mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,898
- 106,184
Tena mabinti wa kirundi walivyojaliwa chura wakija itakuwa balaaaWaruhusu na mabinti wengi ili tuwape na kazi zingine
Ova
Tena mabinti wa kirundi walivyojaliwa chura wakija itakuwa balaaaWaruhusu na mabinti wengi ili tuwape na kazi zingine
Wewe kazi gani zingine zaidi ya vibarua?Waruhusu na mabinti wengi ili tuwape na kazi zingine
Jamani nasisi tumezidi uvivu. Mpaka Warundi ndo watulimie mashamba?MKUU kama kuna maeneo Kwa nini wasiwapeleke wafugaji au wakulima watamaliza huo mgogo wa kupigana kila kukicha?
Halafu watangaze kwanza hayo maeneo Kwa watanzania kwanza kama kuna wanaohitaji watakwenda kuyatumia kabla ya kuwapa waburundi. Waangalie kwanza nyumbani kwao kabla ya kutoka nje.
Tanzania isirahizishie tu wageni Bali pia irajlhishie wenyeji upataji passport.Kenya wanagawa passport kama njugu huhitaji barua ya mwaliko Wala uthibitisho wa nchi unakoenda.Rwanda wao mtoto akizaliwa au birth certificate ni ushahidi tosha kujipatia passport. Scholarship nyingi zinataka mtu awe Na passport anapoomba.Akienda kuomba passport Uhamiaji anatakiwa aeleze Anaenda nchi gani Na ushahidi wa mwaliko!!!!! Mitihani pale British Council ya kupima uwezo wa kiingereza Kwa ajili kusoma vyuo vya nje yaani International English Language Testing System yaani IELTS hujaa wahindi tu Sababu ile mitihani kuifanya kuna sehemu lazima ujaze passport namba yako kama kuna anayebisha aende siku mitihani hiyo inafanyika ni wahindi watanzania watupu..Sasa watanzania wengi hawawezi Fanya hiyo mitihani Sababu hawana passport Na hawana safari ya kwenda nchi yeyote.Wanachotaka wawe Na passport wafanye mitihani wakifaulu waombe vyuo vya nje admission Na Scholarship.Uhamiaji uendane Na Hali halisi hasa utoaji passport.Lakini pia kuna swala la kurudisha gharama za mradi wa passport.Tanzania mfano ikitoa passport Watu milioni mbili Kwa miaka Kwa laki Moja Na nusu Kwa Kila passport Uhamiaji uta kuwa Kwa mwaka umeingiza bilioni 300 kutoka Kwa waombaji.nashauri masharti yalegezwe Kila mwenye kitambulisho cha taifa akitaka Na Kila mtoto anayezaliwa wazazi wakitaka apewe cheti cha kuzaliwa Na passport.Na zoezi kama la kitambulisho vya taifa liende sambamba Na utoaji passportTena mabinti wa kirundi walivyojaliwa chura wakija itakuwa balaaa
Ova
naona ndugu yao kaanza kuwatengezea tuaratibu wa kupata uraia na hatimae mamlaka.Idara ya Uhamiaji nchini imeweka utaratibu wa kutoa kibali maalum kwa raia wa Burundi ambao wanataka kuja nchini kwa ajili ya kufanya shughuli za kilimo ikiwa ni moja ya nia za kupunguza raia wa nchi hiyo ambao huingia nchini kinyemela hususani katika mikoa ya Kigoma na Tabora kwa ajili ya kufanya kazi za kilimo kama vibarua.
Mpango huo umetangazwa na Kamishna Jenerali wa uhamiaji nchini Dk.Anna Makakala mwishoni mwa ziara yake iliyomfikisha katika wilaya zote na katika maeneo ya mpaka na nchi jirani mkoani Kigoma ambapo amesema vibali hivyo vya miezi mitatu vitawezesha raia hao kutambuliwa na serikali kupata fedha na kutambua wako wapi na idadi yao.
Kwa upande wao baadhi ya wananchi wamesema uamuzi huo wa idara ya uhamiaji utasadia kupunguza uhalifu na kuongeza tija katika kilimo pamoja na kujenga mahusiano mazuri na nchi jirani ya burundi ambayo raia wake wanaongoza kwa kuja nchini kufanya vibarua bila ya kibali na hivyo kuongeza idadi ya wahamiaji haramu.
Chanzo: ITV
My take:
Sikubaliani na uhamiaji kwa sababu wanaleta janga nchini.
Vita na vifo vya wafugaji na wakulima Tanzania vimepingua kutokana na maelewano ikiwemo uvumilivu na desturi. Sasa kuruhusu watu waje kulima, kutachochea rushwa na Ugomvi.
Nashauri watoa vibari kwa watu wanaotaka kuja kuwekeza kwenye Viwanda kwa sababu Serikali ya Magufuli ni Serikali ya Viwanda.
[B]Masanja[/B], kuna wakati unaiacha mdomo wazi...kwa hiyo hoja na Africa is one, je hivi vibali vitatolewa kwa Warundi tu au kwa majirani zetu wote? Je Wanyarwanda? Je Wakenya?, Je Wamalawi?...ama hawa hawahitaji vibali! Kwa kweli ndani ya awamu hii tuna nati kichwani zinahitaji kukazwa!Very good move. Hii tabia ya kukamata hawa wananchi masikini wanaojitafutia riziki kwa jasho lao ifike mwisho. Most ya Hawa Watu kutoka Burundi wanakuja kutafuta maisha thru vibarua nk. Wakipewa vibali itapunguza rushwa na uonevu wa polisi wetu dhidi ya hawa wananchi masikini!
Africa is one!
Katika dunia hii umewahi kuona wapi nchi inatoa ardhi kwa raia wa nchi nyingine kwenda kulima. Hii yote itakuwa janja ya serikali ya kuhalalisha kuwagawia warundi ardhi. Ukiwaruhusu raia wa nchi nyingine kuingia nchini kwako eti kwa kulima wakati kuna raia wako unawakamata na kuwauzia mifugo yao kwa kukosa malisho.Hivi hao wanyarwanda wakija wakatalia kutoka c ndio mtasema vita c ndio Kagame ataanza kulisogeza jeshi lake. Kwa kweli Magufuli analeta vitu ambavyo havipo ktk nchi yoyote. Kagame kamshika pabaya. Anampenda mamaake Kagame kuliko watanzania. Hivi mnamjua Kagame yule ni mafia jambazi
Idara ya Uhamiaji nchini imeweka utaratibu wa kutoa kibali maalum kwa raia wa Burundi ambao wanataka kuja nchini kwa ajili ya kufanya shughuli za kilimo ikiwa ni moja ya nia za kupunguza raia wa nchi hiyo ambao huingia nchini kinyemela hususani katika mikoa ya Kigoma na Tabora kwa ajili ya kufanya kazi za kilimo kama vibarua.
Mpango huo umetangazwa na Kamishna Jenerali wa uhamiaji nchini Dk.Anna Makakala mwishoni mwa ziara yake iliyomfikisha katika wilaya zote na katika maeneo ya mpaka na nchi jirani mkoani Kigoma ambapo amesema vibali hivyo vya miezi mitatu vitawezesha raia hao kutambuliwa na serikali kupata fedha na kutambua wako wapi na idadi yao.
Kwa upande wao baadhi ya wananchi wamesema uamuzi huo wa idara ya uhamiaji utasadia kupunguza uhalifu na kuongeza tija katika kilimo pamoja na kujenga mahusiano mazuri na nchi jirani ya burundi ambayo raia wake wanaongoza kwa kuja nchini kufanya vibarua bila ya kibali na hivyo kuongeza idadi ya wahamiaji haramu.
Chanzo: ITV
Uongozi wa kujipendekeza tuKatika dunia hii umewahi kuona wapi nchi inatoa ardhi kwa raia wa nchi nyingine kwenda kulima. Hii yote itakuwa janja ya serikali ya kuhalalisha kuwagawia warundi ardhi. Ukiwaruhusu raia wa nchi nyingine kuingia nchini kwako eti kwa kulima wakati kuna raia wako unawakamata na kuwauzia mifugo yao kwa kukosa malisho.Hivi hao wanyarwanda wakija wakatalia kutoka c ndio mtasema vita c ndio Kagame ataanza kulisogeza jeshi lake. Kwa kweli Magufuli analeta vitu ambavyo havipo ktk nchi yoyote. Kagame kamshika pabaya. Anampenda mamaake Kagame kuliko watanzania. Hivi mnamjua Kagame yule ni mafia jambazi
Hiki ni kichekesho cha karne...!!
Yaani raia wa nchi nyingine apewe kibali kuja kulima Tanzania kwani huko Burundi hakuna Ardhi..?
Je, wanakuja kama vibarua wa kwenye mashamba ya Watanzania au wanaanzisha mashamba yao? Je, hicho chakula au mazao wakivuna wanapeleka Burundi au yanabaki Tanzania? Je, wakiuza hiyo fedha wanapeleka kwao au wanatumia wakiwa Tanzania tu?
Hii siyo bure...!!Ukizama deep kwenye hii policy inaelekea kutaka kuhalalisha WARUNDI NA WANYARWANDA KUHAMIA TANZANIA.....Hii maneno tunasikia juujuu kuwa Mkulu wa nchi ana ka-asili ka kutokea pande za Banyamlenge, Intarahamwe na M-23 inawezekana kuna ukweli Fulani.!!! Tusibiri maana yajayo yanafurahisha.