Ugonvi kati ya shafii dauda na akilimani

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,511
2,034
Mzee akilimari nimemsikia akilaumu kuhusu shafii dauda kumpigia simu maximo kua asije kuifundisha yanga,. Nauliza je kwanini shafii ageuke kuwa msemaji wa yanga?
 
Mi ndio ni yanga ila nashauri shafii aache ushabiki wake azingatie maadili ya kazi,. Watu watampuuza
 
Hata kama Shafii Dauda alimpigia simu na kumtumia e mail Maximo, hakuwa amefanya kosa. Ametumia haki yake ya msingi ya kujieleza na kutoa maoni. Timu za Yanga na Simba zina utamaduni wa kuwadhulumu makocha na wachezaji, zinatia aibu
 
sasa yeye inamuma nini kama sio umbea mtoto wa kiume,. Shamin wanaosema clouds ni ngumu kuwatofautisha wanaume na wanawake wote ni wambea
 
Mzee akilimari nimemsikia akilaumu kuhusu shafii dauda kumpigia simu maximo kua asije kuifundisha yanga,. Nauliza je kwanini shafii ageuke kuwa msemaji wa yanga?

Na wewe acha upuuzi..Nikuulize na wewe Mzee Akilimali a.k.a Abramovich ni msemaji wa kandambili? Kama ana ushahidi wa anayoyasema auote hadharani sio kutuletea gossip kila kukicha.

Na sijui kwanini sekretariati ya Yanga inamuchia huyu Mganga Njaa kuchafua jina la Yanga. Itanianya niamini huyu mzee anatumiwa na Manji na wale wanafiki wasioitakia mema Yanga.

Sasa nimeamini asilimia 99 Maximo hawezi kuja kufundisha Yanga sasa wanataka kujisafisha mbele za watu kuficha uongo wao.

Maximo atakuwa mjinga kama atakuwa anamsikiliza Shafii.
 
Mzee akilimari nimemsikia akilaumu kuhusu shafii dauda kumpigia simu maximo kua asije kuifundisha yanga,. Nauliza je kwanini shafii ageuke kuwa msemaji wa yanga?
Ushabiki unatupofusha, wewe na akili yako unaamini maneno ya mzee Akilimali na kuanza kumlaumu Shafii, una uhakika gani alichosema mzee ni kweli na hata kama ni kweli Shafii ana influence gani hadi Maximo amkubalie na aamue kutofuata makubaliano yao kama yalikuwepo.

Tuliwaambia humu jamvini kwamba huu ni upepo tu wa uchaguzi, mara Maximo, mara mnasajili Okwi hakuna la maaana hata mnalofanya kwa sahivi, hawa wazee wa Yanga pamoja na secratariate ya Yanga wangekuwa na akili ya mpira walitakiwa washughulikie uchaguzi ili wapate viongozi halafu hao viongozi washughulike na yote hayo.

Sijui katiba ya Yanga inasemaje kuhusu usajili pamoja na kusaini mikataba nina wasi wasi vijana wanaosajiliwa na Yanga sa hivi wakakalia kuti kavu, masikini mdogo wangu Yondani Mungu akusaidie uwe umesaini mkataba na kiongozi anayetambulika kulingana na katiba ya Yanga.
 
Clouds FM imekaa ki-Simba zaidi.Inaanza kupoteza mwelekeo.
Kabla ya kuhukumu Clouds na Shaffi, huyo mzee Akilimali alete ushahidi.

Yanga wanatakiwa wafanye uchaguzi na kupata viongozi, hawawezi kuendelea kuwa na watu wanaotaka kuendeleza malumbano yanayoleta chuki zisizo na msingi
 
Hadithi hii imekaa kimbeambea sana. Hivi kweli Shaffi Dauda anaouwezo wa kumzuia Maximo kuja kufundisha YANGA kama kweli alikuwa na mpango huo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????????:sad:
 
Maximo ana mkataba na timu ya Democrata ya Brazil hivyo ni vigumu kwake kukurupuka na kuja Yanga.Kuna maswala ya
mkataba kuheshimiwa.Na kwa vile Maximo anaheshimu mkataba hawezi kuja kiholela.Mzee Akilimali kama ana ushahidi autoe
ili umma ujue ukweli.Na sio kutafuta syndabock mambo yanapokwama.
 
Kabla ya kuhukumu Clouds na Shaffi, huyo mzee Akilimali alete ushahidi.

Yanga wanatakiwa wafanye uchaguzi na kupata viongozi, hawawezi kuendelea kuwa na watu wanaotaka kuendeleza malumbano yanayoleta chuki zisizo na msingi

inamana mzee akilimari anakichaa skuizi na kuanza kumsingizia shafii dauda,. Tuache unafiki shafii amezid ukuda
 
Hata kama Shafii Dauda alimpigia simu na kumtumia e mail Maximo, hakuwa amefanya kosa. Ametumia haki yake ya msingi ya kujieleza na kutoa maoni. Timu za Yanga na Simba zina utamaduni wa kuwadhulumu makocha na wachezaji, zinatia aibu

sio emial bwana ...ni emiliii(we hukumsikia mzee akilimali) ni emiliii sio email..
 
Maximo ana mkataba na timu ya Democrata ya Brazil hivyo ni vigumu kwake kukurupuka na kuja Yanga.Kuna maswala ya
mkataba kuheshimiwa.Na kwa vile Maximo anaheshimu mkataba hawezi kuja kiholela.Mzee Akilimali kama ana ushahidi autoe
ili umma ujue ukweli.Na sio kutafuta syndabock mambo yanapokwama.

mnavopenda kutuiga nanyie mtataka mumlete poulsen
 
Back
Top Bottom