Kwa hiyo unakubali kuwa ni mafiossoNao wakihamia Chadema watapewa Kipaumbele cha Kugombea kuliko Wewe Chadema Asili
Kwa hiyo unakubali kuwa ni mafiossoNao wakihamia Chadema watapewa Kipaumbele cha Kugombea kuliko Wewe Chadema Asili
Unatutoa nje ya mada we juha. Binaadamu ana sifa ya kujua kakosea njia na akageuka kuifuata njia sahihi. Asiye na sifa Huyo ni malaika pekee.Inakuaje Sasa Chama cha Siasa kinategemea Watu kutoka kwenye Genge la Kihalifu ndio wawe wagombea wa nafasi za Kisiasa!
1) Mgombea Urais Lowassa alitokea kwenye hilo genge
2) Mgombea Uspika Ole Medeye nae alitokea huko CCM
3) Mgombea Ubunge wa Africa Mashariki nae alitokea huko huko
4) Mwenyekt wa Chadema Kibaha Ndugu Sumaye katokea huko huko
5) Mwenyekt wa Chadema Ilala Ndugu Makongoro Mahanga nae katokea uhalifuni
Yaan kwa kifupi Chadema huwa wanatoa kipaumbele kwa nafasi yoyote ya Uongozi kutoka kwa Mtu alietokea CCM dhidi ya Aliowakuta Chadema!
Mbowe anaamini wahamiaji toka CCM kuliko Wazawa na wapiganaji waliokulia humo humo
Singida kule Tena tutegemee Lazaro Nyalandu atateuliwa japo kuna wengi tu Wenye sifa!
Umesahau wachawi wote mashuhuri watanzania wamekunywa maji ya bendera ya chama kijani....Nawashangaa wachawi wa Tanzania wanashindwa kuloga wahalifu ccm wanaloga watakatifu
Usitukate stumu, tumezilipia, CCM ni mashetani ktk nguo za kijani.Kwahiyo Chadema ndio Mungu?
Tuache hayo, kwani Mange anasemaje?
Unatutoa nje ya mada we ****. Binaadamu ana sifa ya kujua kakosea njia na akageuka kuifuata njia sahihi. Asiye na sifa Huyo ni malaika pekee.
Mjuba wa ushindi wa Kata moja kama haueleweki hivi!!Usitukate stumu, tumezilipia, CCM ni mashetani ktk nguo za kijani.
Mku ss ccm ndo wenye mamlaka ya kidola Sasa haya majenge ya uhalifu kwa nini tuyaache au yana faidaInakuaje Sasa Chama cha Siasa kinategemea Watu kutoka kwenye Genge la Kihalifu ndio wawe wagombea wa nafasi za Kisiasa!
1) Mgombea Urais Lowassa alitokea kwenye hilo genge
2) Mgombea Uspika Ole Medeye nae alitokea huko CCM
3) Mgombea Ubunge wa Africa Mashariki nae alitokea huko huko
4) Mwenyekt wa Chadema Kibaha Ndugu Sumaye katokea huko huko
5) Mwenyekt wa Chadema Ilala Ndugu Makongoro Mahanga nae katokea uhalifuni
Yaan kwa kifupi Chadema huwa wanatoa kipaumbele kwa nafasi yoyote ya Uongozi kutoka kwa Mtu alietokea CCM dhidi ya Aliowakuta Chadema!
Mbowe anaamini wahamiaji toka CCM kuliko Wazawa na wapiganaji waliokulia humo humo
Singida kule Tena tutegemee Lazaro Nyalandu atateuliwa japo kuna wengi tu Wenye sifa!
Mku ss ccm ndo wenye mamlaka ya kidola Sasa haya majenge ya uhalifu kwa nini tuyaache au yana faida
Wenye uwezo mdogo wengi wanakuwa na mawazo kama yako .Kwahiyo Chadema ndio Mungu?
Tuache hayo, kwani Mange anasemaje?
Tena unakuwa mwisho wa aibu sana .Hata washenzi waliopita kama Hitler, Samwel Doe, Idd Amini na waliopo kama Museven, Joseph Kabila,Yohana Mvinyo walikuwa/wana mawazo kama yako. Lakini hakuna lisilo na mwisho.
Ccm ni freemason ya afrika imekaa kichawi kichawi tu. Yaani kuanzia baba mchawi,mama mchawi na ndugu zao... hayana tofuti na watu waliouza nafsi zao kwa shetani. Wamekosa uelekeo mijitu miovu ndio inepewa madaraka we unadhani mnyonge atasalimika??? Ila hata kama sio sisi tutakao leta mabadiliko ipo siku....Usitukate stumu, tumezilipia, CCM ni mashetani ktk nguo za kijani.