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.
Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.
Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.