Uhamisho wa chuo kwa wanafunzi wanaoendelea

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Dec 19, 2021
663
910
Wasalaam...

Nilikuwa naomba kujua utaratibu ukoje kwa wanafunzi wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda chuo kingine.

Conditions
1. Course ni ile ile, let say natoka DIT nikiwa nimesoma mechanical engineering mwaka wa kwanza. Lakini nataka nisome mechanical engineering mwaka wa pili nikiwa MUST.

2. Program ni Diploma. Under government sponsorship.

Maswali ya nyongeza
1. Nina-apply kama entry ipi? CSEE au NTA LEVEL 4?

2. Dead line kwa upande huu ikoje?
 
Back
Top Bottom