Ugonvi kati ya shafii dauda na akilimani

kwa asiyejua historia ya imanuel okwi,namfahamisha kwamba *mchakato wote wa kuja kwake ulifanywa na shaffi dauda.kwa hiyo muelewe kwamba shaffi ni mwanasimba wa kutumainiwa kabsaa.Alafu naskia jamaa mbinafsi sana kazini kwao wanammaindi,ndo mana kila siku ya kipindi yupo...hakosi hata siku moja,mpaka aumwe!:A S thumbs_down:
 
Mzee akilimari nimemsikia akilaumu kuhusu shafii dauda kumpigia simu maximo kua asije kuifundisha yanga,. Nauliza je kwanini shafii ageuke kuwa msemaji wa yanga?
alimuepusha na bakora za jangwani siku ambayo mngefungwa na vidume simba!!
 
Hawa nao bana Simba bana, hivi ile website imekufa kabisa au kuna mpya ambayo ss wengine hatuijui ? Vp vifaa vipya, kuna wanaotia moyo au ndiyo versions mpya za akina Kago ? Jaluo mmoja anamfagilia sana huyo kiungo Kinje, anasema alikuwa anazungusha sana pale Abaluya :)
 
Ndiyo maana nikasema Mzee Akilimali alete ushahidi, huwezi kuita press ovyo tu kwa hoja nyepesi.
 
Back
Top Bottom