Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

Sababu mojawapo ya Dollar kupungua ni sheria ambazo Magufuli aliweka za kuwa na kibali ukienda kubadilisha pesa. Mimi nilikuwepo Tanzania mwezi wa kumi kutoka USA ambako naishi zamani nilikuwa nakuja na pesa lakini kwasabbau sheria zimeongezeka yaani unahitaji sijui copy ya passport .... kukaa kwenye mistari sijaja na pesa. Je nilitumiaje pesa nilikuwa najitumia pesa pesa moja kwa moja kwenye Mpesa account yaani pesa yangu natuma wanachukuwa kwenye account yangu ya USA na kunitumia moja kwa moja kwenye Mpesa au natuma moja kwa moja kwa muhitaji mfano wajenzi wangu nilikuwa nawatumia moja kwa moja kama vile nipo USA. Hakuna ulazima tena wa kubeba pesa na uzuri njia hii inachangia kodi moja kwa moja. Kibaya hakuna Dollar maana diaspora wengi ni kutoka USA na kwa mwaka jana tu wametuma $1B sasa jiulize kama 70% wangekuwa wanaleta Dollar tungekuwa na Dollar kiasi gani.

Matumizi yangu pamoja na ujenzi yalikuwa kama $6000 lakini nilienda na $1500 tu iliyobaki nilijitumia au kutuma moja kwa moja kutoka kwenye app za kutuma pesa
Inabid dola iingie kama cash
 
Sasa kama zimepungua kwenye mzunguko na ww umekili unafikiri zitakuwa zimeenda wapi au zimeliwa na panya au wamezichoma moto ndo maana zimeadimika?

Marekani imepunguza $ kwenye mzunguko wa dunia na kuzipeleka kwenye mzunguko wa nchini mwao ili kuwafanya raia wa Marekani kupata pesa ya kutosha ili kumudu gharama za maisha ambazo ziko juu sana.

Sababu nyingine ni kulinda thamani ya $ isianguke kwa sababu sasa hivi baadhi ya biashara dunia zimeacha kuendeshwa kwa $ hivyo uhitaji wa $ umepungua, hivyo wanahofia kuwa $ itakuwa nyingi kwenye mzunguko kuliko uhitaji hivyo kusababisha ipoteze thamani yake.
Kwa hiyo ndugu yangu kwa taarifa ulizonazo hifadhi ya USD Dolla imepungua mpaka kufikia kiasi gani hapa nchini by April 30/ 2023 na ilivyokuwa April 30/ 2021

Taifa kama china hifadhi ya Dola by April 30/2023 na ilivyokuwa by April 30/2021.
Tuangalie je kweli zimepungua kwa aslimia ngapi kwa kila Nchi.
Tuchukue mfano wa nchi zingine kama
1. Botswana
2.Rwanda
3.Uganda
4.vietinam
5. India

Nataka tuone je ni nchi gani hifadhi ya USD DOLA imeporomoka, imementain au imeongezeka na tujiulize kwa nini?

Mojawapo ya Kazi kubwa ya Serikali ni kulinda ustawi wa uchumi wa nchi.
 
Unadhani viongozi wa Tz walitakiwa kufanya nn ili kudhibiti hili ?
Kwa kiongozi yeyote makini, kila ishara kwake inampa kujua kitakachojiri na hivyo kuweka mipango madhubuti kukabiliana na hicho

Tangu mgogoro wa mafuta bado kiongozi analala tu bila kujipanga na athari zaidi?
 
Unadhani tukae hivyo hivyo bila solution

Viongozi walitakiwa wawe wameshalifanyia mbadala wake tayari kabla halijaleta mzozo

Hiyo ndo maana ya kiongozi, unataka mpaka watu waandamane ndo mtafute ufumbuzi?
hujui ku control supply ya hizo dolla ndio moja ya hatua hizo?
 
Unadhani tukae hivyo hivyo bila solution

Viongozi walitakiwa wawe wameshalifanyia mbadala wake tayari kabla halijaleta mzozo

Hiyo ndo maana ya kiongozi, unataka mpaka watu waandamane ndo mtafute ufumbuzi?
Hujui lolote kuhusu uchumi na utawala wewe ymejawa na mihemko
 
Inabid dola iingie kama cash
Wameweka sheria nyingi sana la kwanza. Pili technologia ya sasa huna sababu ya kwenda na dollar Tanzania na serikali inapenda technologia hii kwasababu wana uhakika wa kodi. Hivyo bank inabidi zianze kuleta dollar na sio kutegemea watu. Gharama za bank kuleta dollar Tanzania ni 1% au $1 kwa kila $100
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Magu atakumbukwa daima
 
Uhaba wa Dola ni Dunia nzima sababu US kabana kupunguza mfumko wa bei nchini kwake.
Eti JPM duh fuatilieni mambo ya duniani kidogo basi msiaibike kizembe.
 
Si bora mm nisiye jua kuandika kuliko ww kuwa na upumbavu wa kiwango cha kumuabudu jiwe kama mungu.

Eti wana mkumbuka jiwe kwa hiyo jiwe ndo alikuwa mchapisha $ mpaka mseme kuwa angekuwepo kusingekuwa na uhaba?

Mataifa makubwa yenye nguvu za kibiashara duniani kama Uturuki,S.africa na Misri yana upungufu wa $ sembuse hiyo nchi yenu inayo nuka umasikini kila mahali?
Ni ujingi kila tatizo likitokea tunalinganisha Na wezetu khaa
 
Kwa kiongozi yeyote makini, kila ishara kwake inampa kujua kitakachojiri na hivyo kuweka mipango madhubuti kukabiliana na hicho

Tangu mgogoro wa mafuta bado kiongozi analala tu bila kujipanga na athari zaidi?
Njia pekee ya kuepuka hilo ni kuwa wauzaji wakubwa badala ya kuwa wanunuzi wakubwa kitu ambacho kinahitaji miaka mingi nchi kama tz kukifikia.

Mfano nchi kama UAE ,Saudia,Qtaar,Uchina na nchi nyingi za Ulaya haziwezi kuwa na uhaba mkubwa wa $ kwa sababu wao wanafanya biashara kubwa na Marekani.
 
Ni ujingi kila tatizo likitokea tunalinganisha Na wezetu khaa
Hakuna nilipolinganisha bali nimemuelezea sababu ya tatizo ilipo.

Mwenye uwamuzi wa $ kuwa nyingi au chache kwenye mzunguko ni Marekani yenyewe na sio Samia.
 
Wameweka sheria nyingi sana la kwanza. Pili technologia ya sasa huna sababu ya kwenda na dollar Tanzania na serikali inapenda technologia hii kwasababu wana uhakika wa kodi. Hivyo bank inabidi zianze kuleta dollar na sio kutegemea watu. Gharama za bank kuleta dollar Tanzania ni 1% au $1 kwa kila $100
Dah kuna uhaba si kidogo wa dola
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Haudumu huu uzi
 
Back
Top Bottom