Wale walioomba uhamisho mwezi Juni 2014, sasa mambo yapo hadharani.
Pitia tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu: http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/ajira/
Pitia tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu: http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/ajira/
naomba kuuliza huu uhamisho unatoka kwa mwaka mala ngapi?
Nishacheki! Nahama rasmi.
Nishacheki! Nahama rasmi.
kwa mwaka mara mbili mwezi wa sita na mwez wa 12
asante mkuu na je utaratibu ukoje kuomba uhamisho naomba kujuzwa kwa anayejua
msaada jamani me nimebadilishana kutoka moshi to mbozi lakin nimeandkiwa mosh to mufindi,nifanyeje? 0752230738
nimepata mtu wa kubadil nae,so cjui utaratibu,naomba kujuzwa
wengine tunatumia tecno ambazo hazifungui pdf files, tunaomba mtuwekee majina kwa vimeo vyetu. tuhurumiane wabeja.
kweli kabisa tuwekeeni tafadhali
kweli kabisa tuwekeeni tafadhali
wengine tunatumia tecno ambazo hazifungui pdf files, tunaomba mtuwekee majina kwa vimeo vyetu. tuhurumiane wabeja.[/QUOte/ download and install pdf progrm kwanye play store utaweza kusoma mkuu, natumia tecno mafaili yote nayasoma