Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,707
- 4,997
Sasa kama zimepungua kwenye mzunguko na wewe umekiri unafikiri zitakuwa zimeenda wapi au zimeliwa na panya au wamezichoma moto ndo maana zimeadimika?Hiyo kupungua naelewa kwenye mzunguko naelewa, ila nilichokuuliza ni pale wewe umesema wenye dollar yao wameiondoa kwenye mzunguko, hili ndo naomba ushahid
Acheni unafiki wenu hapa mnauza kitu gani nje hata kiwaingizie doMipango madhubuti,sio blabla
Wajinga hawa sijui wanatokea wapi??Wangekuwa wanafuatlia mambo kabla ya kutoa hitimisho ingewasaidia sana. Tatizo la upungufu wa dola ni la dunia nzima. Hakuna cha kumsifia mtu hapa
Waambie waende Chato, kazificha pale kwake.Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Watakuambia toa ushahidi!Sasa kama zimepungua kwenye mzunguko na ww umekili unafikiri zitakuwa zimeenda wapi au zimeliwa na panya au wamezichoma moto ndo maana zimeadimika?
Marekani imepunguza $ kwenye mzunguko wa dunia na kuzipeleka kwenye mzunguko wa nchini mwao ili kuwafanya raia wa Marekani kupata pesa ya kutosha ili kumudu gharama za maisha ambazo ziko juu sana.
Sababu nyingine ni kulinda thamani ya $ isianguke kwa sababu sasa hivi baadhi ya biashara dunia zimeacha kuendeshwa kwa $ hivyo uhitaji wa $ umepungua, hivyo wanahofia kuwa $ itakuwa nyingi kwenye mzunguko kuliko uhitaji hivyo kusababisha ipoteze thamani yake.
Kwa hiyo Magufuli angezuia Marekani isidhibiti dola yake ili kukabiliana na athari ya vita vya Ukraine?Huu uzi ni nzur sana lakin soon walamba asali watakuja kutukana muda si mrefu.tulitoa tahadhari kuhusu hayo mambo
Mama anafungua nchi kimataifa!Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
hakuzidi kwa ubwege wewe, ukitaka dola ya Marekani nenda kaifuate kwao hapa siyo Marekani.Wewe hata kuandika neno dola unashindwa ni kazi kwako utakuwa na akili kweli? Pumbavu zako bwege wewe!
Mama anafungua nchi kimataifa!Mtajua hamjuwi
Hizi Bureau zilifunguliwa kwa kasi sana kipindi cha Balali kwenye sakata la BOT Twin tower na EPA. Lengo lilikuwa kutakatisha fedha haramu na kutorosha fedha za kigeni nje ya nchi.tulikuwa tunachangia humu ndani kuwa hizo bureaux zilipofungwa ilikuwa ni hatua sahihi.wengine walitubeza kuwa hatujui kitu.hizo bureaux zinatumiwa na mafisadi kutorosha pesa nje kama ilivyo kwa kenya.Pr Luoga alikuwa makini sasa huyu wa sasa ni laizez affair na sidhani kama anayaelewa vizuri haya mambo ya fedha.
Nchi hii wajinga na wapuuzi wapo wengi. Hata mtu akichomwa na mwiba anamtaja JPM. si alijenga viwanda yule? Sasa kwann bidhaa za hivyo viwanda visizalishe bidhaa ili tukauze tupate mandola chekwachekwa???Kwa hiyo Magufuli angezuia Marekani isidhibiti dola yake ili kukabiliana na athari ya vita vya Ukraine?
Dunia nzima kuna uhaba wa dola kutokana na Marekani ku control supply ya currency yake ili kulinda thamani yake!
Unadhani tukae hivyo hivyo bila solutionKwa hiyo Magufuli angezuia Marekani isidhibiti dola yake ili kukabiliana na athari ya vita vya Ukraine?
Dunia nzima kuna uhaba wa dola kutokana na Marekani ku control supply ya currency yake ili kulinda thamani yake!
Wakati wa Magufuli Kariakoo ilikuwa chali, inaelekea kufa. Unafikiri wafanya biashara wa Kariakoo walikimbilia nchi za jirani wakati gani?Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Actually kimkakati, ukiona watu wameanza kufarakana wao Kwa wao kwenye ugumu ambao wanaupitia ujue wameanza kuelewa somo!Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Unadhani viongozi wa Tanzania walitakiwa kufanya nn ili kudhibiti hili?Unadhani tukae hivyo hivyo bila solution
Viongozi walitakiwa wawe wameshalifanyia mbadala wake tayari kabla halijaleta mzozo
Hiyo ndo maana ya kiongozi, unataka mpaka watu waandamane ndo mtafute ufumbuzi?
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,