Uhakiki wa Wafanyakazi umeanza Kigoma

TASLIMU

Senior Member
May 6, 2011
144
21
Zoezi la kuhakiki wafanyakazi kigoma limeanza jumamosi(tr14/01/2012)mimi nimefanya jana,ila hakuna chochote,unatakiwa uwe na kitambulisho na saraly slip tu,unaweka sign ktk karatas zao ambazo zina majina ya watumish wa halimashauri yote,
 
Unatakiwa uwe na saraly slip na kitambulisho tu,unatazama jina lako ubaon,alafu unachukua sr namba,unaingia kwa wahasibu,unamwambia sr namba unakuta jna lako unaweka sign,sema wamesumbua watuu,hakuna jipya
 
Wanaoendesha uhakiki wanatoka hapo hapo Council?
 
mimi nimefanya pia bila ya kuangaliwa kwenye computer,ila nadhani hii ni bora kuliko ya mishahara madirishani.. Ila wawe computerized bana,mambo ya foleni kuwapanga watu wazima na watoto,uzushi..mi sikupenda..
Au ndo mpaka National IDs zije?
 
Wanatoka Dar es salaam

Hizo ni mbinu za kujitafutia posho ya KUJIKIMU. Watu wa Utumishi huwa hawana jipya badala ya KUBUNI namna ya kutoka DSM na kwenda mikoani au nje ya nchi kutafuta pesa. Hawana chochote kipya katika nchi hii. Wameishiwa. Kwani uhakiki lazima ufanywe na watu kutoka DSM?Kwani katika ofisi za mikoani hakuna wasomi wa kuhakiki, kwani kuhakiki kunahitaji elimu gani kubwa?

Hao wa DSM wao watahakikiwa na nani?u nasisi tutoke mikoani twende DSM kuwahakiki? Ndo hivyo fedha za Watanzania zinavyoliwa.
 
Unatakiwa uwe na saraly slip na kitambulisho tu,unatazama jina lako ubaon,alafu unachukua sr namba,unaingia kwa wahasibu,unamwambia sr namba unakuta jna lako unaweka sign,sema wamesumbua watuu,hakuna jipya

Je ambao hawako kwenye vituo vyao vya kazi inakuwaje? mfano walioko masomoni ndani au nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom